
Kwa mara ya kwanza hapa Denmark, TANDEN ikishirikiana na DJ Prince Anil, inawaletea live koncert ya msanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongo Flava Ali Kiba.
Koncert itafanyika tarehe 02.05.2009,
Kulturhuset Kilde,
Nygårds Plads 31,
2605 Brøndby (ni karibu sana na Brøndbyøster Station)
Uchakavu ni Kr. 150
Koncert itaanza 21.00.
Baada ya koncert kutakuwa na Disco litakalopigwa na DJ Anil(TZ), DJ Dennis (Kenya) pamoja na DJ DizzoB(TZ). Fikeni kwa wingi bila kukosa.
Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu
Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu
Poa ok Anil mzee wa totoz. Jamani wabongo mkiona tangazo hili basi muwaambieni na wengine mimi nishakaaa mkao wa kula......
ReplyDeletejamani ali kiba yuko ulaya mpaka lini??kuna mtu anaweza kusaidia kunipa contacts zake,au promoters wake?!?
ReplyDelete