maharusi na wapambe wao
MC ephraim kibonde alisherehesha vilivyo
baba na mama wa ubatizo, mzee rugemarila na mai waifu wake wakitambulishwa
mdau wa heineken jerome alikuwepo kilaji chake
maharusi na familia ya bi harusi
maharusi na dada wa bwana harusi
bi harusi na nduguze
maharusi na upande wa bi harusi
anitha na dennis wakiingia ukumbini diamond jubilee VIP hall katika mnuso wao wa nguvu baada ya kumeremeta katika kanisa la mtakatifu imakulata dar
wazazi wa bw. harusi mzee stephen rweikiza na mai waifu wake wakiingia ukumbini. Mzee Rweikiza ni mmoja wa nguli wa uandishi bongo akiwa amefanya kazi kwa miongo kadhaa kama mhariri wa michezo daily news kabla hajastaafu. Mzee huyu katufundisha mengi sana kina sie toka tunachipukia na hadi sasa tunamsumbua kupata ushauri wake


wadogo wa maharusi wakicheza shoo maalumu

wapambe walikuwa pina


baba paroko wa kanisa kuu la mtakatifu joseph fr. rwechungura na msaidizi wake wakiwapongeza maharusi baada ya kuwameremetesha

mdau dennis mbelwa rweikiza akiwa na mai waifu wake anita lyimo wakifungua nanihii kwenye mnuso wao usiku huu ukumbi wa diamod jubilee hall baada ya kumeremeta katika kanisa la mtakatifu imakulata jijini dar jioni ya leo. wote ni wadau wa wichita, kansas.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 41 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2009

    hongereni jamani mnapendeza Mwenyezi Mungu awalinde katika ndoa yenu.mwaaaaaaaaaaa.
    mdau scandinavia

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2009

    Hongera sana Dr. Rweikiza na Dr. Lyimo. Akanana kaile kona.Boona batambukage mbaluga omumalembo. Olye noyenda Dr. Rweikiza.

    Mdau Dr. Rugemalila
    DUKE UNIVERSITY-NORTH CAROLINA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2009

    Watoto wa kichaga bwana ni wazuri mno.. Hongera Mbelwa kwa kupata mke mzuri.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2009

    Wewe Anony June 20 @ 10:38pm hakuna mbaya duniani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2009

    Kaka yangu ameoa mke wa kichaga. Alifunga mlango wa mbele wageni wakija wanaingilia mlango wa jikoni muda mwingine anawawekea viti nje eti watachafua nyumba. Alificha fungua eti zilipotea. Halafu eti kawakataza watu kupika chakula cha mchana, akipika chakula cha usiku anamuhesabia kila mtu atakula kiasi gani. Halafu kitu kibaya zaidi anawafukuza ndugu wa mwanamme wasikae pale nyumbani, anawakaribisha ndugu kwa upande wake mwanamke. Alipoolewa tu alitukaza kupika chai eti tunamaliza hela. Tangu aolewe ni miaka 10. Hajawahi kupata mtoto. Nilimwambia ukitaka Mungu akubariki fungua huo mlango. Make baraka zote ulizifunga mwenyewe. Sisi huwa atufungi mlango. Yaani huyu mwanamke wa kichaga alitukuzia wageni. Wanawake wa kichaga huwa nawafananisha na wa Marekani Weusi.

    Mdau-USA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2009

    Dr Lyimo? Sikujua Anita ni Doctor. Hongereni wote.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2009

    wamependeza and the thing inaoneka iko very classy from dress code to decorations...nawafagilia wawa!!!!

    ReplyDelete
  8. Anitha na Dennis, hongereni sana. Karibu uchaggani Mbelwa na karibu uhayani Anitha. Wish you guys all the best in life.

    ReplyDelete
  9. Aisee msee usisahau kuja na kale kambusi ulikochinja huko, si unajua tena hapa USA river mbusi ni hadimu, beba na ulesi kabisa tuje tupike mbege.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 21, 2009

    wote wawili sio ma doctor,we anony sio kila anayeavaa koti jeupe ni doctor.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 21, 2009

    Sweet mie nikifungua kwa ustadi zaidi yako zamu yangu juu tonite? atleast all nigh long ma, plz????? Looking good congrats.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 21, 2009

    wewe mdau wa 11:51 sio mzima aisee.una ukabila kama nini.mwanamke yeyote anaweza kuwa vyovyote!mimi uwa sitoi comments hapa ila watu wengine inabidi mfungue macho babu.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 21, 2009

    Huyo Dr. Rugemalila sijui ni mzushi wa wapi, I wonder hata kama anawajua maharusi vizuri. Mimi nawafahamu Dennis na Anitha vizuri sana kutoka Kansas (sio Texas) na wote sio ma-Dr. They are good people. Wewe kama kweli ni Dr. basi gather your facts kabla ya kuropoka.

