Hii  ni baada ya uchaguzi mkuu wa jumuiya ya watanzania northampton. waliosimama kutoka kushoto ni Bi. Hilda (mjumbe) Kasongo Mohamed (mjumbe) Don Kay (mweka hazina) Said (Mjumbe) Anna Gangata (mjumbe) Waliokaa kutoka kushoto ni Hassan Hafidh (mlezi) Seleman Salum (jambo) Mwenyekiti), William Maseke (Katibu) na Sukwa Said Sukwa (Katibu Mwenezi)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2009

    Jumuia ya watanzania? Inakuwaje baadhi mmevaa ki-CCM CCM?

    ReplyDelete
  2. Mbona wamekaa kama wanasapoti ufisadi mashati ya njano na kijani imekuwaje?

    USA-1

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2009

    Tujue moja. Hii ni jumuiya ya watanzania northampton, au ni tawi la ccm northampton? naomba hao viongozi wanijibu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2009

    Mbona CCM tupu?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2009

    NI WAJUMBE WA NYUMBA KUMI WA CCM?MBONA WENGI WANA JEZI ZA CCM

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2009

    W Maseke, Mzima? Unakumbuka Azania?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 05, 2009

    huyu sukwa said sukwa ndo yule aliyekuwa mwenyekiti wa ccm tanga?au mwanae

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 05, 2009

    Oh, kwanini msiwe wawazi, mkasema jumuiya ya chama tawala. Mnakosea pale penye umoja wa Watanzania, au shughuli za kiserikali mkavalia sare za chama, hii inaonyesha kutojiamini, au kujipendekeza.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 05, 2009

    mimi ni mkazi wa northampton, hao wote ni walevi baa moja ina itwa serengeti na ndio maana wameshindwa kutofatusha kati ya tawi la ccm northampton na jumuiya ya watanzania

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 05, 2009

    SISI TUMECHOKA NA UFISADI WA HAWA WANA CCM, SHAYO, JANUARY NA MASHAKA, NJOONI MUAZISHE CHAMA AU MJUMUIKE NA CHAMA KINGINE TANZANIA. KURA TUTAWAPA HATA 2010, TUMECHOKA NA ufisadi WA WAKINA ROSTAM AZIZ

    ReplyDelete
  11. Hawa wana CCM watakuwa kama wana KANU muda si mrefu.Hivi sasa huko kenya hakuna cha KANU wala ushuzi wa KANU.CCM ikishindwa hivi vitawi vya CCM majuu vitasambaratika na watakimbiana.Time will tell.

    ReplyDelete
  12. southamptonMay 05, 2009

    kwani kwenye tawi la jumuiya ya watanzania WANACCM hawatakiwi?mwe yamekuwa hayo?sasa kama vyama vingine havina jezi ni tatizo la ccm?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 05, 2009

    ina mana serikali ya Tanzania inakubali watu wenye uraia wa nchi mbili au katiba inasenmaje itabidi watuonyeshe ID zao mana mi ninachojua wakienda kwao hao wanaomba visa

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 06, 2009

    Si vyema kuwahukumu watu kwa mavazi yao, lakini yaelekea kwamba kwa matendo yao ya kuvaa nguo rasmi za CCM, ni wana CCM. Sio kosa kuwa mwana CCM ukiwa ndani au nje ya nchi, lakini kujiita umoja wa watanzania kwaweza potosha ukweli kwamba nyie ni kundi la CCM na kuna kundi jingine halipo hapo lisilojua the-Chama. Cheers ndugu zangu, nyie ndio mmeletwa na chama, lazima mkipigie debe.Huo ni mfano mzuri, bali CCM ikichemsha, mtavua mavazi hayo. Mlahabwa, UK

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 06, 2009

    Wewe Mlahabwa au Mrahaba? Haya vaeni tu IZO GREEN VEST ila TIME WILL TELL.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...