
Kikosi cha Houston
Vijana wa kitanzania waishio Houston, Texas, jana wamefanikiwa kuingia katika fainali ya mataifa ya africa kwa soccer ya wanaume kwa kuifunga timu ngumu ya watoto wenye vipaji ya Ivory Coast bao 3-2 katika finali kabambame ilofanyika Houston.
Timu ya Houston i liianza kipindi cha kwanza taratibu na kufanikiwa kupata bao la kwanza mfungaji akiwa Peter Bategeke kwa shuti kali la umbali mita 20, na kumshida kipa.
Ivory coast walikuja juu na kufanikiwa kusawazisha na kuongeza bao la pili , lakini kipindi cha pili timu ya watanzania iliyokuwa ikiongozwa na James Shemdoe (Mourinho) ilifanya mabadiliko ya nguvu ya kuwaingiza Kwame, Mohamedi, Sekulu, Andrew sanga, Hamisi Ndwata na Bitebo .
Alikuwa ni Kijana Hamisi Ndwata aliyeipatia houston bao la kusawazisha na la kuongeza kwa penalti safi za kufa mtu zilizotosha kuifanya houston kuifunga Ivori coast 3-2 na kutinga fainali.
Kwa maana hiyo Houston itavaana na majirani zao zao Somalia katika fainali itakayochezwa Jumamosi ijayo. Nahodha wa Houston, Haruna, na viongozi wa timu wanaomba watanzania wajitokeze kwa wingi kushuhudia ushindi.
Wabeba ma Box bwana.
ReplyDeletewewe huoni kama kubeba box ni ujanja ,wewe hata kununua nguo ya ndani inakushinda, acha watu wahangaike
ReplyDeletewe anony wa kwanza mbona hatusemi kama wewe ni mchimba makaburi kinondoni acha jelous mind your bussines aight!!!!
ReplyDeleteWabeba Box nao wana maisha,kama waugua Malaria,wakosa maji,wakosa umeme,lishe duni,wazembe na waisiojua nini maana ya muda na maisha.
ReplyDeletehapo hakuna kijana hata mmoja wote ni wazee/madingi.Acheni kutudunganya.
ReplyDeleteHIVI HII WABEBA BOX WABEBA BOX NI NINI ?WATU WANATAFUTA MAISHA NA WANAISHI BILA KUMBUGUDHI MTU NA WANASAIDIA FAMILIA ZAO WE UNAESEMA HAYO MLO MMOJA UNAKUTOA JASHO,JARIBUNI KUFIKIRI NAMNA YA KUJIKWAMUA MAANA WE UNAESEMA BOX BOX HUNA LOLOTE MAANA HATA KUPATA NAULI YA KWENDA KUBEBA BOX HUWEZI,ACHILIA MBALI MCHONGO .TULIEMI NA WAPENI MOYO WENZENU ILI WAWE WANAKUMBUKA NYUMBANI.
ReplyDeleteWADAU JP
DAWA YENU NI DC. TUNAWANGUJA MAY 22,HOWEVER, CONGRATS FOR THE FINAL.REPRESENT GOOD JOB.
ReplyDeleteIT IS WHAT IT IS.
ROHO INAKUUMA EEE NYOOO!! NJOO NA WEWE KAMA UNAWEZA MAANA HATA VISSA SIJUI KAMA UTAPATA UATABAKIKI KUISHA KWENYE NYUMBA YA FAMILY NA WATOTO NA MKE HUMOHUMO
ReplyDeleteBaada ya mimi kurudi TZ baada ya kumaliza kile kilichonileta Texas nani hasa anacheza namba yangu?maana sikuacha mtu mbadala wa kuchukua nafasi yangu
ReplyDeletelkn naona kuna vipaji kibao hapo ambao enzi zangu walikuwa wanacheza tu kwa starehe na wala siom kw aushindani,je ndiyo sasa wamejirudi kuokoa jahazi letu la Houston?
Kuanzia kushoto waliochuchumaa kama nawakumbuka ni beki anayetumia sana nguvu kukaba charles Ngalawa,kiungo Andrew Sanga,beki Kwame Mgongo-fimbo,anayefuatia simfahamu,mnyakyusa mwingine anayetumia sana nguvu kukaba nahodha Alune Mwassa,anyefuatia simfamau,na wa mwisho pia simfahamu
Waliosimama kushoto,kocha Juma maswanya,anayefuatia simfahamu,kiungo mwenye kasi Sekulu"Atl boy",mshambuliaji mwenye nguvu peter "Bata"Batageki,wanaofuatia hao 4 siwafahamu,lkn namuona kijana namba 5 wetu wa kudumu Fahad"mwarab"na mwisho ni kocha Teacher
Mnanikumbusha sana jamani,na mkienda DC mtulutee picha,sisi tupo hapa na saa hii tunaenda kula makongoro pale katikati ya jiji
Timu nzuri inacheza kitimu na inaelekea kuchukua Kombe.Alex Tibaigana Charles Ngalawa amechukua majukumu yako kwa hasira sana.Safari ya D.C Tutakupa habari .Difference bado zipo ila sio za kutisha sana zitakwisha baada ya Fainali.
ReplyDeleteWapi wachezaji machachari niliocheza nao mechi za zamani za mataifa ya afrika, simba na yanga, dallas?,Menda-golikipa, Muddy chamsham-mkoba, Ignasi-namba nne, Dardakingi-namba mbili, Abu banzi-tatu, nakumbuka namba saba alikuwa Fred miwani, namba kumi na moja alikuwa Jenga, kipindi hicho mfungaji wa magoli yote alikuwa ni kimondo-Idi janguo. tuwakilisheni vijana.
ReplyDeletembaba box mstaafu