2134: FULL-TIME Chelsea 4-4 Liverpool (agg 7-5)
2133: FULL-TIME Bayern Munich 1-1 Barcelona (agg 1-5)
brother Michuzi,
Kabla ya wengi hawakuanza kuleta bwabwaja zao juu ya matokeo ya usiku huu nimeamua kukuleta email hii kukupa pole sana tena sana, lakini pia kuwapa hongera timu zote mbili kwa kutuburudisha ya kwa mechi safi, speed na magoli mazuri. kusema kweli timu zote mbili zimeonyesha udhaifu wao katika ulinzi, na kirahisi tungeliona jumla ya magoli zaidi ya kumi na mbili usiku huu.
Mdau Zenj
Tehe Tehe tehe, Weka na picha sasa....
ReplyDeleteSubirini mpaka mwakani!
ReplyDeletePole sanaaaa mzee wa " You will never walk alone". Ndo ukubwa huo. Muhahahahah
ReplyDeletegemu ilikuwa tamu mno kuiangalia.raha ya mpira magoli lkn pia ile hali halisi ya mchezo ndo ikaongeza chachandu zaidi.
ReplyDeleteCL izi ova sasa iliobaki turudishe nguvu ktk EP.
walete hao wachonga magobore hiyo J4 tuwape mkono(5).
"LFC 4 LIFE"
Sio mbaya sana kwa sababu mmeendeleza ile kanuni ya 4 * 4 * FAR lakini mmetolewa nje ya OUT kwenye kombe la UEFA cup
ReplyDeletetehetehetehe, yaani muwatoe Real Madrid halafu mkachukue kombe, nani kasema. huo ni utaratibu mkuu ukimtoa Real Madrid manake umejilaani mwenyewe.
ReplyDeletechelsea hamchukui ubingwa timu yenu bado, hiyo nina uhakika anayebisha tupinge
ReplyDeleteMbona husemi vizuri mkuu?? au usingizi umekushika??
ReplyDeletePole sana Bwana Michuzi..ndo ukubwa huo,maana asiyekubali kushindwa si mshindani..ndio mjifunze next time msiwe mnaongea sana..maana kuwafunga Real Madrid mliona ndio mmemaliza kila kitu..kumbe kazi iliyokuwa mbeleni mlikuwa hamuijui..teehhh..ehhehe..weka picha basi..
ReplyDeleteHongera Chelsea.Dah lakini mbona mna-dive kuliko madiver ktk olimpiki.Ya disgrace fungus.Jumamosi tutawafundisha mpira katika FA cup.Viva Arsenal.
ReplyDeleteKaka Michzi mbona picha hakuna leo? Weka ya Lampard basi.. Ama?
ReplyDeleteeti chelsea hawachukui ubigwa,put ur fact straight mate.,haha ngoja ni kanywe bia vijana wangu wamenifuraisha, 7 hahaha safi sana
ReplyDeletePole sana kaka!! Inauma kufunga magoli 4 away na kutolewa.
ReplyDeletete te te te michuzi. mzee wa tottenham hale- london nawakilisha. pole mzee. lakini ktk kila kinyang'anyiro chochote lazima kuwepo mshindi. pia liverpool mmedhihirisha yale yale aliyowahi sema Maurinho kuwa Liverpool hamwezi kucontest vikombe zaidi ya viwili kama Man UTD. sawa mzee?????????
ReplyDeleteCheski wakiweza kurekebisha makosa ktk difensi watawatoa tu Barca.sema kwa difensi kama ya gemu hii ya leo cjui nani atakayemzuia Etoo na Messi.dont 4get Henry atataka sana kung'ara watakapocheza London.haha
ReplyDeleteanyways,kila ki2 kinawezekana.
Final, all English teams(Arsenal VS Chelsea).Wadau wa Manure sorry,mtashinda na Porto lkn mtatolewa na Arsenal.teh teh
"LFC 4 LIFE"
pamoja na kwamba wametoka, liverpool wamedhihirisha kuwa bado ni timu tishio na ya kuheshimika.
