Viongozi wa Zenj entertainment wakizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari maelezo zanzibar juu ya tamasha la utoaji tuzo za wanamuziki bora wa zanzibar music award zitakazofanyika tarehe 15 mwezi ujao huko Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hivi hii music award mbona hawana hata website na poster ya tuzo za mwaka huu hawajatoa.

    Yaani bongo bado tupo nyuma sana, hii Zenj entertainment inafanya kazi vipi, hivi hawajui maneno mawili yanayosema PROMOTION and ADVERTISING

    ReplyDelete
  2. Vilevile orodha ya wanaotunikiwa wanatoa lini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...