JK akimkaribisha Rais wa Yoweri mseveni Uganda mara tu baada ya kuwasili uwanja wa kimataifa wa mwalimu nyerere kwa ajili ya kuzindua chuo cha sanaa na sayansi ya jamii (UDCASS - Univeristy of Dar es salaam's College of Arts and Social Sciences) cha chuo kikuu cha Dar leo. Kiongozi huyo wa Uganda ameondoka leo hii hii kuelekea nyumbani.
Home
Unlabelled
museveni atua dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
anazindua chuo cha sayansi ya jamii cha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) au anazindua kitengo/ kitivo(faculty) cha sayansi ya jamii cha Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam(UDSM)..??
ReplyDeleteSijaelewa kiswahili hapo naomba ueleweshwa..
Hili likofia la M7 linanichefua sana, huyu jamaa bado an-present colonia image na bado anaishi on colonial era
ReplyDeleteHuyu M7 jamani hazeeki? yaani tangu enzi hizo sie wadongo tuna soma Ug(st.peter's Nsambya)alikuwa akionekana hivyo hivyo sasa hata mie nimeanza kuzeeka yeye bado "yanki" na bado kwenye madaraka?
ReplyDeleteHii ndio demokrasia ya Kiafrika. Mwanajeshi anachukua madaraka kwa nguvu, anaendesha nchi kwa nguvu na kwa kuiba kura kila uchaguzi. Akibanwa sana, anabadilisha suti ya jeshi na kuvaa suti ya raia na anaendelea kuwabana raia wake.
ReplyDeleteHii ndio sababu moja na umasikini wetu na sababu zinazotufanya sisi wasomi kuondoka nchini kwetu.
mu7 ni dikteta hata sijui kwanini tunamfagilia bongo, we dont need this kind of figure in our country.he is lifetime president of uganda.
ReplyDeleteTulip:(Hapo juu)
ReplyDeleteKwa wanaofahamu vizuri Bw.Museveni wanafahamu kuwa hivi sasa Mheshimiwa anaonyesha wazi wazi kabisa afya yake iko katika mgogoro pamoja achilia mbali kuwa na kwamba utu uzima nao umeshaanza kumyemelea kwa nguvu...Na hata Bunge la Uganda limehoji hivyo hivi majuzi na kudai Ikulu itoe maelezo kuwa Mheshimiwa anasumbuliwa na matatizo gani.(on the matter of fact he doesn't so good health-wise now adays)
We Anony wa May 11, 2009 11:58 PM hilo likofia unaweza kukuta ni BULET PRUF la kujikinga na mashambulizi yoyote ya risasi.
ReplyDeleteHuwezi jua!
what??
ReplyDelete1.chuo cha sanaa na sayansi ya jamii(UDCASS)
2.faculty ya political sciences &public administration(PS& PA)
ivi nionavo mei ni vitu VIWILI TOFAUTI
tunaomba maelezo ya kutosha musupu,maana ya iyo mada yako,kuna university college mpya apo UDSM? inaitwa UDSASS? na ina mchepuo wa KUTOA WASOMI WA KADA IPI,,au sijaelewa
mana najua kuna college la engineers,uclass,marine sijui nk
faculty ipi iki UDCASS?????
ReplyDeleteau ndo km engineering na uclass??
asanteni
bullet proof
ReplyDeleteI think ni school of arts and social science na itakuwa ranked in the field of arts and social science disciplines in the world. kama ilivyotokea kwa udsm bussines school.
ReplyDeletelabda hi itasaidia:
ReplyDeleteUniversities nyingi siku hizi huwa zina kolege.
Kwa mfano, New York University College of Dentistry, College of Medicine, etc; na Teachers College of Columbia University.
Wakati huo huo zinaweza kuwa na Schools: School of Continuing and Professional Studies, School of Medicine, School of Law, na kadhalika.
BAP