
Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza (kushoto) akifafanua jambo kabla ya kutoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya Vodacom Regatta, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto kwake ni Mratibu wa mashindano hayo, Paul Smithson pamoja na Kiongozi wa Klabu ya YAtch, Spiros Manoulidis.

Mkuu wa udhamini na mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza (kulia) akikabidhi cheti kwa mshidi wa uvuvi wa samaki wa mashindano ya Vodacom Regatta, James Redfern, mwishoni mwa wiki, Dar

Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za Mkononi Vodacom Tanzania, Gerge Rwehumbiza (kushoto) akikabidhi cheti kwa mshindi wa kwanza wa uvui kwa vijana, Alistair Gibson baada ya kumalizika kwa mashindano ya Vodacom Regatta, mwishoni mwa wiki Dar
juu na chini ni baadhi ya boti zilizoshindana katika Vodacom Regatta mwishoni mwa wiki
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...