    Anitha and Dennis I wish you all the best, I will quote the bible, "...aliowaunganisha Mungu, binadamu asiwatenganishe", Amen.

    Cheers!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 21, 2009

    Michu Boy, Hao ni wadau wa Wichita, Kansas! Sio Wichita, Kansas, Texas kama ulivyobandika!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 21, 2009

    Hili lijamaa linabahati kweli kumuoa huyu dada- ongera sana we lijamaa, huyo demu ni mkali na amewatolea nje watu wengi kichizi pale Shinyanga(shaikomu), Dom na Dar, yaani kama mijitu milioni ninayoifahamu ikiwamo mimi mwenyewe. Big Up Anita

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 21, 2009

    Mmependeza Maharusi ...Wish you all the best in your marriage....mind you the first year is the hardest though.

    Wilfred, USA

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 21, 2009

    how do u know the decoration is classy wakati inaonekana kiduchu tu

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 21, 2009

    Congratulations Anita u look stunning and ur hubby too.mwahhh
    Miss Manchester ur amani pr school friend!!B.N

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 21, 2009

    hili lijamaa la 11:51 linaukabila sana sipendi watu wenye ukabila .hujasoma nini wewe?kama kaka yako kachemsha kupata mke bomu usitukane kabila zima la wachaga.
    sikuizi intamarriege sana so huwezi judge mtu kwa kabila inategemea na mtu mwenyewe.
    zamani ndio kulikua na mambo ya usiolewe au usioe kabila flani sikuizi hayo mambo hakuna so fungua macho wewe hii ni karne ya 21.
    hongereni maharusi Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 21, 2009

    Wabongo bwana,
    Sasa nyie anon unayembishia Dr. na kusema atafute fact kabla ya kusema mbona hata wewe hujaweka facts zako, au wote ni wale wale.
    Mara oh sio madaktari, mara mi nawafahamu ila sio madaktari; sasa ni nani? kama sio kweli na wewe unajua profession zao tupe basi.

    Ninavyojua unapobisha kitu kwamba sio kweli unatoa ukweli unaoufahamu wewe. Jamani tuache usenene, kama una argue give facts and move on.
    Au if you think someone made a mistake, then hakuna haja ya kulalamika. Sema mwenzangu umekosea hawa sio madaktari ila wanabeba boksi lao na wako happy, that's good enough.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 21, 2009

    Nadhani hiyo ni generalization kusema ati wanawake wakichaga wapo hivi au wakimarekani wako hivi. Kila kabila au taifa lina watu wa aina zote na haijalish. Nimekutana na wanawake wakichaga ambao wanatabia nzuri ajabu, nimekutakana na black america akanitendea wema ambao mbongo mwenzangu hangeweza nifanyia nikajisemea ingebidi nioe huyu ila tu nimechelew. kwa hiyo ni kuomba Mungu tu akupe mwanamke bora nawe umuonyeshe mapenzi bora na wote mkiwa kitu kimoja, mkapendana then mambo mwaaaaaa

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 21, 2009

    Mr Mischuzi thanxs for photos,hawa jamaa are really good people wamependeza na wanameremeta ... they re really meant to be together ...
    inshalla na mungu awabariki.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 21, 2009

    nyie mnaoargue eti kuhusu wanawake wa kichaga na uzuri.nadhani aliyeweka comment atakua anamaanisha majority na sio kwa wote ni wazuzi ila hata mimi ni mwanaume na kusema kweli wadada wengi wa kichaga niliopata kutoka nao asilimia kubwa wako bomba na sisemi hakuna wabaya
    btw maharusi mmependeza

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 21, 2009

    mimi nampenda huyo dada yake bwana harusi, doreen (picha ya sita wa kulia) sijui ke shaolewa au vipi
    wa dau mliokuwa karibu nae nipeni habari

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 21, 2009

    mbelwa jamani that reminds me of our days basketball. jamani mmekua sasa na hiyo ni step muhimu sana kwenu. mungu awaongoze na kuwalinda. mmependeza mno. Bibi harusi ni mzuri sana. mkatunzane always.gunnis sister.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 21, 2009

    Harusi imeenda shule kinoma. Hongereni sana maharusi. Bwana Dennis alikuwa point guard mzuri sana wa vijana basketball club

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 22, 2009

    Kwani niliposema ni Ma-Dr. nimetukana? Sioni cha ajabu. Labda kama nimewafananisha. Samahni kwa hilo. Wewe uliyesema sijasoma, sioni haja ya kubishana na mtu. Mimi nimewapongeza maharusi, kama wewe ulivyowapongeza.
    Nashukuru sana.

