Home
Unlabelled
JOPO JIPYA LA UFUNDI LA TAIFA STARS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa mbona hayo maelezo ujashinda sasa hivi na umefungwa wewe maximo hivi juma kaseja bado ana nidhamu tu huyu kocha muda umefika wa kumtimuwa anapata pesa za bule hivi kwanini utaki kutoka kila siku tufungwe sisi.. wewe maximo ondoka bwana....michuzi mwambie dogo amchore huyo kocha....
ReplyDeletekaka michu naomba kujua habari za huyu mwenzetu ali bushiri yupo bado ama ameshatolewa?
ReplyDeleteMAXIMO SIO KOCHA NI TEKNISHENI AU MBABAISHAJI FULANI.LABDA APEWE MALAIKA AWAFUNDISHE.
ReplyDeleteKASEMA KUWA BOBAN.MAFTAH,CHUJI NA KASEJA HAWANA NIDHAMU LAKINI MAKOCHA WA TIMU ZAO HAKUNA HATA MMOJA AMESHINDWA KUWAFUNDISHA KWA KUKOSA NIDHAMU AU WAMEWAHI KUMFUNJIA HESHIMA KOCHA WA CLUB AWE KONDIC AU PHIRI.
MAXIMO KASHINDWA KUFANYA KAZI NA WABRAZIL WENZAKE KAMA TINOCCO NA HUYU WA AZAM.
WAMEKUBALI WAACHE MARUPURUPU MAKUBWA STARS KULIKO KUFANYA KAZI BILA UHURU CHINI YA MAXIMO.
MLIOTIZAMA MECHI YA MACHESTER UNITED NA MAN CITY MTAKUWA MMEONA UTOVU WA NIDHAMU ALIOFANYA RONALDO,KATOLEWA KUMPISHA SCHOLES AKAKASIRIKA ALIPOTOKA KUPEWA SODA/KINYWAJI NA MHUDUMU WA TIMU AKAITUPA JUICE/SODA ILE.
AKAENDA JUKWAANI BILA KUMPA MKONO MTU YEYOTE AKAWA ANATIKISA KICHWA KUASHIRIA KUTOKUBALIANA NA KOCHA.
MWISHONI AKAANZA KULIA.
MNAWEZA KU GOOGLE HABARI HII
SUBSTITUTED RONALDO THROWS A STROP.
AU RONALDO IS TOP OF THE STROPS.
PIA JUZI LEDLEY KING AMBAYE NI CAPTAIN WA TOTENHAM BAADA YA MECHI AMEKWENDA DISCO NA AMEPIGANA AKAWEKWA RUMANDE NA JANA KATOKA KWA DHAMANA. INGEFIKIA KWA BOBAN KUMPIGA MTU BAR KWA ULEVI DOMO LA MAXIMO LINGEKUWAJE?
HIVI KWELI DIEGO MARADONA WATU WA ARGENTINA HAWAJUI KAMA ALIKUWA ANAKULA MADAWA YA KULEVYA? MBONA WAMEMPA TIMU YA TAIFA NA INAFANYA VIZURI HIVI SASA.
RIO FERDINAND ANAVUTA BANGI LAKINI KWA BUSARA NA SAIKOLOJIA YA FERGURSSON AKAMPA U CAPTAIN ILI KUMBANA NA KWELI IMEFANYA KAZI.
MCHEZAJI KAMA ROONEY ANGEPEWA MAXIMO ANGEMPOTEZA KWANI ROONEY ALIKUWA MKOROFI LAKINI BUSARA NA EXPIRIENCE ZA WANAUJUA MPIRA ZIMEFANYA KAZI.
MAXIMO ANASEMA ANATAKA VIJANA KINA BONNY AMEWAACHA KWA VILE TU WANA MIAKA 28 SWALI GIGGS ANA MIAKA 37 NA KWA VILE ANAFANYA VITU VIZITO FERGUSSON HAMUACHI REGARDLESS UMRI.
BABETOV AMECHUKULIWA NA MANCHETER ANA MIAKA ZAIDI YA 28.
DROGBA SIO RAHISI KWA KOCHA WA IVORY COAST KUMUACHA KWA KISINGIZIO CHA UMRI KUWA ANA 33 NA TIMU YAKE ANATAKA VIJANA TU.
