









Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongereni jamani mnapendeza Mwenyezi Mungu awalinde katika ndoa yenu.mwaaaaaaaaaaa.
ReplyDeletemdau scandinavia
Hongera sana Dr. Rweikiza na Dr. Lyimo. Akanana kaile kona.Boona batambukage mbaluga omumalembo. Olye noyenda Dr. Rweikiza.
ReplyDeleteMdau Dr. Rugemalila
DUKE UNIVERSITY-NORTH CAROLINA
Watoto wa kichaga bwana ni wazuri mno.. Hongera Mbelwa kwa kupata mke mzuri.
ReplyDeleteWewe Anony June 20 @ 10:38pm hakuna mbaya duniani.
ReplyDeleteKaka yangu ameoa mke wa kichaga. Alifunga mlango wa mbele wageni wakija wanaingilia mlango wa jikoni muda mwingine anawawekea viti nje eti watachafua nyumba. Alificha fungua eti zilipotea. Halafu eti kawakataza watu kupika chakula cha mchana, akipika chakula cha usiku anamuhesabia kila mtu atakula kiasi gani. Halafu kitu kibaya zaidi anawafukuza ndugu wa mwanamme wasikae pale nyumbani, anawakaribisha ndugu kwa upande wake mwanamke. Alipoolewa tu alitukaza kupika chai eti tunamaliza hela. Tangu aolewe ni miaka 10. Hajawahi kupata mtoto. Nilimwambia ukitaka Mungu akubariki fungua huo mlango. Make baraka zote ulizifunga mwenyewe. Sisi huwa atufungi mlango. Yaani huyu mwanamke wa kichaga alitukuzia wageni. Wanawake wa kichaga huwa nawafananisha na wa Marekani Weusi.
ReplyDeleteMdau-USA
Dr Lyimo? Sikujua Anita ni Doctor. Hongereni wote.
ReplyDeletewamependeza and the thing inaoneka iko very classy from dress code to decorations...nawafagilia wawa!!!!
ReplyDeleteAnitha na Dennis, hongereni sana. Karibu uchaggani Mbelwa na karibu uhayani Anitha. Wish you guys all the best in life.
ReplyDeleteAisee msee usisahau kuja na kale kambusi ulikochinja huko, si unajua tena hapa USA river mbusi ni hadimu, beba na ulesi kabisa tuje tupike mbege.
ReplyDeletewote wawili sio ma doctor,we anony sio kila anayeavaa koti jeupe ni doctor.
ReplyDeleteSweet mie nikifungua kwa ustadi zaidi yako zamu yangu juu tonite? atleast all nigh long ma, plz????? Looking good congrats.
ReplyDeletewewe mdau wa 11:51 sio mzima aisee.una ukabila kama nini.mwanamke yeyote anaweza kuwa vyovyote!mimi uwa sitoi comments hapa ila watu wengine inabidi mfungue macho babu.
ReplyDeleteHuyo Dr. Rugemalila sijui ni mzushi wa wapi, I wonder hata kama anawajua maharusi vizuri. Mimi nawafahamu Dennis na Anitha vizuri sana kutoka Kansas (sio Texas) na wote sio ma-Dr. They are good people. Wewe kama kweli ni Dr. basi gather your facts kabla ya kuropoka.
ReplyDeleteAnitha and Dennis I wish you all the best, I will quote the bible, "...aliowaunganisha Mungu, binadamu asiwatenganishe", Amen.
Cheers!
Michu Boy, Hao ni wadau wa Wichita, Kansas! Sio Wichita, Kansas, Texas kama ulivyobandika!
ReplyDeleteHili lijamaa linabahati kweli kumuoa huyu dada- ongera sana we lijamaa, huyo demu ni mkali na amewatolea nje watu wengi kichizi pale Shinyanga(shaikomu), Dom na Dar, yaani kama mijitu milioni ninayoifahamu ikiwamo mimi mwenyewe. Big Up Anita
ReplyDeleteMmependeza Maharusi ...Wish you all the best in your marriage....mind you the first year is the hardest though.
ReplyDeleteWilfred, USA
how do u know the decoration is classy wakati inaonekana kiduchu tu
ReplyDeleteCongratulations Anita u look stunning and ur hubby too.mwahhh
ReplyDeleteMiss Manchester ur amani pr school friend!!B.N
hili lijamaa la 11:51 linaukabila sana sipendi watu wenye ukabila .hujasoma nini wewe?kama kaka yako kachemsha kupata mke bomu usitukane kabila zima la wachaga.
ReplyDeletesikuizi intamarriege sana so huwezi judge mtu kwa kabila inategemea na mtu mwenyewe.
zamani ndio kulikua na mambo ya usiolewe au usioe kabila flani sikuizi hayo mambo hakuna so fungua macho wewe hii ni karne ya 21.
hongereni maharusi Mungu awabariki.
Wabongo bwana,
ReplyDeleteSasa nyie anon unayembishia Dr. na kusema atafute fact kabla ya kusema mbona hata wewe hujaweka facts zako, au wote ni wale wale.
Mara oh sio madaktari, mara mi nawafahamu ila sio madaktari; sasa ni nani? kama sio kweli na wewe unajua profession zao tupe basi.
Ninavyojua unapobisha kitu kwamba sio kweli unatoa ukweli unaoufahamu wewe. Jamani tuache usenene, kama una argue give facts and move on.
Au if you think someone made a mistake, then hakuna haja ya kulalamika. Sema mwenzangu umekosea hawa sio madaktari ila wanabeba boksi lao na wako happy, that's good enough.
