leo nanihii kabahatika kutembelewa na dk. hildebrad shayo wa south bank university ya london ambaye yuko bongo kwa vekesheni ya kikazi. pamoja na mambo mengine kibao dk. shayo pia alikuwa mmoja wa watoa mada kwa wajasiriamali wanaowania kufanya biashara ulaya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Dr. Shayo salamu zako nchini tanzania, umeniacha mwenyewe mkuu,ninakufa huku nkoo umwage nondozz tuijenge taifa

    yohanna mashaka

    ReplyDelete
  2. dr shayo is very handsome not like....... go shayo.

    ReplyDelete
  3. Nanihii ile FULANASS yako iko wapi,au leo umeifua? Si ungesubili tu ikauke au wewe hujapitia mambo ya enzi zetu za kauka nikuvae?
    TIKA
    ST-JEAN
    CANADA

    ReplyDelete
  4. Aisee Dr. basi ukiondoka huagi ngudu, jamaa na marafiki ? tunakushuhudia tuu kwa kaka Michuzi ? sawa bwana .... anyway my friend enjoy your holiday/kazi na salams huko bongo !

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2009

    Umechemsha DR!!!!!Acha kusanganya watu..........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...