Mwenyekiti wa taasisi ya wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiongea na mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Nyamisati sec school sharifa hamidu kityagwa mwenye umri wa miaka 14  huku mbunge wa viti maalumu  (CCM) Mh. Lucy  Mayenga aliyefuatana na mama Kikwete katika kukagua maendeleo ya shule hiyo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani akiangalia jumamosi hii.

 

Jengo jipya la shule ya sekondari ya Nyamisati ambayo imejengwa na WAMA kata ya salawe wilayani Rufiji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2009

    Mama Salma, basi tu, yaani mimi nakufagilia sana sana jinsi ulivyo, Hongera mama

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2009

    mbona lucy amekuwa mweupe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...