    Mdau Dr. Rugemalila
    DUKE UNIVERSITY-NORTH CAROLINA.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 22, 2009

    Wanaume acheni ujinga wa Kikenya. Mimi ni Mkenya na ninazifahamu vizuri hila za ukabile. Nikidhani wabongo mmevuka ukabila kumbe nanyi pia ni feki.
    Inakuasha nini mwanamke akifunga nyumba msiichafue? Kwani huna kwako wewe? Basi akija kwako mpimie sukari, hata chumvi ukitaka lakini hii pettiness ya ukbila doesn't cut. Get over it la sivyo mtafute mchaga wako pia.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 22, 2009

    matron kunjua mikono!

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 22, 2009

    You guys look stunning!!! Harusi imependeza sana. Hongereni kwa kufunga ndoa. msisahau kumtanguliza Mungu katika maisha yenu siku zote. Tunawatakia mafanikio mema katika ndoa yenu.

    Friends from Kansas City.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 22, 2009

    Dennis na Anitha nawakaribisha kwenye klabu. Hakika mmechagua lililo bora nawatakieni maisha mema na Mungu awabariki katika kila jambo mfanyalo na mzae watoto mkaijaze dunia.

    Bwana awe nanyi daima

    AMINA

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 22, 2009

    matroni kulikoni hiyo mikono umeikunja tuuuu

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 22, 2009

    heeeeeeeee shomile waitu...

    kumbe bi harusi mchaga?asante sana

    mmependeza sana

    ila uyo mpambe-matron wa bi harusi pozi liligoma au?mana anaharibu picha kwa kukunja mikono mbele jamani

    bwana harusi vipi konozzz kwa mai waifu wako??yan yeye ndo kashikilia tu konozzz

    bojo

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 22, 2009

    Hongera sana Anita na Denis..Binti mzuri, una quality za kutosha sana..umetukimbiza wengi tu kama mdau flani alivyosema hapo juu, mimi nikiwa mmoja wao..nna uhakika we ni mrembo popote utakapokua.tokea enzi za sunday school,primary school na kwingine ulikoenda..Haters gona hate..Dennis,hongera man.

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 22, 2009

    MICHUZI KAKANGU NAOMBA SANA NIFIKISHIE SALAMU ZANGU KWA HUYO MC WAO EFRAIM KIBONDE.... WADAU HAMUWEZI AMINI SIKU HIYO HIYO YA TAREHE 20 JUNE 2009 HUYO KIBONDE ALITAKIWA KUWA MC KATIKA HARUSI MOJA MWIKA,, AKAMTUMA MC MMOJA BOMU ETI YEYE ANAUMWA!!!!!1
    JAMANI KUMBE ALIKUWA NA HARUSI NYINGINE HUKO NDO MANA AKAINGIA MITINI? ALIFUATA HARUSI YA MATAWI YA JUU!!!!!!!!!!1


    SASA UTAJUUUTA KWAULICHOKIFANYA.

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 24, 2009

    Maharusi you look stunning, also MC Kibonde.. i have no comments coz michuzi atabania so all i have to say is you should honour your commitments!

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 24, 2009

    kibonde alikimbia MC ya wedding uko mwika????????????????????

    seriously or????????????????????

    hahahahahaaaaa teh teh tih tih

    ooooooh nooooooooooooo,kashikwaaaaa

    asanteni yu made my day

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 25, 2009

    harusi ilikuwa bomba but kibonde ni kweli uliakiwa mwika tarehe hiyo???????? kama ni kweli basi unaharibu kaka

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 26, 2009

    Beautiful!

    ReplyDelete
  40. Hello Anitha and Denis. many many congratulations to you. You guys look very beutiful, your wedding is very classy and stunning to look at. May God pour his blessings on your new family and long life together.

    ReplyDelete
  41. AnonymousJuly 10, 2009

    happy people ...you look stunning
    GOD BLESS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...