
mdau akiperuzi toleo la Kwanza Jamii kwa makini kabisa. Wachunguzi wa mambo ya habari nchini wameelezea kwamba tayari gazeti hili limeshajikita katika chati ya magazeti yanayosomwa sana nchini, japokuwa lina umri wa chini ya mwezi moja.
Katika KWANZA Jamii juma hili soma yafuatayo;
-Wabunge 27 hawajawahi kuuliza swali lolote tangu
mwaka 2005 wakiwa Bungeni, Ni akina nani hao na kwa nini? Soma KWANZA
JAMII juma hili.
-Je,Wajerumani waliacha mali za thamani katika
misitu na ardhi ya Tanganyika? Eliaman Laltaika, Mchambuzi na mtafiti
wa masuala ya mali- bunifu anakupa majibu.
-Usikose pia makala elimishi na zenye kuburudisha za
wachambuzi na waandishi mahiri kutoka ndani na nje ya Tanzania kama vile;
Professa Charles Muttabazi Bwenge, Professa Masanzu Matondo Wa Nzuzullima,
Dr. Bukaza Chachage , Bi. Subira Feruz, Bi. Subi
Sabato, Jeff Msangi, Freddy Macha, Padri Privatus Karugendo, Joseph
Mihangwa, Maggid Mjengwa na wengineo.
Wahi nakala yako ya KWANZA JAMII leo hii!
wakubwa kila nikijaribu ku google hili gazeti jipya sipati,naomba mwenye kujua link aweke hapa tuendeleze libeneke, naona lina wataalam sio mchezo... inabidi wamuajiri mashaka pia... kidding!
ReplyDelete