Nadhani hiyo ni generalization kusema ati wanawake wakichaga wapo hivi au wakimarekani wako hivi. Kila kabila au taifa lina watu wa aina zote na haijalish. Nimekutana na wanawake wakichaga ambao wanatabia nzuri ajabu, nimekutakana na black america akanitendea wema ambao mbongo mwenzangu hangeweza nifanyia nikajisemea ingebidi nioe huyu ila tu nimechelew. kwa hiyo ni kuomba Mungu tu akupe mwanamke bora nawe umuonyeshe mapenzi bora na wote mkiwa kitu kimoja, mkapendana then mambo mwaaaaaa
ReplyDeleteMr Mischuzi thanxs for photos,hawa jamaa are really good people wamependeza na wanameremeta ... they re really meant to be together ...
ReplyDeleteinshalla na mungu awabariki.
nyie mnaoargue eti kuhusu wanawake wa kichaga na uzuri.nadhani aliyeweka comment atakua anamaanisha majority na sio kwa wote ni wazuzi ila hata mimi ni mwanaume na kusema kweli wadada wengi wa kichaga niliopata kutoka nao asilimia kubwa wako bomba na sisemi hakuna wabaya
ReplyDeletebtw maharusi mmependeza
mimi nampenda huyo dada yake bwana harusi, doreen (picha ya sita wa kulia) sijui ke shaolewa au vipi
ReplyDeletewa dau mliokuwa karibu nae nipeni habari
mbelwa jamani that reminds me of our days basketball. jamani mmekua sasa na hiyo ni step muhimu sana kwenu. mungu awaongoze na kuwalinda. mmependeza mno. Bibi harusi ni mzuri sana. mkatunzane always.gunnis sister.
ReplyDeleteHarusi imeenda shule kinoma. Hongereni sana maharusi. Bwana Dennis alikuwa point guard mzuri sana wa vijana basketball club
ReplyDeleteKwani niliposema ni Ma-Dr. nimetukana? Sioni cha ajabu. Labda kama nimewafananisha. Samahni kwa hilo. Wewe uliyesema sijasoma, sioni haja ya kubishana na mtu. Mimi nimewapongeza maharusi, kama wewe ulivyowapongeza.
ReplyDeleteNashukuru sana.
Mdau Dr. Rugemalila
DUKE UNIVERSITY-NORTH CAROLINA.
Wanaume acheni ujinga wa Kikenya. Mimi ni Mkenya na ninazifahamu vizuri hila za ukabile. Nikidhani wabongo mmevuka ukabila kumbe nanyi pia ni feki.
ReplyDeleteInakuasha nini mwanamke akifunga nyumba msiichafue? Kwani huna kwako wewe? Basi akija kwako mpimie sukari, hata chumvi ukitaka lakini hii pettiness ya ukbila doesn't cut. Get over it la sivyo mtafute mchaga wako pia.
matron kunjua mikono!
ReplyDeleteYou guys look stunning!!! Harusi imependeza sana. Hongereni kwa kufunga ndoa. msisahau kumtanguliza Mungu katika maisha yenu siku zote. Tunawatakia mafanikio mema katika ndoa yenu.
ReplyDeleteFriends from Kansas City.
Dennis na Anitha nawakaribisha kwenye klabu. Hakika mmechagua lililo bora nawatakieni maisha mema na Mungu awabariki katika kila jambo mfanyalo na mzae watoto mkaijaze dunia.
ReplyDeleteBwana awe nanyi daima
AMINA
matroni kulikoni hiyo mikono umeikunja tuuuu
ReplyDeleteheeeeeeeee shomile waitu...
ReplyDeletekumbe bi harusi mchaga?asante sana
mmependeza sana
ila uyo mpambe-matron wa bi harusi pozi liligoma au?mana anaharibu picha kwa kukunja mikono mbele jamani
bwana harusi vipi konozzz kwa mai waifu wako??yan yeye ndo kashikilia tu konozzz
bojo
Hongera sana Anita na Denis..Binti mzuri, una quality za kutosha sana..umetukimbiza wengi tu kama mdau flani alivyosema hapo juu, mimi nikiwa mmoja wao..nna uhakika we ni mrembo popote utakapokua.tokea enzi za sunday school,primary school na kwingine ulikoenda..Haters gona hate..Dennis,hongera man.
ReplyDeleteMICHUZI KAKANGU NAOMBA SANA NIFIKISHIE SALAMU ZANGU KWA HUYO MC WAO EFRAIM KIBONDE.... WADAU HAMUWEZI AMINI SIKU HIYO HIYO YA TAREHE 20 JUNE 2009 HUYO KIBONDE ALITAKIWA KUWA MC KATIKA HARUSI MOJA MWIKA,, AKAMTUMA MC MMOJA BOMU ETI YEYE ANAUMWA!!!!!1
ReplyDeleteJAMANI KUMBE ALIKUWA NA HARUSI NYINGINE HUKO NDO MANA AKAINGIA MITINI? ALIFUATA HARUSI YA MATAWI YA JUU!!!!!!!!!!1
SASA UTAJUUUTA KWAULICHOKIFANYA.
Maharusi you look stunning, also MC Kibonde.. i have no comments coz michuzi atabania so all i have to say is you should honour your commitments!
ReplyDeletekibonde alikimbia MC ya wedding uko mwika????????????????????
ReplyDeleteseriously or????????????????????
hahahahahaaaaa teh teh tih tih
ooooooh nooooooooooooo,kashikwaaaaa
asanteni yu made my day
harusi ilikuwa bomba but kibonde ni kweli uliakiwa mwika tarehe hiyo???????? kama ni kweli basi unaharibu kaka
ReplyDeleteBeautiful!
ReplyDeleteHello Anitha and Denis. many many congratulations to you. You guys look very beutiful, your wedding is very classy and stunning to look at. May God pour his blessings on your new family and long life together.
ReplyDeletehappy people ...you look stunning
ReplyDeleteGOD BLESS.