anfield ya mishikaki iliyokuwa mtaa wa nyamwezi na somali sehemu za gerezani jijini dar sasa imehamia mtaa wa mfaume sehemu za upanga, karibu na jamatini, njia ya kutokea makao makuu ya sido. hapo mkurugenzi wake saidi muchacho anakwambia mambo mswano ile mbaya na mishikaki sio tu imezidishwa kunoga bali hata ukubwa na wingi katika spoko.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. umenikumbusha nyumbani. Kuku (sekela,ajemi au chips na chachandu ya ukwaju. Sasa huku upanga - umewaacha waswahili na kuja kwenye soko jibya la wanene?

    ReplyDelete
  2. Spoko... tehe yehe... kwanini muchacho asitumie vijiti vya makuti ikawa twaweza ondoka na mishkaki yetu ya moto kunako vijiti ?? manake spoko zake anataka abaki nazo!! nshaona nji flani nlikwenda wanafanya hivyo...hembu ajaribu aone...ubunifu ... kaaaazikwelkweli

    ReplyDelete
  3. bravo... isiwe tu kunoga ma ujazo ila viwango .... usafi pia na huduma bora ndio cha msingi... boresha zaidi ... bravo

    ReplyDelete
  4. aidia nzuri... jamaa ajiweke nadhifu... kwapa nje!! haikubaliki na chakula chetu ni muhimu zaidi ... jasho...dress for the task.... hii inahatarisha wateja makini.... boresha hilo twaja,,,,

    ReplyDelete
  5. sssss aaaaa
    yammy
    asante kwa kuja karibu

    ReplyDelete
  6. Mzee Muchacho neno karibu kwa kingereza ni WELCOME sio WELLCOME


    samahani kwa usumbufu

    ReplyDelete
  7. NAHUU UCHUMI ULIVYOSHUKA BIASHARA NDIPO MAHALI PAKE INABIDI MZIWEKEE MATANGAZO

    ReplyDelete
  8. Mimi Mdau kutoka Houston brother michuzi...Hapo Kwa muchacho bwana Msosi wake si mchezo naweza Kusema Bongo Nzima wa Ladha ya peke yao...manake kuna mambo ya Mishkaki na Kuku hapo Hatari kaka...!!! Kuna kikosi hapo cha Mzee Seif Anashughulikia Mambo ya Kuku,Kina Wajina,Mzee Ali na starring mwenyewe mzee Said...Baba hiyo combine ikiingia mzigoni ujue hapo Msosi utaokula utamu mpaka kichogoni...Dah Kaka leo umenitamanisha sana msosi huo...Mi mdau wako wa Houston nimeu miss sana...Big UP MUCHACHO Sema LIVERPOOL Bwerere...!!! Salam Nyingi Kwa IMAD MUCHACHO...

    ReplyDelete
  9. Bongo tambarare sanaaaaa. Mpaka leo hamna address ya mahali. Kila siku unasikia karibu na hapa karibu na pale, mbele ya jumba hili na nyuma ya ule mbuyu mkubwa..aghhhhhrrrrrr....tutafika tu....

    ReplyDelete
  10. MwanafunziMarch 29, 2009

    Mdau wa Tarehe March 28, 2009 7:37 PM
    inaelekea wewe ni bitoz kama sio sista duu,au mtoto wa geti ambaye hujasoma shule za bweni,kama umesoma basi itakuwa ni Nairobi au Kampala.

    Sie tuliosoma shule za mabweni Mbeya ndio tunajua chakula kikimixiwa na jasho la mpishi kinavyokuwa kitamu.

    ReplyDelete
  11. anony March 28, 2009 7:37 PM na anony March 28, 2009 7:40 PM watembelee www.kempiskihotel.com ndio uwanja wao. sie wengine tunajua ladha ya chipsi chafu. tena nasikitika sioni mfereji wa maji machafu.

    ReplyDelete
  12. Kaka michu,mzee Mchacho yeye na bwawa la maini damu2,noana unamtangazie biashara bure,anyway "we are ceiling on a same boat"

    ReplyDelete
  13. Jasho la Mpishi
    Ama kweli bongo tambarare!
    Sisi shuleni kwetu tulikuwa na mpishi mmoja anaitwa maduhu, jamaa alikuwa anasweti kinoma lakini asipokuja kazini lazima wanafunzi wagomee chakula. Jasho la mpishi bweni ni kati ya viongo vya chakula.
    AHAHAHAHAH HAHAHAHAH....

    ReplyDelete
  14. kaka michuzi sio spoko ni spoki hahahaha!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...