Zantel's top brass announcing the new product - Zconnet
Zantel Introduces ZConnect 

High Speed, Unlimited Internet Services – 3G Technology 
Countrywide coverage 

Dar es Salaam, May 4, 2009 

Zantel mobile communication company has announced the introduction of new, High Speed, unlimited Internet prepaid service based on 3G Technology. This service is available countrywide. Zantel is the only company offering this service throughout Tanzania. 

The new packages also include postpaid Internet packages.

Speaking during the press conference held in Dar es Salaam yesterday, Zantel Business Development Director, Fintan Lawler said that the new, High Speed unlimited Internet packages position Zantel as the best value operator in the country. 

“The new packages bring affordable, unlimited, High Speed Internet services to all Tanzanians,” said Lawler. Adding that subscribers will experience and enjoy all the benefits on a personal, family and business level. 

ZConnect offers High speed Internet, data and voice services and customers will enjoy fast speeds up to 3.1Mb per second depending on modem. These are the best speed offered in the country. 

The new tariffs are available immediately,” Lawler said, adding - “These tariffs will benefit all customers and businesses that require High Speed, reliable Internet services. 

The new unlimited High Speed Internet packages for pre-paid customers will cost as low as Tsh 6,000 / day for daily subscription, Tsh 30,000 / week for weekly package and Tsh 90,000 for a month’s internet usage. 

Postpaid subscribers for Internet and data by the MB will be able to enjoy the best rates, reliability and High Speeds countrywide.
 
ZConnect, Zantel’s High Speed Internet Service, is available in Dar es Salaam, Zanzibar, Pemba, Tanga, Dodoma, Morogoro, Arusha, Moshi, Mwanza, Tabora, Musoma, Shinyanga, Mbeya, Iringa and Ruvuma. 

As Zantel continues its network expansion, High Speed Internet service based on 3G Technology will be available to Tanzanians in Lindi, Mtwara, Kigoma, Rukwa, Geita and Singida in the very near future. 

More expansion is planned as part of Zantel’s commitment to bring affordable, High Speed Internet, voice and data to as many Tanzanians as possible.



Zantel's Brian Karokola explains in Kiswahili the 
new ZConnect services offered by Zantel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2009

    mbona ni bei ghali namna hiyo hapa Ujerumani nalipa Euro 10 kwa mwezi! kweli tuko mbali Bongo kama hali yenyewe ndo hizi tutaendelea kuwa nyuma! jamani internet si hazina bali ni kitu muhimu kwa maendeleo yetu nashauri serikali iondoe kodi kwenye internet ili kuboost technology

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2009

    wewe mdau wa ujerumani unazungumzia technologia gani. ni hii ya kutumia usb modem kwa 3G. au internet kwa cable nyumbani. Nina uhakika sio 3G. Kama ni kweli wanatoa kwa speed ya 3.1Mb/s ni cheap sana kwa 90,000 kwa mwezi. Mimi nipo US nyumbani nina internet kwa cable unlimited nalipa dola 26 tu. ila pia nina AT/T usb moden ili nipate internet popote nalipa zaidi ya dola 70 kwa mwezi na na imekuwa limited 5GB kwa mwezi. Si kila kitu cha Tanzania mnakosoa. Nimeona hili tatizo kwa watanzania wengi walio nje. hata wale wanayoishi maisha ya chini kabisa kuliko watu wengi wa kati Tanzania

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2009

    bei poa tu mbona!
    mie hapa japani nalipa 6500 yen kwa mwezi ambayo ni sawa na elfu 65,000 tzsh.
    makampuni mengine yakianzisha service hiyo pia, bei itashuka

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2009

    Mdau hapo juu you simply can not compare bei za Germany na Tanzania.Hizi ni nchi toka dunia tofauti.TZ ni 3rd world na Germany?..malizia so acha watakaoafford watumie if not kuna internet cafe kibao ukibofya bofya 2 times a month sh elfu mbili.Tutafika tu jama,hatuko nyuma kihivyo kuhusu technology.

    ReplyDelete
  5. Mdau ushasema Ujerumani. Hii ni Tanzania sio Ujerumani.

    Anyway kukusaidia tu ni kwamba internet Tanzania inapatikana kwa satelite tu, ndio maana bei bado ziko juu.

    Hata hivyo kuanzia June au July mwaka huu Tanzania itajiunga na dunia nzima kwenye fibre cable network ya chini ya bahari.

    Fibre cable ina uwezo mara 1,000 zaidi ya satelite na ndio siri kubwa inayofanya Ujerumani kuwe na bei za chee.

    Dunia nzima imeshaunganishwa na cable hii, ilibaki eneo moja tu la pwani ya mashariki ya Afrika kutoka Durban kupitia Msumbiji, Tanzania, kenya, Somalia mpaka Yemeni.

