
halı zakazı balozı wa nanılıı natumaı mzıma wa afya kwanza tunakupongeza sana kwa kutupa habalı za home kwa nıamba ya wenzangu wa ıstanbul turkey tunakupongeza sana kwa hılo.
kaka dhumunı langu kubwa nata unıtundıkıe hızı taswıra za muonekano wa mısıkıtı huku turkey kwa nyakatı za machana jıonI na usıku
Mdau Istanbul
Mashallah
ReplyDeleteNa nasikia kuwa kuna mwanamke mmoja huko anadizaini miskiti babkubwa
ReplyDeleteKILI
BG
bro mıchu sıku uje huone kostantınal pol yanı ıstanbul nı sehemu ya historia kubwa kıdını mwanzo ılıkuwa mako makuu ya dola la rumı kısha ıkachukulıwa na waıslam wakatı wa osman ımparature.kıongozi wa roman yanı papa hwa anazuru mara kwa mara na juzı raıs obama alıkuja kuzuru eneo hılı la MİAMBA YA VITA ZAMANI
ReplyDeleteAlhamdulillah msikiti umetulia lakini ibada tusikose kuimizana
ReplyDeletewadau tujitahidini kufanya ibada kwani wakati ndio huu tuutumie bado tukiwa tunanguvu, inshaallah allah ataupa nguvu uislamu zaidi na zaidi amin.
ReplyDeleteWOW! UNAİTWA SULTAN AHMET CAMI AU BLEU MOSQEU KWA İLE LUGHA YETU.
ReplyDelete