khanga ni kivazi ambacho umaarufu wake umetokana, pamoja na mambo mengine  na ujumbe ulioandikwa juu yake, cheki hii ya mwaka 2009

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hi kanga mama akivaa ndani ya nyumba si anatafuta balaa? manake naelewa vazi la khanga huvaliwa ndani kama pambo na kumia hashki mumeo, huvaliwa nje ya nyumba kwa mipasho sasa hili litavaliwaje? au unaweka kwenye pochi ukikutana na kigogo fisadi unavaa? ataisoma kweli na yeye atakuwa anayeya na mshangingi wake wewe ukiwa unnguzwa jua posta mpya?

    ReplyDelete
  2. Funnyyy!

    ReplyDelete
  3. tunazishona nguo na tunazikata izo maneno

    period!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...