90 people get the Swine Flu and everybody wants to wear a mask...
A million people have AIDS and few people want to wear a condom...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Mdau, OmanMay 06, 2009

    Balozi! Hii imekaa vyema mnoooooo!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2009

    everyone wears condoms EXCEPT SISI WAAFRIKA... SHAME

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2009

    ANON WA PILI, who told you that only africans hawavai CD? have you been in Asia esp. Japan na kujua kinachoendelea.....?Smtimes msijishushe waafrika!

    ReplyDelete
  4. Patrick NhigulaMay 06, 2009

    Ndugu zetu Afrika tumeshindwa kubadili tabia ya mapezi zinaa, wanawake hawana nguvu na uwezo wa kujadili matumizi ya Condom wakati wa zinaa, aibu ya kununua condom bado ipo, na mwisho pombe na madawa tukipunguza zinaa itapungua na watu watavaa kondom...hii ni mchepuo wangu wa fani ya elimu juu "PhD" juu ya magonjwa ya kuambukizwa hususani ukimwi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2009

    muache sio mvae kondom.Hivi kwani imekuwa chakula hiyo ngono usipo kula unakufa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 06, 2009

    Hii imetulia, BIG UP

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 06, 2009

    you made my day 6 May 09,,,

    true completely

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2009

    AIDS imekaa pabaya.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 06, 2009

    wewe anon wa pili acha upuuzi wako. kwa tarifa yako mimi nina washikaji kibao ninaosoma nao hapa UK ambao kila siku wanasifia ngono wanaume kwa wanawake. ukiwauliza kama wanatumia condom wanauliza ya nini. watu wana magonjwa kibao ya zinaa hapa, advantage walionayo wenzetu wana madawa kibao na mtu akihisi tu amenasa anakimbilia kwa GP anapata dawa bure. wewe unaweza kufanya reseach simple tu ya kuangalia kwenye picha ngono kisha tuambie katika hizo ulizoangalia wangapi wametumia condomu. Acha kutuzalilisha waafrika kwa kila kitu, kwani umeambiwa hiyo statement imetoka Afrika? nchi ngapi Afrika so far zimekumbwa na Swine flu?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 06, 2009

    after a while, even swine flu it should be like aids

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 06, 2009

    sio ivo tu, bali ukimwi watu wanaufata, (ukiachia mbali wale wanaopata kwa njia nyengine), raha ya dkk 5 inakutesa kwa miaka mi5

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 06, 2009

    Wewe ni mpumbavu katika wapumbavu wote hapa dunia,How can you fucken relate HID/AIDS with flu fuck u ass.Ifikie wakati muwe mnatumia utandawazi vizuri sio kuleta utani hapa.Ndio nyie mnao sababisha hata condom zina panda bei na kuwa na ubora usiofaa kilasiku.Usitake kupima watu hapa mbwa wewe.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 06, 2009

    Think about transmissio process people.Dont just rise something like that.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 06, 2009

    msitake kuzengua watu kilakitu wafrika wafrika, anayeangalia Jeremy Kelly's show ataona jinsi gani wazungu ni wazembe kwa ngono zembe. kila kibaya sio lazima kiwe cha weusi.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 06, 2009

    msitake kuzengua watu kilakitu wafrika wafrika, anayeangalia Jeremy Kelly's show ataona jinsi gani wazungu ni wazembe kwa ngono zembe. kila kibaya sio lazima kiwe cha weusi.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 06, 2009

    Watu wanavaa MASK kama show off coz wanaonekana lakini ukivaa Condom hatakuona nani

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 06, 2009

    Jacob Zuma alizumgumza maneno yenye akili sana lakini watu hususan wazungu walimuona kama ni mlevi wa komoni.. "mtu hawezi kufa kwa UKIMWI kinachotuua ni umasikini"Jamani sio waafrika tu wanaokumbwa na haya magonjwa, hata wazungu pia, ila kinachowasaidia ni kwamba wana kila facilities za kukabiliana na haya matatizo, na hata hao waafrika walio europe ambao wamepata ngoma afya zao ni nzuri tu na huwezi kuwajua kama hujaambiwa .. mm niko Denmark hapa na hawa jamaa wanapandana kama kuku na hakuna cha kondom wala nini.. kwa hiyo it is not fair to insult ourselves

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 06, 2009

    ina manisha swine flu ni hatari zaidi ya AIDS mana inasambaa kwa kasi na kuhuwa kwa kasi.
    ukimwi unaweza ishi miaka hata 20.
    swine flu siku kadhaa tu unakitoa .na ukipiga chafya tu umeambukiza wenzio.

    kwa mana hiyo tusi nyanyase wenye ukimwi kwani swine flu nayo inauwa .
    mungu anaweza leta magonjwa hapa duniani tukaona ukimwi cha mtoto.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 07, 2009

    WEWE ulioandika huo ujumbe na wanaokusupport nadhani inabidi msome zaidi mjue tofauti ya AIDS na Swine flu.Swine flu ni airborne disease so uambukizi ni wa haraka sana na inaua haraka.AIDS ni bloodborne disease na ukiipata unaweza kudunda miaka kadhaa unawagawia wenzako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...