UZOEFU NI DAWA KAZI ANAYOFANYA ANELKA AU DROGBA MTU KAMA KALOU HAWEZI KUIFANYA.
KOCHA WA SOUTH AFRICA ALIKUWA PERRERA -MBRAZIL KWENYE KOMBE LA CAN AKASEMA ANACHUKUA WATOTO NA KUMWACHA MZOEFU BENNY MCTHACY.
TIMU YA SOUTH AFRICA HAIKUFIKA HATA ROBO FAINALI. NGOMA YA WATOTO HAIKESHI.
WENGER ANAJUTA KUWA NA MSIMAMO WA MAXIMO KUWA TIMU NI WATOTO KWANI KILA AKIGEUKA ANAKULA MABAO,
HIVI SASA ANASEMA ATASAJILI MWENYE UZOEFU KAMA KINA DROGBA AU ANELKA NA ANAJUTA ANELKA KUONDOKA.
KAMA NIA YAKE NI VIJANA BASI ACHUKUE HII TIMU YA VIJANA NA SENIOR TUTAFUTE KOCHA MWINGINE.
ILA SWALI GUMU KWA TFF HAWA MAKOCHA NANI ALIPITIA CV ZAO NA KUPATA REFERENCE ZAO? AU MAXIMO NDIO KAWA MKUU WA UKUFUNZI WA TFF, PIA NI WAKALA WA MAKOCHA NK.
JAMANI MAXIMO AFUNGWE SPEED GAVANA ANA NGUVU KULIKO YEYEOTE NDANI YA TFF.
AMEFUKUZA WACHEZAJI WETU WENYE UZOEFU LAKINI HAKUNA KAMATI WALA TUME ILIYOWAHOJI WACHEZAJI WETU KUJUA NINI KILIWASIBU.
KIFUPI MAXIMO KAWALISHA LIMBWATA WATANZANIA EXCEPT MIMI MDAU KISIJU.
MHESHIMIWA KISIJU HUISHIWI MAJUNGU..LAKINI HAYO MAJUNGU HAYAKUFIKISHI POPOTE
ReplyDeleteHAO WAZOEFU WAKO KINA BOBAN, KASEJA , CHUJI WAMEZIFANYIA NINI TIMU ZAO? ..HUYO KASEJA ENYIMBA PEKE YAKE WAMESHAMTUNGUA MAGOLI 16 NA ALIFUNGWA MAGOLI KIBAO TU ALIPOKUWA STARS, SIMBA MARA KIBAO INAFUNGWA BOBAN AKIWA NDANI.
UNAJARIBU KUTETEA UPUUZI WANAOUFANYA KWA KUTUMIA MIFANO YA AKINA CRISTIANO RONALDO.UNAJUA KWA SIKU MOJA CRISTIANO ANATUMIA MASAA MANGAPI KWA AJILI YA MAZOEZI YAKE BINAFSI? AU UNAMUONA TU KWENYE TV HALAFU UNAFIKIRI KILE ANACHOKIFANYA NI KITU CHEPESI!!
KWA TAARIFA YAKO HATUNA WACHEZAJI WAZOEFU WENYE KUWEZA KULISAIDIA TAIFA KWENYE MECHI NGUMU KAMA ILE DHIDI YA CONGO..UKUMBUKE KUWA WACHEZAJI WATANO WA TIMU YA CONGO KUANZIA KIPA MPAKA NAMBA TANO WANACHEZEA MOTEMA PEMBE, TIMU AMBAYO BAADAE MWAKA HUU ITASHIRIKI LIGI YA NANE BORA YA AFRIKA, HUWEZI UKAWALINGANISHA WACHEZAJI WALE NA WACHEZAJI WETU AMBAO TIMU ZAO KILA SIKU ZINATOLEWA KWENYE HATUA ZA MWANZO ZA MASHINDANO MAKUBWA YA AFRIKA!!
TULIPOTEZA MUDA MREFU KWENYE UPUUZI WA AKINA NDOLANGA NA WENGINEO ENZI ZILE ZA FAT NA SASA TUNALAZIMIKA KUKIMBIA KWA NGUVU ILI TUWAFIKIE WALIOSHATUACHA, WENZETU CONGO WAKATI ULE WALIKUWA WANAANDAA HII TIMU TULIOCHEZA NAYO JUMAMOSI!!KWA TAARIFA YAKO ILE TIMU YA CONGO SIO TIMU ILIYOANZA KUANDALIWA MWAKA 2006 KAMA HII STARS YA MAXIMO.
