Zawadi kwa kusherehekea Muungano jijini Muscat, Oman
baadhi ya wadau wa ubalozi wetu huko oman
Mh Balozi Hussein Khatibu akiwa na wageni wake mashuhuri katika hafla hiyo
wakati wa tafrija
Mh. Balozi Husdein Khatib, mai waifu wake na afisa wa ubalozi Bw. Kilima.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Vizuri sana kuona hivi tunaomba izidi Oman na TZ kufahamiana zaidi katika kila kitu.

    ReplyDelete
  2. Waomani na muungano wapi na wapi? Was it not mapinduzi which kicked them out and later came Muungano? Sasa iko aje hapa? I am confused...

    ReplyDelete
  3. Kwa nini Al Musoma hata kama yalitokea mapinduzi yale yote ni wazungu wamefanya vile, Kuwa na uhusiano kati ya Oman na TZ ni kawaida na ni vizuri zaidi kwa wote, na ni mafrudhi Oman na TZ ziwe na mahusiano makubwa sana kati yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...