Kenyan Arsenal fan hangs
himself after Man Utd defeat
NAIROBI, May 6 (Reuters) - An Arsenal fan in soccer-mad Kenya hanged himself wearing his beloved team’s shirt after their defeat to Manchester United in the Champions League.
Like elsewhere across Africa, Kenyans pack bars for English Premier League and Champions League matches, especially those involving Arsenal, Manchester United, Chelsea and Liverpool.
Suleiman Omondi, 29, was found hanged at his home in a middle-class Nairobi estate shortly after leaving distraught from the pub where he had watched Arsenal lose 3-1 in their Champions League semi-final at the Emirates on Tuesday.
“He took some drinks and broke down in tears within the final minutes of the match,” a fellow bar patron, who asked not to be named, told Reuters.
Police said they were called to Omondi’s house on Wednesday morning. “What we are gathering is this suicide is related to the Arsenal and Manchester match,” local Embakasi area police chief David Bunei told reporters.
Bar attendants said they had to intervene after Omondi lunged at a man who suggested Arsenal would not recover from conceding two early goals. They also lost the first leg 1-0.
Brawls are common in Kenya during football matches and there have been other related suicides reported in the past.
Source:
http://af.reuters.com/article/
sportsNews/idAFJOE5450I620090506
Tunaomba tu 'mananzi' wa 'bwawa la maini' wasifanze hivyo hata kama wakishindwa 'kutwaa premier league cup ya England', yaani wawe na moyo wa 'uvumilivu'.
ReplyDeleteHuyo jamma nadhani alaikuwa tahira au alikuwa na matatizo mengine ambayo ni siri yake. Mkenya na mpira wa Uingereza wapi na wapi.
ReplyDeleteWaingereza wenyewe hawajafikia kiwango hicho, itakuwa mtu uliye maelfu ya km, pengine hata hauwezi kujitosheleza kimahitajio. Endeleeni kufuata mkumbo na mtaona mwisho wake. Soccer imekuwa kama kazi au DINI. Ingekuwa tunafanya kazi kwa bidii kama tunavyoshabikia UK SOCCER, Wallahi nchi zetu zingekuwa mbali kiuchumi.
Ndio maana huwa nasema ngozi nyeusi imelaaniwa! Kufungwa afungwe Arsenal wewe unajinyonga wapi na wapi? Afadhali ungejinyonga kwa kufungwa Gol Mahia ningekuelewa!
ReplyDeleteKama nyie mlivyokuwam navumilia miaka ya 80's nini Mdau wa Manchester united? jibu ndio basi.
ReplyDeleteNa wewe michuzi tutakupoteza muda si mrefu. Man kiboko yao.
ReplyDeleteJamaa kafanya la maana, hiyo ndio tiba yake, hataona mechi za namna hiyo tena.Amejifunza na wengine wajifunze. Yawezekana alikuwa na hamu ya kujua kujinyonga inakuwaje. Kama yule mkenya mwingine aliyeomba apewe filimbi, ajitundike kwa kamba, na akadai akipiga filimbi tu wakate kamba, nia apate experience ya kujinyonga. Kwa bahati mbaya watu waliona filimbi yadondoka na kinyesi kingi, jamaa kashindwa kuipuliza. Mlahabwa, UK
ReplyDeleteHuyo atakuwa kacheza kamali manake hata kamali haiwezekani jamani watu wanakosa Raha kwa vitu vya upinzani tu. Tukumbuke kuna mwenyezimungu. Zaidi ya hiyo man u au Arsenal nk. Jeff.
ReplyDeleteNajua kuna kabila hata ukimwaga ulanzi wake anaweza kujinyonga. Jaluo na Arsenal - I struggle to establish the link. Lakini mtu akijinyonga huwa kavaa nguo ya namna moja au nyingine. Kwamba alikuwa na jezi ya Arsenal does not necessarily mean alijinyonga kufuatia kipigo cha 3-1...
ReplyDeletemwache afie mbalimpira na maisha wapi na wapi
ReplyDeletekama alivodai mdau mmoja hapo juu, kama tungekuwa na uchungu na nchi na dini zetu kiasi hiki, bongo ingekuwa mbali. Mi naishabikia Arsenal, ila ifungwe, isifungwe poa tu, maana kuna wengine timu inafungwa anakosa hamu ya kula, anazima simu, mwishowe dili zikupite kisa Arsenal imefungwa, Alaa! Wenger hata jina langu hajawahi kulisikia. Ushabiki mwingine inakuwa kama utumwa, shabikia kwa raha, ukifungwa ndo part ya mchezo. Yanga yenyewe naipenda na masela najuana nao ila ikifungwa poa tu, ndo game. Badilikeni masela wenye ushabiki wa kupitiliza, hao wazungu hawatujua na wala hatuambulii vipato vyao, wanakula faida kila stan, na wengineo!
ReplyDeleteMahaba ya dhati yalimshukia jamani muacheni..Amehiari mauti kuliko mahaba hayo...RE: Ray C song
ReplyDeleteKupigwa mabao kama hayo inauma jamani then tena ukiwa mwanaume uliokamilika nomaaaa...Muacheni tu ajitundike aibu zimuepuke...
ReplyDeleteHiyo ndio faida na madhara ya kuwa mshabiki wa timu ambazo hazijiwezi...We unakuwaje mshabiki wa timu kama hizo?!! Angalia sasa amejinyonga mwenyewe...Bao moja, mbili, tatu, wewe umeeka tu miguu unafikiri roho itaacha kukuuma...UPUUZI MTUPU...
ReplyDeleteHii inanikumbusha walivyomuuwa Mcolombia sababu ya kamali zao na machungu ya timu. na miaka ya 70 mshabiki wa manchester united ila angalau yeye muengereza alijibugia madawa baada kufungwa na City nak ufa.
ReplyDeleteHUYO ATAKUWA MKIKUYU, WAMEAHIDIANA PESA NA JAMAA KUWA ATAKAYESHINDA ATOE MAFWEZA, JAMAA KASHINDWA ANAWAZA LILE DUKA LAKE LITAFILISIKA KAAMUA KUANZA MAPEMA LOL.
ReplyDelete-Janja.