Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2009

    We Masudi lazima simu yako iko bize sana saa hizi!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2009

    Masuzi kwa hii unanidai $100, nime simu yako!!! LOL

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2009

    To be fair wote ni mafisadi. Lakini Mengi alipaswa kwanza akanushe uovu aliokutikana nao kisha ndio aseme wa mwenziwe.Mie nna wasiwasi kuwa hawa wote ni mafisadi na wanataka kuondoa attention za watu.Wanataka watu wasishuhulike na kuibana serikali na badale yake iwe kila siku watu wakiamka wanaangalia magazeti. Kwa kweli kama wote ni wamiliki wa magazeti huu utakuwa wakati wao wa kujipatia pesa nyingi za mauzo ya magazeti.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2009

    Sasaaaa inaamanisha kuwa hawa jamaa wanafahamiana kiundani kiasi hicho? Basi hali inatisha, maana preposition 8 bado inaendelea huku, si mchezo tupe nyeti!!!!!

    ReplyDelete
  5. BIBI UMEMEMay 06, 2009

    the only funny thing there is not their nakedness...just their boxer shorts, why is RA's boxer shorts with love signs.. strange for a man to wear those signs
    kweli wewe KP unachekesha...and gents please bury the hatchets and get back to work .. that is if you have any, i am not a fan of neither, but Mengi you have been too whiny recently you whine a lot,and you take it to the expense of Tanzanians misleading the majority with your whining that someone is always after you because you have good intentions..what Bonny Mwaitege said 'mtanitambuaje kama nimeokooka' should be a reality to you, you dont have to represent us, we have our own voice as for RA i have no words to describe you.. you are linens are so dirty they wont make it back from the dry cleaner, you just better shut your big ego up, flap your tail and recover when all dust has settled

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 06, 2009

    Kweli masoud hubahatishi kwenye kazi zako, hiki ni kipaji.Big up Bro!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 06, 2009

    BIBI UMEME, surely we have our own voices, but are we courageous enough to use the voices? Am worried coz no one has uttered a thing to date, tu mahodari wa kuongelea under the blankets tu! Let those with voices waseme, cos am sure ningekuwa ndio mie nimepayuka hivyo, the authorities would never let me step down safe from hilo jukwaa ambalo ningekuwa nahutubia. Reason, sina mamlaka ya kuhukumu mtu!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2009

    Mengi Kavaa KP!(Clothing Line) Unatisha mkuu!

    Wendy China

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 06, 2009

    Hii kali,
    LAKINI nafikiri Mengi ndo alianza kusema na RA kabla hajakanusha au kukubali nae akasema yake? kwaiyo katuni ipo kind of vice versa? au?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 06, 2009

    Watu wa PCCB zali hilo! dhambi zao hawa jamaa zishaanza kuwadhuru wenyewe wanawapeni evidence na wanatajana wenyewe, nyie hapo kiulaiiiini kiasi tu cha kutuma makachero wenu kuhakiki evidence zao then mnawadokoa kama mwewe anavyodokoa vifaranga!! Au kama vipi mnazidi kuwachonganisha kiaina ili waendelee kuvuana nguo tuwajue vizuri dhambi zao

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 06, 2009

    Ni kweli katuni nzuri lakini iko vice versa. Mengi ndiye alianza kumshutumu RA na RA kabla hajakanusha nae amerusha makombora kwa Mengi. Ukiangalia hizo video za ufafanuzi wa Mengi kupitia mawakili wake utagundua kuwa Rostam ana harufu ya ufisadi. Inawezekana Mengi nae kwa namna fulani yumo ila yeye at least ametoa documents zinazomtetea labda ziwe za kughushi na kama ni za kughushi tusubiri Rostam atatueleza. Jamani hebu tujiulize kwanini hizi shutuma zote za Dowans, Richmond na Kagoda zinamgusa Rostam? Hapo kuna kitu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 07, 2009

    Bebebe kipanya acha hizooooooooooooooooooooooooooooooo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...