    Hivyo ukija december mwaka huu utakuta mambo mswano - bei chee na spidi ya kufa mtu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2009

    ha ha ha ha ha
    nimekukumbuka mzee EDIGIDIUS KAHATANO,tulikuwa wote depo ccp moshi mwaka 2008/2009,wiki chache kabla ya ku-draduate ulimtandika ngumi jamaa mmoja ukafukuzwa chuo,ilituuma sana mzee lakini maisha popote,ona sasa unakula kiyoyozi kwa kwenda mbele,ungekuwa polisi ungelost sasa mzee
    vipi washkaji zako akina FELIX HAULE wapo wapi maana nilisikia aliendaga nje kusoma na unyeke alishauacha
    ha ha ha ha ha bro
    cheers
    HAROLD

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 05, 2009

    anoy 7.20 acha ushamba, ya nini kusema historia za wenzo hadharani? Ndio nyie mnaopenda kujionyesha mnajua kila mtu na kila kitu. Unajuaje mwenzio kama anafurahia kukumbushwa ya nyuma. Jadili mada na sio watu.
    Tusubiri fibre cable zitukomboe, internet ni muhimu sana hasa kwa watu wanaofanya kazi wakiwa nyumbani.

    ReplyDelete
  8. Al MusomaMay 05, 2009

    Jamaa yangu mmoja aliye UK ananitonya kuwa mobile Internet is available kwa average ya £20/3G across providers. Japo isiwe sahihi kulinganisha gharama za mawasiliano, Tshs. 90K kwa mwezi works out about £45 which is clearly too dear kwetu watu wa kawaida hapa Kamunyonge kwa mfano...

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 05, 2009

    Hiyo bei mi naona poa, lakini wadau nisaidieni Laptop yangu ni Vista nimeshindwa kabisa kuweka wireless (zantel) au nyingine wananiambia hakuna compartibility. Hivi kweli hakuna njia kabisa ya kunisaidia?? kabla sijanunua vista nilikua na wireless internet ya Zantel na ilikua inafanya kazi vizuri na fast. Plz anyone who can help. Ms J

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 05, 2009

    we anon hapo juu acha uongo labda hiyo laptop yako ya kichina, mbona yangu ni vista na natumia internet ya zantel kama kawa tu mwana?! nakushauri usinunue bidhaa za kichina zitakusumbua sana! hope umenisoma!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 05, 2009

    We annony wa May 05, 2009 12:10 PM yawezekana laptop yako haina Ethernet controller,check drivers zako kwenye device manager... Lakini jua pia window vista ilikua ni software kubwa mno na pia yenye errors nyingi, si ajabu kukwambia hivyo kwa sababu inawezekana DNS ni comptible with windows XP and lower but not with vista.Ila jaribu kuinstall upya hiyo Vista ....wengine watakusaidia zaidi

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 05, 2009

    May 05, 2009 3:43 AM,na May 05, 2009 11:42 AM fahamuni kwamba hizo sehemu mlizotaja mtu wa customer service tu analipwa mil 9 hadi 12 kwa mwezi utalinganisha na wa hapa bongo anayelipwa laki 5 au 6 kwa mwezi? Tulitarajia iwe nafuu zaidi kwani gharama za uendeshaji hapa ni za chini,ila kama kawaida masikini ana hela sana! Ndio maana kwa zantel wao wanaonekana ni cheap ukilinganisha na wengine

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 05, 2009

    umeangalia tu gharama za uendeshaji. unajua gharama za mwanzo. ulaya na usa gharama za mwanzo ni ndogo sana. tayari mikondo ya mawasiliano ipo.na wateja ni wengi zaidi kwa hiyo return ipo karibu

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 05, 2009

    Asante nitajaribu kufanya ulivyo advice manake ni mweli waliniambia kuwa vista ni kubwa ni better windows Xp au lower, nimejaribu kubadilisha drivers imekataa pia, anyway lakini kiukweli tunapoelekea Vista ni modern na inahitajika. Halafu nawewe ulosema kuwa pc yangu ni ya kichina si kweli. Laiti ungalijua ungekaa kimya tu. Sihitaji kujieleza hapa kwa sababu haikusaidii kitu.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 06, 2009

    Mwenye vista jaribu ku-un-install kisha u-install upya... ukishindwa nenda na Laptop yako pale katika HQ yao pembeni ya ubalozi wa Marekani au pale Kisutu stand ya zamani naskia wamefungua duka pale.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 06, 2009

    Jamani Uk ni pound 15 kwa mwezi, kampuni ya 3 anytime anywhere u can access internent na moderm ni pound 50!!!!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 07, 2009

    brian piga mzigo mzee.nimekukubali.
    nitumie contact .B.MUSA UK

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 07, 2009

    We annoni wa May 06, 2009 1:04 AM acha kumdanganya mwenzio huwezi ku uninstall operating system ndugu,kwani Os sio application software kama ilivyo Office,au zingine. Labda ulimaanisha aiformat hardisk yake kuondoa hiyo OS kisha afanye upya installation....

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 07, 2009

    Kwanza napenda kuipongeza blog ya jamii kutoa habari hii, ni ukweli usiofichika hii ndio karne ya science na technologia hivyo kutuabarisha vitu kama hivi ni jambo la busara sana ili kurahisisha maisha. "keep it up mkubwa michuzi" upo juu kiongozi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...