
kaka mtu amkabidhi herieth kwa prosper wakati wa send off ilofanyika alhamisi ukumbi wa ttc club


maharusi prosper na herieth wakiwa wamekabidhiwa vifaa vya kimila wakati wa mnuso wao viwanja vya karimjee hall usiku huu

prosper na herieth wakiwasili ukumbini kwa mbwembwe zote

maharusi na wapambe wao baada ya kumeremeta katika kanisa la mtakatifu joseph jumamosi hii

maharusi na wapambe wao wakielekea ukumbini
Hongera sana Prosper na Harieth, mmependeza sana.Uvumilivu na upendo huimarisha ndoa.Mungu awabariki mdumu katika maisha mema ya ndoa.Msiwape nafasi watu wafitini watawaharibia, mtangulizeni Mungu kwa kila jambo.
ReplyDeleteMdau K wa UK.
Michuzi Nakuja uko lazima nikuajiri ata kwa masaa saba tu. Unimurike murike mimi na shemeji yako.mwezi wa 6
ReplyDeleteProsper mdogo wangu Hongera sana.
ReplyDeleteNi text bwana kwenye +60176452510
Kaka yako wa Upanga/St Joseph.
alilililiiiiii!endelesa ripeneke papake!wee nakwisa pada jiko,tunsa yeye mpa yeye upendo na yeye ape wewe yote,na mungu tanyorosha mambo!! asee hepu tafutia mimi pia jiko,ako nataka sana,iwe ya mujina au ya musungu sawa tu,lakini nafagilia ya kwetu ile ya mkaa!
ReplyDeletehongereni sana,mmependesa sana wachameni hadi naona wifu,ingisa upendo kwa ndoa yenyu pata miparaka ingisa yote na manege furaha iwebo sikusote pira majifuno na kuchionaona.
ReplyDeletemudawu-chosefu.
We Prosper wewe!!! Umemfanyaje Harrieth?????
ReplyDeleteHizo mila za mikuki na kapu ni za kanyigo au karibu na huko. I guess their first baby girl will have the name Koku. Just a joke!
ReplyDeleteeeeeeeeeeeeee kaka we ongera kwa kufanya kweli tumefurahi saaaaaaaaana sisi dada zako wa Uk mungu awabariki katika maisha yenu ya ndoa, zaeni matunda mema mungu awatangulie katika kila jambo, THANX AND WISH U ALL THE BEST
ReplyDeletemimi huwa nabaki solemba tu na hao watumishi wa Mungu. Wanajua wazi Ndoa ni muungano kati ya watu wawili nao huwa mwili mmoja wala sio wawili tena. Sasa pale wanapofungisha na wengine ndani ya wengine wanatuambia nini? Iko wazi kabisa kwenye vitabu na mafundisho kwamba ukimfungisha ndoa mke mjamzito ina maana na kiumbe kilicho ndani ni halali ya Mume, na ndio manake wazee wetu walikuwa wanakataa kabisa jambo hili. Michuzi michuzi michuzi naamini kabisa hutabinia.
ReplyDeleteHongera sana Polo, ni muda mrefu sasa toka tuwasiliane, anyway ukipata muda nicheki.
ReplyDeletemagoha mayagila
dallas, texas
214-876-0257
goagear@yahoo.com
peace
Hongereni, maisha ni uvumilivu jamani. Hizo foleni za magari zisiwe kisingizio cha kupita nyumba ndogo jamani, kuweni na heshima na mpendani kwa dhati
ReplyDeleteJamani naomba kuuliza kuna siku niliona humu humu mtu aki"bonda" wanaume kuvaa shati ya "pink" kwani pink colour ina maana gani?
ReplyDeleteHongera sana Prosper.. u look diffent bro, long time!!!tokea jitegemee sec school?Nice to see u though ,mdau London
ReplyDeleteYani swahiba prosper siamini umeninyima harusi. Anyway wish you all the best and am so happy for you 2.
ReplyDeletemnalipa ila vijana
ReplyDeleteila apo kaka anakabidhi nini sasa?
jamaa keshawapiga bao siku nyingii eshaopoa mtoto
hahahaaaa,kiziba oyeeeeeeee
Pink Colour inamaanisha JINSIA ya KIKE.......Vazi linaloonesha jinsia ya kiume ni rangi kama hiyo iliyoandikwa POST A COMMENT/RUDI MWANZO/MTUMIE RAFIKI YAKO...Mdau MBIJE A-Kafanabo
ReplyDeleteKaribu karibu, manake wengi wanatam,ani kujiunga upande huu, na waliopo huku, wengine wanatamani kukimbia. Sikukatishi tamaa, ila kwa usia wangu kwenu, ni kukaza buti. Kwa mfano mzuri ni huyo dada aliyeomba ushauri leo kuwa `ligwaride limemshinda'
ReplyDeleteHaya maswala hayashindwi mtu ni wewe na mwenzako kujiweka vyema, kupendana na kula vitakiwavyo, vinginevyo ukifika miaka 35, unaanza kulalamika. Hamna kulalamika hapo, ndio ndoa hiyoo, ukizubaa jamaa anachepuka nyumba ndogo
Du himetulia sana kaka karibu kwenye club
ReplyDeleteByabato Biggie
Hongera uncle polo na aunt Haritie .Lakini tumekosa harusi yako.But never mind
ReplyDeleteFrom Lily and Jerry young teenagers from uk london
Hongera uncle polo na aunt Haritie .Lakini tumekosa harusi yako.But never mind
ReplyDeleteFrom Lily and Jerry young teenagers from uk london
wewe biggie siyo nduguye na alvera babyato wa Ohio
ReplyDeletemwenzangu bakora hiyo yaani mmewacharaza wanga kitu yaani hi ceers mpaka na picha kweli nyie matawi ya juu, na ukumbi walivyopamba nimekubali, na mbunge wa tegeta jamani anajuwa kuphotoa mnyonge mnyongeni lakini sifa yake mpeni
ReplyDeleteHongera sana mshkaji siku nyingi sana toka enzi za jitegemee. Nakutakia maisha safi yenye upendo muweke Mungu mbele maana dunia imeharibika. Jitegemee U.S.A
ReplyDelete