ReplyDeleteJogoo alikua mbishi sana kufa leo, keshanyoyolewa manyoa na maji ya moto wapi anachomoka ili akimbie, hadi kile kisu kinachoitwa lampard kilipotenganisha kichwa na shingo!. Nimeamini ukitaka kumchinja jogoo wa kienyeji usitumie kisu butu,na hakikisha umetenganisha kichwa na shingo mapemaaaa.
ReplyDeleteTushukuru mungu lile shuti la Alex liliishia nyavuni.Laiti lingekua off target jamaa angepata kesi ya mauaji!
ReplyDeleteThanks liverpool mmeupamba usiku wa jumanne ya tarehe 14! never say die spirit! maana hata Benitez alishakubali baada ya goli la tatu la Chelsea,akaona arudishe bunduki yake ya Kispaniola kabatini baada ya kuanza kupata kutu!
Another trophy less year for liver fools, hahahahaaaa.
ReplyDeletecarling cup out, fa cup out, champions league out na premiere Manu anawasanifu kwenye site mirror. Mwaka huu mnawoki aloni.
KWISHNEHIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!
MKAUZE UTUMBO SASA, MAINI HANUNUI MTU.
Mdau SKONYO Helsinki.
I told you before that u will never walk alone Michuzi,because there is so many blue lions called Chelsea at the bridge,unaona sasa!!
ReplyDeleteBARUA YA WAZI KWA PETER NALITOLELA
ReplyDelete________________________________
WADAU HONGERA SANA KWA KUSHINDA TIMU YETU, ILA JIHADHARINI SANA NA PETER NALITOLELA MUSOMI WA MUZUMBE ATAKUJA KUDAI KWAMBA YEYE NA US-BLOGGER NDO WAMEFUNGA MABAO, KWA SABABU SIKU HIZI WAMEGEUZA KIBAO KWAMBA WAO NDIO WAMESOMA OXKFODI NA MUZUMBE NA HUKU NDIO MA MBUMBUMBU WA UCHUMI NA KIINGEREZA
WEWE PETER NALITOLELA, NADHANI UTAPATA AMANI UKIFUNGA ARUSI NA MLIMBWENDE RAY-C AMBAYE AMECHUMBWA NA MWANAHARAKAIT RAIS MTARAJIWA 2015 JONI MASHAKA,
LAKINI CHUNGA SANA KWANI WEMA SEPETU ATAVUNJA KIOO CHA GARI LENU
MIMI KAMA MKEREKETWA NA MPINGA UFISADI NA USENENE NAMBA WANI, BADO NAWAPIGIA DEBE MWANAHRAKATI GENIUS, RAIS MTAJARIWA 2015 MT. YHANNA MASHAKA NA WAZIRI MUKUU DR. HILDEBAND SHAYO WA KULE RONDONI NA MACHO YA MUNENE JK JANUARY MAKAMBA
LICHA YA KUSAKAMWA NA WAOSHA VINYWA KUTOKANA NA LUGHA YAO, NIMEPENDEZWA JINSI UNAVYOCHAMBUA MAMBO HASA KUHUSU MAENDELEO YA TAIFA LETU.
NADHANI MIMI NITAIPELEKA HII MAKALA KWA WABUNGE WETU KULE DODOMA
MHESHIMWA RAIS MTARAJIWA, TUNAKUUNGA MKONO, NA TUTAZIDI KUKUOMBEA DUA, ILI MUNGU AKULINDE DHIDI YA MAADUI AMBAO PIA UMEONYESHA UNA UPENDO NAO KAMA VILE US- BLOGGER
MZEE WA PAMBA, JAKAYA MRISHO KIKWETE TUNAMPA KURA TENA, 2010 KWA MASHARTI KWAMBA LAZIMA ATUPE MIBARAKA YAKE KWA AJILI YA 2015.
MZEE MZIMA, MZEE WA BAGAMOYO, MZEE MTANASHATI, MZEE WA PAMBA, TUNAOMBA UWABARIKI WANAO.
MBARIKI MASHAKA, MBARIKI, SHAYO, MBARIKI JANUARY PAMOJA NA RIDHWANI
Mh. MT. Mashaka, January, Dr. Shayo na Ridhwani. Kwa hiyo naomba msinisahau ifikapo 2015 HAMNA MSHABIKI MWINGINE NCHINI TANZANIA ZAIDI YANGU .
ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
ZIDUMU
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KIDUMU
KIDUMU FIRKA ZA LAIS MTARAJIWA 2015
ZIDUMU
ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU 2015
ZIDUMU
MAFISADI YOTE NAYO YACHAPWE MBOKO
YACHAPWE
MKEREKETWA, YOMBO VITUKA !!!!
-----------------------------------
Dakika 30 za Internet Café Zimekwisha
Mdau Bennet tupo pamoja kwenye hili ila sasa sio UEFA CUP NI CHAMPIONS LEAGUE kwa maana lile kombe liver wanalosema wakiingia robo fainali huwa wanashinda mpk mwisho ndio hilooooo yaani kama Bata kuharishia ugali. Da! maskini kama Yanga vile.
ReplyDeleteMdau Davey Road
hahahahaha hiyo ndio hali halisi pole mkuu sijui limebaki lipi maana premier itakuwa mambo yaleyale labda mwakani......poleeeeeeeeni
ReplyDeleteFrm BBC "2058: GOAL Chelsea 2-2 Liverpool (agg 5-3)
ReplyDeleteThat one's definitely gone in. In fact, it almost broke the net. Alex steps up and unleashes a viciously swerving free-kick from 35 yards, leaving Pepe Reina grasping thin air. " Hakika ungetoka nje sipati picha mashabiki wa chelsea pale nyuma ya goli ingekuaje!
Ushabiki bwana unaweza kurusha ngumi hebu chukua hii toka BBC bro Michu..From BBC Sport's David Garrido at Stamford Bridge: "Chelsea fans taunting Pepe Reina with chants of 'Are you Riise in disguise?' - referring to the own goal he scored at Anfield last season."
ReplyDeleteWakati mwingine hata kwa 4 x 4 x far mambo yanakuwa sio riziki.
ReplyDeleteWachezaji wa Chelsea wanahitaji kufanya mazoezi ya kuongeza stamina maana kila wakijikwaa kwenye unyasi karibu na maeneo ya hatari walikuwa wanaanguka. Refa alikuwa akiona ile hali anadhani kuna mchezaji amefanyiwa madhambi.
Basi tena kombe linaenda Hispania kwa Messi na Eto'o. Fainali itapendeza kati ya Porto na Barcelona.
ReplyDeleteYAAAAAWN...
ReplyDeletehahahhahaa...umekuwa paka..??
kusema ukweli liverpool hakuna kombe mwaka huu..
NAWATAKIA MAFANIKIO MEMA MWAKANI..
ngoja wenye kujua mpira tuendelee kuchukua makombe hadi yafikie idadi tunayotaka...''i mean five cups''
MAN U 4 ALL THE WAY..HOLLA..
Duh! mi siawahi toa maoni lakini mkuu wa nanii huwa ananitonesha Man Utd wakifungwa!
ReplyDeleteSijaona maoni maoni yako mkuu wa nanii baada baada ya maini kutafunwa nchi kavu wala sio bwawani
Mwaka huu lazima mumfukuze kazi Benitez, subiri siku siku watakapokosa Premium championiship "lakini haumi ilimradi sio Man U.
Mzee wa madokomaa Tx pole sana.
ReplyDeletecredit should be given where it deserves you.... gat Game liverpool !! no doubt about it, no one thought you would bounce back and bow out with style it was a great bow, i an avid man u fan gave you a standing ovation, mmepigana kiume na huo ndio mpira
ReplyDeletea manchester united fan
kwa heli bwawa la maini, na pole sana washabiki wa bwawa la main, the bluz wanasonga, tutaonana mwakani kama unajitahidi kiasi hiki maana bwawa la main ni wabovu mpaka basi, NAOMBA MICHUZI USIBANE HUU UJUMBE
ReplyDeletewacheni majungu liver wamejitahidi tena sana tu, mpaka dakika ya 86 hakuna mtu aloweza kujua nani atatoka, wanahitaji pongezi liver, na hao chelsea tutawaonesha j1
ReplyDeleteMTAPIGA SANA KELELE MWAKA HUU SISI TUNAWATIZAMA TUU. HAMJUI KUWA FAINALI NI BARCA NA ARSENAL? INAJIRUDIA FAINALI YA MIAKA MITATU ILIYOPITA
ReplyDelete