HAIWEZEKANI WACHEZAJI WETU WANAOTOKA KWENYE VILABU VIBOVU KAMA SIMBA NA YANGA ETI WAKAWEZA KUFANYA MIUJIZA KWENYE TIMU YA TAIFA KWA SABABU TU ETI WANALALA KWENYE HOTELI ZA KISASA NA FEDHA NYINGI ZINATUMIKA KUWATUNZA..KISIJU NENDA KAWAULIZE ANGOLA NI KIASI CHA PESA WALITUMIA KUWAANDAA AKINA FLAVIO NA WENZAKE..AU NENDA UKAWAULIZE VIONGOZI WA AL AHLY WAMETUMIA MPAKA SASA HIVI KIASI GANI CHA PESA KWA AJILI YA KUWAKUZA NA KUWATUNZA AKINA WAHEED GOMAA
MPIRA WA SASA NA GHARAMA KUBWA NI KAMA KULWA NA DOTTO, HAVITENGANI HATA KIDOGO, NDIO MAANA WATU WENYE UELEWA MKUBWA KAMA AKINA MOHAMED DEWJI WAMEWAKIMBIA WATU WENYE MAWAZO KAMA YAKO WEWE KISIJU NA WAMEAMUA KUNUNUA TIMU ZA KWAO WENYEWE ILI WAWEZE KUTENGENEZA TIMU YA KISASA, SIMBA NA YANGA SIO TIMU ZA KISASA NA ZIMEJAA MAELFU YA WATU WENYE FIKRA ZILIZOGANDA NDIO MAANA MPAKA LEO NI MAJUNGU KILA KUKICHA...KISIJU BADILIKA KIFIKRA NA KIMTAZAMO LA SIVYO UTAENDELEA KUONEKANA KICHEKESHO.
HAO WADAU WANAOTAKA ETI KUMSHAURI MAXIMO JUU YA UENDESHAJI WA TIMU YA TAIFA..WANGEANZA KWANZA KUPELEKA USHAURI WAO KWENYE VILABU VYAO ILI VIWEZE KUBADILIKA, NI UNAFIKI KUSEMA MTU ANA UCHUNGU SANA NA PESA ZA WALIPA KODI HALAFU WAKATI HUO HUO ANAACHA UPUUZI MWINGI TU UENDELEE KUOTA MIZIZI KWENYE TIMU ZETU, WACHEZAJI WA TIMU KUBWA ZA KIBONGO WANAKOSA MECHI NYINGI NA NGUMU ZA KIMATAIFA HALAFU MATUNDA YA UZEMBE WA VILABU VYETU ANATUPIWA MAXIMO!!
MCHEZAJI WA KISASA ANATAKIWA AENDE GYM ANGALAU MARA 3 NDANI YA WIKI MOJA, HAWA WA KWETU WANAKWENDA GYM KAMA INAVYOTAKIWA?, SIMBA NA YANGA WANA GYM ZA KWAO WENYEWE? HAO WACHEZAJI WATAWEZA VIPI KUTENGENEZA MIILI YENYE NGUVU KAMA HAWANA MAZOEZI YA KISASA!!,AU KISIJU UNATAKA MAXIMO AWE ANAWALIPIA GHARAMA ZA KWENDA KILA SIKU?... NDIO MAANA NASEMA SIMBA NA YANGA ZIMEJAA WAPUUZI WASIOELEWA LOLOTE KUHUSIANA NA SOKA LA KARNE TULIYONAYO
WAO WANASUBIRI HELA ZA MILANGONI BADALA YA KUTOA MAWAZO YATAKAYOJENGA TIMU ZAO, KISIJU INABIDI TUZIUNGE MKONO SANA TIMU ZA AFRICAN LYON NA AZAM ILI ZIWEZE KUTULETEA MABADILIKO YA KWELI...TUACHANE KABISA NA HIZI TIMU ZILIZOPITWA NA WAKATI.
WEWE MUUMINI WA MAXIMO HAPO JUU INAONEKANA SOMA HULIJUI NA UMELIJUA ALIPOKUJA MAXIMO AUGUST 2006.
