Home
Unlabelled
viongozi wa OAU enzi za mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani hapo nawajui sesse seko, kenyatta, selassie, KK, mchonga, obote
ReplyDeletekwa kweli sina uhakika ila kwa mstari wa nyuma namuona kama yuko Rais Milton Obote,Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,pembeni yake yuko Rais Kenneth kaunda
ReplyDeleteKwa mstari wa Mbele namuona Kama Hayati Mfalme wa Ethiopia kama sijakosea Emperor Haile sellasie,Rais wa Kenya,Kenyatta na pembeni kabisa mwenye kikofia na miwani ni hayati Rais wa Iliyokuwa zaire Rais Mobutu
kunradhi kama ntakuwa nimekosea
mdau
Kama sijakosea, mstari wa nyuma kuanzia kushoto wa pili ni Obote, wa tatu Nyerere, wa nne Kaunda (KK) na mstari wa mbele kuanzia kulia ni Mobutu, wa tatu ni Kenyatta na nne ni Haile Selasie. Wengine naomba nikumbusheni. Kumbe ma-pedeshee wameanza siku nyingi, angalia huyo rais wa pili toka kulia mstari wa mbele!
ReplyDeletealafu pia kama ntakuwa sijachemsha, huyo hapo nyuma ya mobutu ni Rais wa Zimbabwe, yani Rais.Robert Mugabe
ReplyDeleteHatuhitaji msaada kuwatambua Nyerere, Kenyatta, Kaunda, Sellasie, Obote, Mobutu, na Seseseko.
ReplyDeleteTunahitaji kujua hii chap yenye suruali kifuani, no-names mbili za nyuma kulia zenye miwani, na hizi Charlie Champlin mbili za mbele kushoto. Them five negros.
Huyu aliyeko kati ya Mobutu na Kenyatta ni nani? Mbona anaonekaka kama wale wachezajiwa ndombolo ya solo? Au suruali tu?
ReplyDeleteMstari wa nyuma toka kushoto: A, Obote, Nyerere, Kaunda, B, C.
ReplyDeleteMstari wa Mbele toka kushoto: D,E, Haile Sellasie, Kenyatta, F na Mobutu.
NB: Hao niliweka herufi sina uhakika wa majina yao.
Mdau
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/
jamaa walikuwa na personality za nguvu, baadhi walikuwa masela ile mbaya. umeona suruali imevaliwa kifuani hiyo?
ReplyDeleteNamwona Emperor Bokassa, Emperor Haile Selassie hapo mbele. Nyuma namwona, Mzee Obote, na Mzee Kaunda.
ReplyDeleteMie pia naowajuwa mstari wa nyuma Kushoto ya hayati mungu amrehemu JUlius Kambarage Nyerere(mwalimu) ni Obote wa Uganda mungu amrehemu pembeni yake kuna Aliyekuwa Raisi wa zamani Kaunda mbele hapo naowajuwa ni Haile salasie na Kenyata mungu awarehemu. na aliyekuwa Raisi kipindi hicho Zaire Mobutu mungu amrehemu mungu ndio anaye hukumu sio sisi.
ReplyDeleteMie pia kunradhi kama nimekosea
Mdau
Duh! Inaonekana kama hawa waliokwisha tajwa ndio walikuwa maarufu sana, maana hata mie ni hao tu ndio nilioambulia kuwatambua!
ReplyDeleteSI UTANI MPAKA SASA WATU WAMEAMBULIA WATU WAO WAKARIBU SANA HATA MIE NIMERUKA ILA KAMA KUOTEA LABDA ALIYEVAA KIKOFIA NA FIMBO NI YULE RAISI WA ZAMANI MUNGU AMREHEMU WA MALAWI Dr. Hastings Kamuzu Banda ILA SINA huwakika wengine Nyerere,Kaunda,mobutu,kenyata,haile salasie,obote jamaa pembeni ya Mobute Bouncer alafu suruali alivyoivaa si mchezo hata mwizi akikutana naye ataomba msamaha. Nimejaribu kuibiam ajina kwenye Net ila nimeenda matupu hawa hapa jamaa nyengine pic. Juma.
ReplyDeletehttp://www.oopau.org/resources/African+Heads+Of+State+At+OAU++May+1963.jpg
Mstari wa mbele kutoka kulia ni Mobutu wa Ziare, Houphet Bounyie (sina hakila na spelling) wa Senegal au ni Ivory Coast??, Kenyata wa Kenya, Haile Selaasie wa Ethipia, Bokassa wa Kongo Brazaville na wa mwisho kusoto mbele simtambui kabisa. Nyuma kuanzia kulia wawili wa kwanza siwajui lakini nadhani mmoja ni wa Ghana na mwingine wa Nigeria maana walikuwepo. Wanafuatiwa na Keneth Kaunda na Baba yetu Nyerere. Wengine siwajui lakini Mugabe asingekuwepo maana hii inaonekana ni kabla hawajapata uhuru wao. Wengine tusaidiane zaidi kujikumbusha.
ReplyDeleteNyuma na miwani ni Hubert Maga rais wa Dahomey (Benin)?
ReplyDeleteMithupu hii picha iko shady kidogo.
ReplyDeletewadau angalieni hii iko clear zaidi...
http://www.oopau.org/resources/African+Heads+Of+State+At+OAU++May+1963.jpg
Huyo mwenye kofia na fimbo, ambaye mdau hapo juu amemtaja kwa herufi E ni Emperor Jean-Bedel Bokassa...
ReplyDeleteAhmadou Ahidjo Rais wa Cameroon? Pale mbele wa kwanza kushoto.
ReplyDeletemwenye kikofia mstali wa mbele pembeni ya Aile selassie ni Jean badel Bokassa alikuwa rais wa Afrika kati.
ReplyDeleteenzi zile tai zao zilikuwa ndogondogo!
ReplyDeleteKENYATA, TANZANIATA, UGANDATA, ZAMBIATA, ZAIRETA, ETHIPIATA, N.K.
ReplyDeletePicha hii inanikumbusha mashujaa wa afrika kwa wakati ule. hapo palikuwa hapatoshi, hoja zilikuwa makini, wazungu wakisikia mkutano wa OAU walikuwa awapati usingizi, walijua kuwa kutakuwa na hoja nzito na watu wenye vichwa vikali vya kufikili na kutenda.
ReplyDeleteBahati mbaya waliangusha na watu kama Banda wa malawi na mabutu wa zaire,awa waliendelea kuwa vibaraka vya wazungu.