wadau wakipozi baada ya kula nondozzz zao za shahada ya kwanza nchini India katika chuo cha ACHARYA INSTITUTE OF TECHNOLOGY, BANGALORE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2009

    hongereni sana vijana..ritha,bony,judy n ol other brothers n sisters..we proud of u..frm chennai fam!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2009

    Mamaa Rita.... hongera mpenzi, kazi nzuri.
    karibu nyumbani.

    ReplyDelete
  3. Al MusomaMay 28, 2009

    Oh, not again...

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2009

    hivi india mbona kila wanaograduate naonaga waafrika tu hususan watanzania,wahindi wenyewe hawasomi ama??

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2009

    anon wa May 28, 2009 2:14 PM unaupeo mdogo sana wa kufikiri na hii si mara yako ya kwanza kuuliza hivi bloguni, hiyo ni picha tu ya baadhi ya watz walioamua kupiga pamoja kama ukumbusho. ya wahindi wanasoma wapi hayakuhusu.
    congrants!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2009

    Alow wabongo kunani huko India,kuna siri gani ya watu kumiminika huko?au ndi hayo mambo ya kusomea degree kwa miezi sita?
    Anyway lakini,hongereni kwa kumaliza kipengele hiki muhimu katika maisha

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2009

    hooh!chaheeee!!! very vell!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2009

    Hata kama ni degree kwa miezi sita lakini wamesoma wamemaliza na wametumia pesa zao wewe unanini? na hao wanaoenda kutibiwa India kila siku kuna magagula huko? acha dharau wakati hapo nyumbani kila siku kasheshe degree ya miaka 3 unamaliza miaka 6 na kufukuzwa na migomo juu

    ReplyDelete
  9. Mhhhhhhh haya Hongera Dada Upendo Komba. Rudi Nyumbani sasa angalau ukapike maharage.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 28, 2009

    Good job japokuwa hayo mavazi ya graduation yote yamevaliwa the wrong way...hiyo nanihii ya shingoni inatakiwa kuwa nyumba siyo mbele...I hope si watu wote kwenye hiyo graduation waliovaa hivyo maana I will question the credibility of that college especially because it's an Indian College..kuna fake nyingi sana India...!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 29, 2009

    HUYO WA PILI KUSHOTO ANAFANANA NA JUDITH LWEKAMWA...KAMA NDO WEWE HONGERA SAANA...... TLP OYEEEE

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 29, 2009

    hongereni, India elimu yao iko juu sana ukilinganisha na yetu au hata URUSI(Russia, Ukraine). Madaktari na wataalamu wa computer wanatambulika hata Marekani(chukulia kwamba elimu kutoka nchi mbali za dunia hazitambuliki na nchi tajiri). Hongereni sana.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 29, 2009

    anony wa trh29 saa5:55AM usitake nicheke ati!UNATAKA KUANZISHA MJADALA WA ELIMU YA WAPI BORA SIO? hapo umechemka kweli kama wewe uko india sasa unafagilia we fagilia tu lakini usichokoze nyuki kabisa!!
    watu huwa hamjui baadhi ya nchi na mambo yaliyomo kwakuwa access ya habari zao hamna sasa mnajifanya kushabikia ushabiki usio na mbele wala nyuma ambao ukiuangalia umejaa chembechembe za sumu za kisiasa[ majungu ya siasa za western and eastern blocks].
    URUSI huijui wewe wala kinachofanyika ndani yake hukijui hivyo kaa kimya tu.wala sina haja ya kukuelewesha. ila kama umepitapita kidogo ktk madarasa angalau ya sekondari kisha ukasoma sayansi basi angalau abc ya utalamu wa warusi utakuwa umeionja japo huenda hukujuwa kuwa imetokea urusi. kama KIUTALAAM URUSI WANA TEMBEA basi INDIA watakuwa bado WAMEKAA hata KUTAMBAA BADO.nyie mnyo jirundika huko india,ndivyo nao WANAVYOPANGA FOLENI urusi pamoja na wachina na watu wengine wa kutokea scandinavian countries.
    wewe endeleza pumba zako ulizolishwa kutokea kwa babu KICHAKA ukidhani warusi ni wenzio!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 29, 2009

    hahhaaaa unachekesha kinoma wewe jamaa mtoa maoni wa 12 kutoka juu [saa5:55AM) sasa kukata mzizi wa fitina kuhusu elimu ya uhindini na urusi+ukraine nakuomba tu tufanye jambo moja linaloweza kututhibitishia angalau kwa 5%.
    wewe uko india kwasababu umefuata elimu huko kwa kuwa ni bora kuliko ya kwenu au sio? sasa urusi kuna wahindi na wachina kibao nao wamekuja kufuata elimu.
    sasa tufanye hivi, wewe mtumie issa michuzi clip au picha uliyopiga na warusi wakiwa namekaa darasi huko india wanafuata elimu,pia ya wachina wakiwa hukohuko india wamefuata elimu!na mimi nitatuma picha/clip inayo onyesha wahindi+wachina n.k wakiwa darasani wakifundishwa na warusi(urusi) nadhani hii angalau kwa 5% itapunguza porojo za majigambo yako au vepe?tuma basi

    ReplyDelete
  15. mmekosau kazi nyie watu mnaacha kajadili tuondoe uozo na karaha za nchiyetu mnalingishiana wewe umesoma watu gani na wapi

    ReplyDelete
  16. wewe ambaye unajua sheria zakuvaa unaonekana kaziyako nukuatafuta makosa na unajifanya india feki nyingi kwanza unaweza kuwa mtoto wafisadi unaona wivu tumeamua kuwaachieni nchi wenye meno na mliothibitishwa na tbs

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...