Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2009

    Kazi njema Mkuu wa Wilaya ya Nanihii.
    Kuna kitu kinanishangaza juu ya bei ya madafu toka nchi za Scandinavia, yaani Kroner, bei yake kwenye hizo Bureau de Change haijawahi kubadilika tangu 2007!! Imebaki kuwa Tsh 150 muda wote ilhali kiukweli exchange rate imepanda sana kufikia kati ya Tshs 190 na 200. Nauona huu kama aina fulani ya wizi mtupu. Kuna bei tofauti na bora kabisa ukiangalia mfano NBC, CRDB au Western Union.

    Nadhani ni vema mtu kabla hajanunua au kuuza pesa yake afanye utafiti wa kutosha ili kumsaidia kuepuka unyonyaji huu unaohalalishwa na utandawizi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2009

    Thanx for ur ujumbe

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2009

    Kwenye pesa za Scandinavia kuna wizi mkubwa sana hapo, kuliko kuja nazo huwa naziweka kwenye dollar kabisa au natolea kwenye ATM bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...