Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kazi njema Mkuu wa Wilaya ya Nanihii.
ReplyDeleteKuna kitu kinanishangaza juu ya bei ya madafu toka nchi za Scandinavia, yaani Kroner, bei yake kwenye hizo Bureau de Change haijawahi kubadilika tangu 2007!! Imebaki kuwa Tsh 150 muda wote ilhali kiukweli exchange rate imepanda sana kufikia kati ya Tshs 190 na 200. Nauona huu kama aina fulani ya wizi mtupu. Kuna bei tofauti na bora kabisa ukiangalia mfano NBC, CRDB au Western Union.
Nadhani ni vema mtu kabla hajanunua au kuuza pesa yake afanye utafiti wa kutosha ili kumsaidia kuepuka unyonyaji huu unaohalalishwa na utandawizi.
Thanx for ur ujumbe
ReplyDeleteKwenye pesa za Scandinavia kuna wizi mkubwa sana hapo, kuliko kuja nazo huwa naziweka kwenye dollar kabisa au natolea kwenye ATM bongo.
ReplyDelete