Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ukimaanisha nini???
ReplyDeletewee mtoa katuni???
hotel hazina food au watu njaa kali
Hii inamaanisha nini sasa
ReplyDeleteBwana Michu eh, hutu Dogo sasa keshaanza kutuchanganya. Hapo mi hata sijaona ujumbe wowote.
ReplyDeleteHebu turudishie Kipanya wetu sie.
Mwanza- ugali debe mboga ndoo, Wali ni appertizer, ukichelewa utakuta kitu kweli??!!
ReplyDeletehahahaha!!! sasa nyie hamjui kua mwanza ndio kwa mangosha wenyewe..ugali kwao ndio chakula namba moja, ukimpa chakula kingine anaona hajala kitu kabisa....duh..big mtoto wa uswazi
ReplyDeletekila nyumba niliyoenda Mwanza imejaa chakula na wanakupa bila uchoyo. unaweza kujikuta umevimbewa. sasa wewe sijui ulienda mwanza ya wapi???
ReplyDelete