Kwa heshima na upendo,ninapenda kuwakaribisha watanzania wote waishio hapa Marekani na hususani katika jimbo hili Texas katika tamasha la uimbaji.
Tamasha hili limeandaliwa na kanisa la Umoja ambalo linatumiwa na watu mbali mbali kutoka Afrika ya Mashariki.
Tamasha hili litakuwa tarehe 2.5.2009.Katika kuhakikisha tamasha hili linakwenda vizuri kwaya ya vijana ya Azania Front kutoka Dar es esaalam, Tanzania imeshafika hapa kwa ajili ya kazi hiyo.
Tunaomba kila mtanzania anaeishi katika mji wa Dallas na kwengineko ahakikishe anahudhuria bila kukosa. Pia tunahamasisha kila moja wetu atusaidia kuisambaza hizi taarifa kwa watu wengine.
Anuani:12727 Hillcrest Road,
Dallas Texas 75230.
Simu 214 554 7381
Email:umojachurch@yahoo.com
Karibuni sana.
Mashaka, you too, like the people you are writing about, the people who dwell in negativity, are so consumed with negative comments. No matter hoe good your comments are or no matter ow beautiful you are there are people who are going to say yell or say thing you deem negative.
ReplyDeleteMy simple advice to you and those who have negativity phobia is continue to do what you are doing as long as you are not doing it for misifa. Do not expect avey body to shower you with flowers and khangas for you to lay on your ideas, the Ideas they sometimes see as a copy cut from America's.
Or May be Mashaka you either not communicating well enough to your audience or you do not even know who your audience is. May be you need to change your way of presenting your ideas before you start whining about negativity when yourself is so phobic about it.