Ally Rhemtullah
Darling Presents Ally Rehmtullah's DELECTABLES!
A new collection sponsored by Darling Hair Products - and co-sponsored by Oddysey International, Sea Cliff Casino, Kempinski Casino, Redds Fruit fusion, Eyecatcherz, Ashton Media, Tohatsu,Zain, Hugo Domingo, Sawan Tanzania, i-view Photography, DarLife and Dar411.
held at The Moevenpick Royal Palm Hotel.










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2009

    Mbona wadada wetu wamekomaa sehemu za magoti?
    Wadau kunasababu yoyote ya wao kuwa hivyo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2009

    yote nimeyakubali kasoro hii picha ya mwisho kabisa chini. anyway kwakuwa ni onyesho la mavazi siwezi kuchonga sana hasa kuhusu viatu. ila kunakijitabia hapo tz cha ushamba flani ambao unakuta watu(HASA WANA MUZIKI NA MADANSA WAO)wamejikoki na mavazi flani bila kufahamu kuwa mavai hayo huvaliwa hasa ktk majira fulani ya mwaka,mfano viatu virefu kama alivyotinga huyo mdada ktk picha ya mwisho,au makoti,suruali,na kofia za ngozi ambavyo huvaliwa nyakati za winter(majira ya baridi),kisha mtu huyo ndani ya DAR tena juwa kali basi unakuta katinga vazi hilo kisha anatumbuiza. nadhani hii hutokana na kuona video ambazo mavazi kama hayo yamevaliwa na watu ambao mhusika anawahusudu au majarida yanayotangaza mavazi lakini wanashindwa kutambua kwamba ni advert za mavazi ya winter na au picha zilichukuliwa nyakati za winter.
    vinginevyo hureee wanamitindo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2009

    Good job Remtulah,na mamodel uliowachagua si haba kabisa,mdau hapo juu umekosea kuhusiana na hizo boots za huyo dada hapo picha ya chini kabisa,fuatilia mkuu,boot hizo zina maana yake na huwa turn on wanaume kwenye shughuli za kimapenzi,usi crame te kuwa ni za baridi licha ya kwamba madhumuni halisi ni hayo,na mara nyingi zile za baridi huwa na furs kiani na more thicker....Hujawahi angalia porn nini?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2009

    Hizo boots ni za mishawasha wakati wa mapenzi,fuatilieni wadau,wengine pia huvaa wakati wa bike riding etc na si mambo ya winter tuuu,give em a break damn it!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2009

    wasichana wamekomaa magoti kwa vile wamepiga sana magoti wakiwa shuleni....halafu watu hawa exfoliate sana bongo na lotion za bongo ndio hivyo ...zilizotoka majuu mpaka mtu a add water ili i last longer hivyo inakua haifanyi kazi

    Hiyo goti inhitaji a good apricot scrub na good lotion mambo yote yanakuwa mswano

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2009

    Hahaha! jamani?? eti buti zinawaturn on watu wengine... hahahaha
    haya chapweni na bakora za ngozi baso.. hehehe mwisho mfungwe na kamba ay kutembelewa na high heels mkiwa watupu .. hahahha sio kila mnachoona kwenye TV ni practical... hahahahah.
    Mtu na akili zako unaamini kwamba mabuti ya ngozi yanakuturn on basi ujue una matatizo ya kisaikolojia.. thats too extreme.....Ama kweli media ina nguvu..
    yaani nadhani leo ntacheka mpaka nalala...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2009

    Mdau hapo juu huo ndo ukweli wa mambo,na kwa taarifa yako boots hizo zilifanywa more popular kwenye adult films,sasa zile films za adult ambazo mademu wanavaa kama manesi ama askari utasemaje? Yani utaanza kujiuliza ni kivipi hayo mavazi yanawaturn on wanaume na ndio maana maporn star wanayatumia? Its just styles that turns on some people ndo ukweli na bishara ni kuwa mbunifu,once again hongera mbunifu wa mavazi hayo,na mdau Tumia ubongo kidogo na kama hujasafiri basi hujaona mengi,omba Mungu uendelee kuishi kwani kuishi kwingi ndo kuona mengi kwani hutalala hovyo kama unavyodai unacheka tu na kulala,bongo bana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...