
nyota waziri akikata moja ya keki mbili ambazo marafiki walimuandalia kusherehekea hepibesdei ya kuzaliwa kwake jumamosi usiku ukumbi wa new msasani club nyuma ya ubalozi wa marekani ambako the kilimanjaro band wana njenje hupiga kila jumamosi

mama wa mitindo asia idarous-khamsin akimlisha keki nyota hukumarafiki wakishuhudia

nyota akimlisha mai hazbendi wake waziri ally keki katika hafla fupi ya hepibesdei ya kuzaliwa kwake






there were no forks?
ReplyDeletekakaangu michuzi sasa ushantia aibu plz hiyo da fulanazzzzzzzz harusini patini sasa wanitia aibu ungekuwa mume wangu basi ningeitia motozzzzzzzzzzzzzz nipe adress yako nikutumie t-shart nzuri nzuri mdau kutoka toronto canada.huyo aliye kwambia unapendeza na hiyo t-shart kakudanganya.
ReplyDeleteHappy birthday nyota, mungu akupe miaka mingine kama hiyo uliyonayo, na mis sana njenje kama ningekuwa tz na mimi ningekuwa ndani ya nyumba.
ReplyDeletemkuu wa nanihii ze kauka nikuvae haijachanika tu ili ununue ingine!!!
Forks or Folks? kwi kwi kwi kwi!
ReplyDeleteJamani zingatieni usafi, mikonozz kulishana keki sio vizuri hujui mikono imetoka kushika nini. Afya ni utu
ReplyDeletemungu akujalie maisha marefu na maisha marefu katika ndoa yako u look lovely
ReplyDeletenaona my husband wako anachekelea keki hiyo maana shurti karembua macho
keep taking good care of you and your lovely husband
yo both look lovely
mdau canada
Mkuu wa wilaya ya nanihii, Du! ze fulanaz everewea! hadi kwenye besdei ya selebriti? Kweli watengenezaji wa ze fulanaz inabidi wakupe promosheni
ReplyDeleteyak yak!!uchafu gani huo,kulishana keki kwa mikono..sio kila anayeenda chooni ananawa mikono..mmevaa vizuri lakini upungufu wa ustarabu kidogo..
ReplyDeleteMkuu wa Wilaya hiyo fulana ndio vazi lako na ndio kitambulisho chako POOAA. Ila sijapenda ulivyolishwa hiyo keki kwani inaonyesha kama ulilazimisha au hajapenda akulishe!! au labda kwa ajili ya picha?
ReplyDeleteMohamed
ah hii fulana nikiiona siku hizi inanichefua,kwa hisani yako mtoto wa mzee nanihii fanya juu chini hichi kafulana cha baba kiondoshe au kichome moto utapata thawabu maana kinanitiribuaaa.
ReplyDeletebraza mithupu hiyo fulanaz ni ya kwa zizzou nini? isije ikawa ndo billboard yake ya kututangazia. halafu mbona ni kama hiyohiyo kila siku, unazo nyingi za design moja, au moja ikikauka inatwikwa chapchap. ni hayo tu
ReplyDeleteMungu amzidishie kila la heri bi Nyota.
ReplyDeleteIla sijauelewa ulishaji wake keki kwa wageni wake, mbona anawapa keki 'kiupogo upogo'? Si unamlisha mtu kitu ukiwa unatazamana nae?
Hiyo uliyolishwa wewe ilikuwa kanyaboya, danganya toto tu ili bethdei irushwe kwenye hili jamvi. wewe si unaona ilivyoshikwa!!keki gani mtu anamlisha mwenzake huku akiwa amegeukia Maka?
ReplyDeletekwikw!kwikw!!!!the Fulanazzzzzzzzzzzz!!!!!imetuwakilisha!tena hipo soup soup!si unajua ukiifua usiku alfajiri ishakaauka!!!fulanazz!!!!!!!!!kila mahala hipo
ReplyDeletemkuu fanya mpango flana ipigwe mnada pesa zinazopatikana sizaidie mfuko wa albino tz au mnaonaje?
ReplyDelete....Wee Mdau wa 2:51 unayejifanya kumcheka mwenzio, Alikuwa anaulizia kama hakuna FORKS yaani UMA baada ya kuona watu wakitumia mikono mitupu kulishana Keki na sio FOLKS unayofikiri wewe ambayo kwa haraka haraka ina maana ya JAMAA!!! Ujanja Mwingi Mbele Giza.
ReplyDelete...How Old Are You Now,
ReplyDeleteHow Old Are You Now x2
How Old Are You Dear Nyota, How
Old Are Yooouuuu!!!
....Thubuuutu! Age is a Woman's best kept Secret...Even if it ain't Nothing but a mere Number..!!!