MAREHEMU MICHAEL JACKSON ENZI ZA UHAI WAKE
WAHUDUMU WA KITUO CHA AFYA CHA UCLA HUKO LOS ANGELES WAKIMWINGIZA NDANI MICHAEL JACKSON KUPATA MATIBABU BAADA YA KUPATA MSTUKO WA MOYOHABARI KUTOKA LOS ANGELES, MAREKANI, ZINASEMA BINGWA WA POP DUNIANI MICHAEL JACKSON HATUNAYE TENA.
MICHAEL INASEMEKANA AMEFARIKI DUNIA KWA KINACHOSADIKIWA KUWA MSHTUKO WA MOYO. ALIKUWA NA UMRI WA MIAKA 50.
MFANYAKAZI NYUMBANI KWAKE SEHEMU ZA HOLMBLY ALIITA AMBULENSI KUMUWAHISHA HOSPITALI AMBAPO INASEMEKANA HAKUWEZA KUZINDUKA. AWALI ALIKUWA AMEKOMA KUPUMUA KABLA AMBULENSI HAIJAFIKA KUMCHUKUA.
Michael Jackson amecha watoto watatu - Michael Joseph Jackson, Jr., Paris Michael Katherine Jackson and Prince "Blanket" Michael Jackson II.
HABARI KAMILI ZITAFUATA
chanzo cha habari:
-----------------------------
ANGALIZO: HABARI HIZI BADO NI ZA KUTATANISHA, KUNA VYANZO VINGINE VINASEMA HAJAFA ILA YUKO KWENYE COMA, NA VINGINE VINASHIKILIA KUWA MICHAEL JACKSON AMESHAFARIKI DUNIA.
GLOBU YA JAMII INAENDELEA KUFUATILIA KWA UKARIBU HABARI HIZI. WADAU MNAWEZA KUBOFYA HAPA CHINI KUFUATILIA LAIVU STORI HII
pamoja na


Mwenyezi Mungu amlaze mahali oema pepoi jamani.Hapa ndipo lazim tuukubali ukubwa wa Mungu,kaacha bonge la jumba na mihela kibao wajameni,ama kweli udongo unafaidi.
ReplyDeleteKifo kweli jamani hakina huruma.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.yeye ametangulia na sisi tuko nyuma yake.
Michuzi Michael bado hajafa yuko kwenye comma.Ni kweli taarifa zimesambaa kwamba amekufa lakini bado manake hata ukiangalia cnn au yahoo wanakwambia he is hospitilized.Kwa hiyo badili kidogo ntakusaidia kukuupdate.
ReplyDeleteYusuph
RIP Michael! King of POP! Ama kweli duniani tunapita tu! na kila mtu ataonja mauti, i never thought he will die.
ReplyDeleteR.I.P Michael
ReplyDeletei was your great fan
you will be greatly missed!!
Rest in peace truly king of POP
ReplyDeleteMungu amlaze pema peponi mfalme wa pop. Hapa london tulikuwa tunamsubiri kwa hamu kuona 'gigs'(Hamsini mfululizo) zake wakati huu summer lakini ndio hivyo kilimwengu. Hii inazidi kutuumiza maana pia Mfalme wa Soul James Brown pia alitutoka hivi karibuni.
ReplyDeleteWadau
Wapenzi wa Mfalme wa Pop
Jijini London.
WEE YUSUPH NI KWELI HAPO AWALI ALIKUWA BADO HAJAFARIKI,LAKINI KWA SASA WAMESHATANGAZA KAMA AMEFARIKI DUNIA.
ReplyDeleteTUMEPOTEZA BONGE LA MSANII MBUNIFU AMBEYE HAKUWA NA YEYOTE WA KUMLINGANISHA.BONGE LA PENGO.
RIP
Mwenyezi Mungu amlanze mahali pema peponi, Amina.
ReplyDeleteOur King Of Pop Music, you will be sadly missed.
R.I.P Michael Jackson
Catherine
Nyie mnaobisha kwamba bado hajafa yuko kwenye coma mnaabgalua CNN ipi maana all news sources wameshaconfirm he has passed away. RIP
ReplyDeleteameshatagulia mbele ya haki na sisi tuko nyuma yake jamani hapa ndio pa kuzingatia hii dunia inapita tu hata uwe nani basi ipo siku utakufa kwahiyo lazima tufuate maamresho ya m,mungu huko ni matendo yako mema tu ndio yatakayo kusaidia sio umarufu au mali
ReplyDeleteam still in too much shock 4 it to sink it or 2 even start feelin upset.i cant beleive it he was too young to die
ReplyDeleteMichael alizaliwa August 1958 ktk jimbo la Indiana USA kutoka familia ya kawaida. Michael alizaliwa katika familia kubwa ya watoto 9 wengi wao wakawa wanamuziki mfano kina Jarmaine na Janet.
