
Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Morogoro , John Joseph ( kulia ) akimkabidhi kikombe cha ushindi wa mashindano ya Bonanza la Mapambano ya Rushwa kwa shule za Sekondari wanachama wa mapambano hayo, Nahodha wa timu ya soka ya Sekondari ya Kayenzi, Manispaa ya Morogoro, Zuberi Dadi ( kushoto) baada ya kumalizika kwa fainali hizo ambapo Kayenzi iliweza kuifunga St: Patrice kwa mabao 2-0, mchezo uliofanyika Mei 9, mwaka huu katika uwanja wa Shule ya Sekondari Mwembesongo.

Mwanafunzi wa kike ambaye ni Mtoa huduma ya kwanza wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Kayenzi,Tekla Godfrey ( aliyeshika dawa) akiwatibia baadhi ya wachezaji michubuko waliyoipata katika kipindi cha kwanza wakati wa mapunziko , timu ya shule hiyo ilikuwa mbele kwa bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao shule ya St: Patrice , katika fainali ya Bonanza lililodhaminiwa na Takukuru Mkoa wa Morogoro , mei 9, mwaka huu mjini hapa. picha na mdau wa mji kasoro bahari John Nditi.
Kwa ushauli wangu tu.Huyo mtoa uduma inabidi kwanza ajifunze person hygiene, huwezi toa huduma kama hujui your persone hygiene,
ReplyDeletehuyu dada jamani anajikinga vipi mbona mkononi hajavaa kitu!!
ReplyDeleteWhere is the gloves???jamani bare hand na anatibu michubuko sasa ndio kusaidia watu au ataishia kupata na asiyoyategemea, kajitolea mpeni binti vifaa vyote vya kutendea kazi jamani!!!I am pissed!!
ReplyDeleteUzushi MTUPU!
ReplyDeletewithout surgical gloves, ndo mwanzo wa kuambukizana diseases, at the end of the day unashangaa umepataje....
ReplyDeleteAIBU AIBU AIBU KUBWA HATA KWAKO MICHUZI KUTOA PICHA INAYOHUZINISHA KAMA HII SASA NIMEGUNDUA UKIMWI TZ UTAONGEZEKA BADALA YA KUPUNGUA YAANI KWELI MTOTO BINTI MDOGO HUYU ANATOLEWA KAFARA HIVI MICHUBUKO INAHUSISHA DAMU MCHUBUKO MPYA MAANA DAMU NAYO INACHEMKA, HUYU BINTI HAJAVAA GLOVES JE KAMA NAYE ANAMCHUBUKO HATA KAMA KIDOGO INAKUWAJE HAPO? NA USIKUTE AMEKUWA AKIFANYA HIYO SHUGHULI KWA MIAKA MIWILI NA KUSIFIWA KAMA MTOA HUDUMA YA KWANZA MZURI JE KUNA KUPONA HAPO? HEBU TUUTOKEMEZE HUU UGONJWA HATA PALE INAPOWEZEKANA KWA VITU VIDOGO KAMA HIVI, KUNA MAENEO MENGINE NI MAGUMU AMBAYO HATA RAIS MSTAAFU ALIWAHI SEMA HAYO NDIO YANAIHITAJI MUDA MREFU WA UELEWA NA KUJINYIMA.
ReplyDeleteKwahiyo wanafanya bonanza ili kuhamasisha watu kuhusiana na mambo ya rushwa? Mbona majina mnayo na data zote mnazo lakini hamzishughulikii?
ReplyDeleteWabongo ni either tuna uwezo mdogo sana wa kufikiri, ama tunajitia ma-genious sana kupindisha mambo yaliyo straight-forward kwa kujitia hatuelewi kwamba tunachokifanya ni mazingaombwe. In this way tutabaia masikini milele..... ha ha ha!!!!!!
Dada mtoa huduma ya kwanza alipaswa avae gloves mikononi kujikinga na damu au majimaji kutoka kwenye miili ya wengine, siku hizi magonjwa mengi!
ReplyDeleteMichuzi, mark this date Saturday, May 16, 2009. Chonde chonde usijinyonge mambo ya kawaida pia najua mmeshazoea sasa kwa miaka 19 kugombania nafasi ya pili. J'tano tutashinda na J'mosi droo itatutosha kutangaza ubingwa.
ReplyDelete/IBU AIBU AIBU KUBWA HATA KWAKO MICHUZI KUTOA PICHA INAYOHUZINISHA KAMA HII SASA NIMEGUNDUA UKIMWI TZ UTAONGEZEKA BADALA YA KUPUNGUA YAANI KWELI MTOTO BINTI MDOGO HUYU ANATOLEWA KAFARA"
ReplyDeleteSASA WEWE AIBU GANI UNAYOONGELEA. HUU NI UKWELI SWALI LANGU NI WEWE KAMA MTZ UTAFANYA NINI KUSAIDIA KUTATUA HILO TATIZO HATA MAONI YANASAIDIA!!!!! ACHENI KUPENDA FICTION HUO NI UKWELI KWENYE PICHA KAMA UKO TZ TOA ELIMU YA SELF PROTECTION NA KAMA UKO NJE NEXT TIME MTU ANAENDA NYUMBANI BADALA YA KUTUMA JORDAN SHOES KWA BRO TUMA BOX LA GLOVES KWA PUBLIC DISPENSARY!!!!!
Mambo mengine ni magumu sana kuyaelewa hapa nyumbani! Yanazua maswali mengi kuliko majibu:
ReplyDelete1)Je, kuna uhusiano gani kati bonanza hizo na mapambano ya rushwa?
2)Takukuru ama wananchi wanafaidikaje na bonanza hii hususani katika vita hii ya ufisadi?
3)Au wanajaribu kuwafunga macho wananchi kisaikojia kwa kuwapa burudani wakati ukweli ni kwamba nchi inatafunwa na wenye meno(mapapa na nyangumi)?
4)Au ndo kujaribu kurudisha imani ya wananchi kwao? KWanini wasifanyie kazi tuhuma ambazo kila Mtanzania mwenye akili timamu anazijua?
FANYIENI KAZI MLIYOPEWA YOTE AMBAYO TAARIFA ZAKE MNAZO
ReplyDeletenyie takukuru na whoever the is concerned uko sirikalini na idara zake zenye kuogopana maana ni nani aanze kurusha jiwe kama yeye msafi?au kitumbua kiingie mchanga uishije na family yako??
mnaboAAA sana,shezy