Hii ni baada ya uchaguzi mkuu wa jumuiya ya watanzania northampton. waliosimama kutoka kushoto ni Bi. Hilda (mjumbe) Kasongo Mohamed (mjumbe) Don Kay (mweka hazina) Said (Mjumbe) Anna Gangata (mjumbe) Waliokaa kutoka kushoto ni Hassan Hafidh (mlezi) Seleman Salum (jambo) Mwenyekiti), William Maseke (Katibu) na Sukwa Said Sukwa (Katibu Mwenezi)
Home
Unlabelled
uongozi wa jumuiya ya watanzania northampton.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Jumuia ya watanzania? Inakuwaje baadhi mmevaa ki-CCM CCM?
ReplyDeleteMbona wamekaa kama wanasapoti ufisadi mashati ya njano na kijani imekuwaje?
ReplyDeleteUSA-1
Tujue moja. Hii ni jumuiya ya watanzania northampton, au ni tawi la ccm northampton? naomba hao viongozi wanijibu
ReplyDeleteMbona CCM tupu?
ReplyDeleteNI WAJUMBE WA NYUMBA KUMI WA CCM?MBONA WENGI WANA JEZI ZA CCM
ReplyDeleteW Maseke, Mzima? Unakumbuka Azania?
ReplyDeletehuyu sukwa said sukwa ndo yule aliyekuwa mwenyekiti wa ccm tanga?au mwanae
ReplyDeleteOh, kwanini msiwe wawazi, mkasema jumuiya ya chama tawala. Mnakosea pale penye umoja wa Watanzania, au shughuli za kiserikali mkavalia sare za chama, hii inaonyesha kutojiamini, au kujipendekeza.
ReplyDeletemimi ni mkazi wa northampton, hao wote ni walevi baa moja ina itwa serengeti na ndio maana wameshindwa kutofatusha kati ya tawi la ccm northampton na jumuiya ya watanzania
ReplyDeleteSISI TUMECHOKA NA UFISADI WA HAWA WANA CCM, SHAYO, JANUARY NA MASHAKA, NJOONI MUAZISHE CHAMA AU MJUMUIKE NA CHAMA KINGINE TANZANIA. KURA TUTAWAPA HATA 2010, TUMECHOKA NA ufisadi WA WAKINA ROSTAM AZIZ
ReplyDeleteHawa wana CCM watakuwa kama wana KANU muda si mrefu.Hivi sasa huko kenya hakuna cha KANU wala ushuzi wa KANU.CCM ikishindwa hivi vitawi vya CCM majuu vitasambaratika na watakimbiana.Time will tell.
ReplyDeletelangu jicho
ReplyDeletehawa
ReplyDeletekwani kwenye tawi la jumuiya ya watanzania WANACCM hawatakiwi?mwe yamekuwa hayo?sasa kama vyama vingine havina jezi ni tatizo la ccm?
ReplyDeleteina mana serikali ya Tanzania inakubali watu wenye uraia wa nchi mbili au katiba inasenmaje itabidi watuonyeshe ID zao mana mi ninachojua wakienda kwao hao wanaomba visa
ReplyDeleteSi vyema kuwahukumu watu kwa mavazi yao, lakini yaelekea kwamba kwa matendo yao ya kuvaa nguo rasmi za CCM, ni wana CCM. Sio kosa kuwa mwana CCM ukiwa ndani au nje ya nchi, lakini kujiita umoja wa watanzania kwaweza potosha ukweli kwamba nyie ni kundi la CCM na kuna kundi jingine halipo hapo lisilojua the-Chama. Cheers ndugu zangu, nyie ndio mmeletwa na chama, lazima mkipigie debe.Huo ni mfano mzuri, bali CCM ikichemsha, mtavua mavazi hayo. Mlahabwa, UK
ReplyDeleteWewe Mlahabwa au Mrahaba? Haya vaeni tu IZO GREEN VEST ila TIME WILL TELL.
ReplyDelete