ReplyDeleteMzee Jackson(baba wa Michael) alikuwa mpenzi wa muziki nakuwaspoti wanawe wa kiume kuanzisha bendi ya Jackson Five. Michael Jackson akiwa na umri wa miaka 18 alijitenga kutoka kundi la Jackson Five na kuja kuwa mashuhuri, albamu ya Thriller iliyotoka 1982 iliuza kopi zaidi ya 51,000,000.
Alimwoa mtoto wa Elvis Presley (gwiji la muziki) na baadaye wakaachana. Michael alikuja kumwoa nesi aliyekuwa 'akimuuguza' ugonjwa wake wa ngozi ambae pia walitengana naye.
Michael Jackson alipanga summer tour 2009 kufanyika jijini London, waandaaji wa tour hiyo walitangaza angefanya zaidi ya maonyesho (concerts)50. Michael ameacha watoto 3, Mungu amlaze pema peponi, Amen.
Shabiki wa King of POP.
He is officially dead. RIP Michael, you were the best!
ReplyDeleteLA Coroner has confirmed he is dead!!! He will be well missed
ReplyDeletewe anon wa 4 vp, hujafikiri km atakufa? kwaiyo ulifkiri ataishi maisha, tena ashkuru kafika nusu karne wenzake hawaipati hiyo, alikua katulia arabuni waengerez wamemchomoa njoo utuimbie tutakufanyia bonde la concert, kumbe vile wanachomoa kifo
ReplyDeleteThis was a big shock i just didn't want to believe other news channel until i heard it from CNN ITS very sad but true kinda like loosing a brother
ReplyDeleteMay God rest his soul in eternal peace
Amen
jamani kweli michael michuzi nipo LA nakutumia sasa hivi picha naeleekea pale nje hospitali nishuhudie
ReplyDeleteWe will missed you a lot Michae. May rest in peace. Amen.
ReplyDeleteyairabi toba..rip
ReplyDeleteMichael passed on confirmed by CNN. Mungu ailaze pema peponi roho yako. Tulikupenda sana sitasahau vibao vyako vilivyotutingisha Off the wall, Working day and night,Don't stop till you get enough na vingi tu. Moyo unauma roho inalia.
ReplyDeleteHaina Ubishi annon 3 Mj is Gonne maan RIP The Jacko hata sisi tushakufa bado kutangazwa tu
ReplyDeleteWatever u did to those kids I knw they were just false acusations. na sasa mzimu wako uwatokee wale woote waliokuwa wanakusingizia. hehehehehehehe....mafisadi kaeni mkao wa kula. R.I.P Mike.
ReplyDeleteJermaine Jackson, the brother to the king of pop just confirmed the death of his little brother. Sad it is, RIP Pop master, the world shall remember you and miss you dearly!
ReplyDeleteWE MDAU HAPO JUU HOSPITALIZED NDIO NINI?WE SUBIRI TU CNN WALIKUWA SLOW SANA LEO,JAMAA ALIKUFA TANGU HOME KWAKE WE UNAZANI MOYO KUSIMAMA MCHEZO,RIP MAIKO.
ReplyDeleteMDAU,LA.
Smoooooth Criminal!!! tingdingdingdindi tikingdindi tikingdindindix2. 'Cause this is thriller, thriller night
ReplyDeleteAnd no one's gonna save you from the beast about strike
You know it's thriller, thriller night
You're fighting for your life inside a killer, thriller tonight. And though you fight to stay alive
Your body starts to shiver
For no mere mortal can resist
The evil of the thriller!!! maiko is the shit i'm hearing now true??? man r u gone really??? duh ama kweli kwa mungu kila nafsi itarudi. nilinunua album zako zote nilipokuwa states kule cleveland na sasa nazisikiliza bila kuamini.
the girl's mine, liberian girl, black or white, beat it (bileee bileee bileee bileee), wanna be startin somethin' you gotta be startin somethin'....bill jean!! dah siamini yani hadi chozi limenitoka!!!