ReplyDeleteTANZANIA TUMEZALISHA WACHEZAJI KAMA SUNDAY MANARA NA WAMECHEZA ULAYA NA KOCHA WA CHELSEA ALIPOKUWA KWAO HOLLAND 1978,JEE SUNDAY ALIKUWA NA GYM YAKE? WAPO WENGI KAMA ADOLPH,KASSIM MANARA N.K WAMECHEZA KWENYE MEDANI ZA KIMATAIFA.SUNDAY ALIKUWA ZAIDI YA DROGBA JEE WALITUMIA GYM YA MAXIMO?
SUALA LA DEWJI KUWA NA TIMU YAKE HAKI YAKE HATA WEWE UNAWEZA KUWA NA TIMU YAKO BUZWAGI .FC.
SUALA LA UWEZO MDOGO WA MAXIMO HALIHUSIANI NA SIMBA WALA YANGA. MIMI SIJAKUWAMBIA KUWA NI MPENZI WA SIMBA WALA YANGA TIMU YANGU KISIJU FC.
UNAPOKUWA NA KESI NA UKAHUKUMIWA KAMA HUJARIDHIKA NA HUKUMA UNAENDA NGAZI YA JUU KAMA NI MAHAKAMA YA RUFAA AU BMT N.K.
NIMEKUPA MFANO WA ENEO LA SAIKOLOJIA YA WACHEZAJI JINSI MASIKIO ALIVYOFELI.WEWE UNAKUJA NA HOJA ZISIZO NA MASHIKO.ETI RONALDO ANAKWENDA GYM MARA KUMI KWA SIKU.
USHINDI NI COMBINATION YA WATU KEANE ALIPOKWENDA LIVERPOOL ALISHINDA MAGOLI MAWILI TU KWA VILE ALIZOEA KUTENGENEZEWA NA BARBETOV.
JUZI LIVERPOOL NA WEST HAM TORRIES HAJAFUNGA LAKINI KATENGENEZA MAGOLI KARIBU YOTE.
SAWA KABISA BOBAN HANA MAGOLI MENGI LAKINI UWEZO WAKE WA KUTENGENEZA MAGOLI HUWEZI KUUPINGA HATA KAMA HUYO UNAYEAMUABUDU-MAXIMO HAMTAKI.
HIVI SASA KASEJA NDIO YUKO JUU HATA KAMA ALIFUNGWA MAGOLI KUMI KWENYE MECHI MOJA.VAN DESAR WA MAN UNITED MECHI NA LIVERPOOL ALIFUNGWA MAGOLI MANNE HUWEZI KUSEMA SIO KIPA KWA VILE KAFUNGWA MAGOLI MANNE.
REINA WA LIVERPOOL MECHI MBILI ZA HOME NA WAY AGAINST CHELSEA KAFUNGWA MAGOLI SABA JEE HAENDI GYM?
WEWE ULIONA WAPI CHAMA CHA MPIRA KINATAFUTA KOCHA HALAFU KOCHA MKUU NDIO ANATAFUTA TENA ANALETA NDUGU ZAKE AMBAO HAWANA UWEZO WA KUFUNDISHA UKIWATIZAMA KWA MACHO TU HAWA JAMAA UTAONA KUWA SIO MAKOCHA. LAKINI KWA VILE WEWE NA MAXIMO MTACHUKUA TEN PERCENT YA MISHAHARA YAO HAMUONI TATIZO.
SIE KINA KISIJU AMBAO KODI ZA NAZI ZETU NDIO ZINATUMIKA KUMLIPA MAXIMO NDIO WENYE UCHUNGU.
SISI KINA KISIJU TUNAUJUA MPIRA TOKA ENZI ZA KINA MZEE TABU MANGARA,HAJJI HASSAN NDIO WENYE UCHUNGU.
KINA PETER TINO WALIKUWA NA GYM GANI?
KWA HIYO MAXIMO TIMU YAKE HAIFANYI VYEMA KWA KUTOKUWA NA GYM? AMEKUJA NA KISINGIZIO KIPYA? JUZI TUMEFUNGWA ANASEMA KWA VILE KIKOSI CHAKE KINA VIJANA WAPYA NDIO MAANA TUMEFUNGWA TUMPE MUDA WAKATI WALIOCHEZA NI KINA CANAVALO,HENRY JOSEPH ETC.