This is Mr Seif Rengwe (formerly with Tatunane Band)
Many greetings from me and the rest of my Band SIX NATION
with Big LOVE:

We are participating at the European Reggaecontest 2009....so please vote for us!
All you have to do is copy the following link into the address field or click it and vote with your e-mail adress. You will recieve a confirmation e-mail from the reggaecontest (look in your spamfolder, too if you cannot find it). You will have to click the link to confirm your voting!

http://www.reggaecontest.eu/band.php?n=D&id=267

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2009

    WIZI MTUPU HAWA WATANZANIA WENYE ASILI YA ASIA WANATUALIBIA NCHI YETU KABISA SIDHANI KAMA WANAUCHUNGU KABISA NA WATANZANIA HALISI KWANZA WABAGUZI SANA WATANZANIA WAZAWA

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2009

    Seif Rengwe tunakumbuka kazi yenu pale Nyumba Ya Sanaa wakati wa TATUNANE band miaka ile DSM, sawa tuta-'Vote' ila SIX NATION wekeni vitu vingi ktk YOUTUBE maanake sio kuwapa kura bali pia kuhudhuria show zenu huko Koln, Bonn n.k

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2009

    poa sana seif tutavote kwa sana wala usikonde..ila naikumbuka sana tau nane..hivi yuwapi Dullah kaka??bado anafanya muziki??najua walipo kina Tedi na charles!!!nawezaje kupa cda za kazi zenu enzi za tatu nane mkubwa..nna njaa nazo sana tu yani...

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2009

    hapa sijaelewa. hata ile kamati nayo inatakiwa kulipa au? nisaidieni jamani kwa maana nayo ilimgusa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...