enzi zile kulikuwa na wale wataalamu wa kuyarudi makwanja ya the wacko jaco hapa Tanzania kama Sammy Cool, John Maganga, Black Moses, Sammy Cool alikuwa na uwezo wa kubreak kuliko hata Wacko Jack mwenyewe. mimi nilikuwa nimeshanunua ticket ya show zako kule London Uk lakini naskia tutarudishiwa fedha yetu.
mungu ailaze pema peponi roho yako
Ukweli tumempoteza msanii kipenzi cha wengi,tungulia michael nasi ni njia yetu! tunaamini wapo waosha vinywa watasema mengi, lakini hakuna kiumbe hai aliekamilika .sijapata kuona mwanamuziki alieniburudisha katika live concerts kama king of pop,nitakumiss sana sana.mungu ailaze roho yako mahali pema peponi,AMEN
ReplyDeleteMichael is already dead and autopsy has been done.
ReplyDeleteRIP Mr. Peter pan. he was a unique person on earth. Imagine how the world would be without Michael. I loved Michael...will be missed....A LOT!
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema peponi Mfalme wa Pop.
ReplyDeleteMICHAEL JACKSON NJOO SITAKI, KAMA HUTAKI NENDA.
ReplyDeleteHUZUNI SANA TENA SANA. MICHAEL KATUTOKA KAMA NDOTO.
Duh I was shocked kwa kweli though every one has to die.…….. I believe you are alive in the living heart of this world……Rest in peace Michael…
ReplyDeletehizo nywele zake???
ReplyDeleteafu mbona mashavu yake kama yamesawajika?
ulale kwa amani,na mwanga ukuangazie
picha zako zilitisha sana,
michu hii style ya wapi ya kusend comments??khaaaa
Kila nafsi itaonja umauti
ReplyDeleteRIP from another michael
ReplyDeleteNaona sitaindea haki nafsi yangu na hata Michael Jackson Mwenyewe kama sitatoa comments zangu kuhusu kifo cha MJ.
ReplyDeleteNilizipenda sana nyimbo zake kama alivyopendwa pia na watu wengi duniani na pia uchezaji wake ambao kwa jinsi nionavyo mimi alikuwa na kipaji ambacho naamini dunia itahitaji miaka mingi kumpata binadamu mwingine mwenye kipaji kama chake au hata kumkaribia.
Jamani pamoja na kashifa alizopata kuwa nazo lakini ukweli MJ kipaji chake kilikuwa si cha kawaida.
Kwa jinsi alivyopata kunipa raha kupitia nyimbo zake na picha zake za video pamoja na mavazi yake ya kisanii kwa kweli nakiri alikuwa na nafasi kubwa maishani mwangu linapokuja swala la burudani ya muziki.
Oh, wenye umri kama wangu watakumbuka hata ile staili ya uvaaji wa majaketi yaliyokunjwa au kuvutwa hadi usawa wa viwiko vya mikono huku ndani kukiwa na T-Shirt isiyo na Collar ambavyo viliigwa kwenye picha/video za MJ (1984).
Hebu fikiria binadamu unakuwa na ndugu, jamaa na majirani kibao. Lakini kati ya hao ni wachache tu wanaokujali au kuweza kukufariji wakati shida. Lakini mbali huko kuna binadamu asiyekujua lakini anaekuliwaza kwa nyimbo zake kama MJ. Na leo unapata habari hizo kwamba amefariki, utajisikiaje? Mimi imenisikitisha sana lakini ndiyo hivyo tena kila mmoja ana siku yake ya kuondoka hapa duniani.
Kwa heri MJ. Kwa heri kaka.
Its too sad, yaani machozi yamenitoka kama vile ndugu yangu wa karibu. Yaani kifo chake kimekuja akiwa amebakiza week tu kuanza show zake London.
ReplyDeleteRIP Michael, we are all on same journey. Hii ni ukumbusho kuwa hata ukiwa vipi hapa duniani, kuna siku tutarudi tulikotoka, hata tukiwa na majina gani. Hivyo basi susimamie haki na kutenda mema kila siku
R.I.P MICHAEL JOSEPH JACKSON.
ReplyDeleteNi mstuko mkubwa kwa wapenzi wa Michael Jackson tuliobahatika kumuona akifanya vitu vyake live.
ReplyDeleteLive Concert yake kubwa ninayoikumbuka ni aliyomshirikisha mpiga gitaa mashuhuri wa kundi la Guns & Roses aitwaye Slash, Slash ana manjonjo jukwaani kuwazidi Jimi Hendrix na Carlos Santana au Banza Mchafu wa Marquizee Original, hapo kila mmoja alipagawa katika hilo onyesho. Pia Michael Jackson alishirikiana na nguli wengine kwa karibu kama Quincy Jones na alikuwa anapenda sana King Of Soul James Brown.
Michael atakumbukwa kwa kufanya kazi zake kwa kujituma kwa vile pia alikuwa anaipenda na kuiheshimu fani yake ya muziki. Pia alikuwa mfanyabiashara mzuri hata kuweza kununua hati miliki ya baadhi ya nyimo za Beattles.
Kweli tumempoteza gwiji mkubwa wa muziki, namwombea mapunziko mema.
Mdau
Ughaibuni.
Kaziro Yafa arimuto....Uuuuu AAAAhhhhhh.......Nibaja Nyawe nija kuzika nechitiyo Nachiguzire uuuuuuu......nashasha Mumo.
ReplyDeleteRest in Peace Michael! We love you!
ReplyDeleteI still remember when he came to Tanzania. Nakumbuka I was very young but me and my friends tulienda pale Kilimanjaro Hotel(Kempelnski) na kumuona vizuri.
ReplyDeleteRest in Peace Michael! I can't stop crying! I don't think this is real.
my dad loved u a lot,so idid as well ur truly the greatest of all cant compare u with anyone.RIP
ReplyDeleteMichael Jackson! He was the very first singer who made me love music, he was my inspiration to listen to other singers, it was thru him that I came to notice songs and what the songs meant and the pleasure they brought while listening or watching. I cannot recall a song from MJ with a clip that was not good to watch, a song that was bad to listen a dressing style that was not pleasing to the eyes apart from the pajamas he wore with a coat to the court!
ReplyDeleteMichael Jackson was great, God brought him to the world he has now taken him, am sure God will bring someone else in a different style, like what happened when Marley died, or when Presley died or James Brown. Always someone in a different style will take over from where MJ left.
May he rest in peace, finally (Amen)
I AM GRIEFSTRIKEN. I LOVE YOU MICHAEL. REST IN PEACE.
ReplyDeletemy best songs were:
ReplyDeletebillie jean
thriller
beat it
cant stop till we get enuff
loved u mj..rest in peace
Wakati tunakua miaka ya 80 tuliiga na kushindana staili zake za kucheza kama 'moonwalk' na 'breakdance' na alikuwa hero kwa watoto na vijana enzi hizo, kila mtu alitaka kuimba au kucheza kama Michael!! Mungu amsamehe makosa yake!! R.I.P M.J
ReplyDeleteThis was a troubled human and was so persecuted by many that envied him and secretly adored him, Now that he has gone home the real Michael will rise and have his day. Watch out for the music charts..there is going to be "this had never occurred before"
ReplyDeletePeace
Wakatabahu
Yani jamaa alishaanza kugeuka kuwa nyani kweli mungu hapigi kwa fimbo, Yote pesa hio imemuharibu sasa kaomdoka kaacha kila kitu duniani na atasema nini huko akhera?
ReplyDeleteAnnon wa 241pm who are you to judge while you can't be judged? tafakari maisha ya mtu kabla hujatoa kashfa. Na wapaka mikorogo tuwaite nyani? Dunia imepoteza legend, baba na mama wamepoteza mtoto,madada na kaka wamepoteza mdogo wao,na watoto wake wamepoteza baba. Funga roho yako wenzio wanalia. He will remain the LEGEND KING OF POPE! Wacha mie niomboleze usinipe kichefuchefu na comment zako annon wa 241pm.
ReplyDeleteKWA KWELI MJ NI MWANAMUZIKI WA KI UKWELI SANA. HAKUNA MFANO WAKE. TUJIFUNZE KUTOKA KWAKE.HAKURUPUKI KUTOA ALBUM YAWEZA PITA 2 HATA 4 MIAKA NDIO ANATOA JIWE NA NI LA NGUVU. NI KIFAA CHA KIUKWELI KIMEONDOKA
ReplyDeleteSawa tuna jua alikosea kumkosoa Mungu ila tumuombee kheri mwenyezi Mungu amsamehe. Hakuna aliye kamilika kila mmoja ana kasoro zake duniani. Wewe unayemuhukumu kumbuka pia wewe ni binadamu pia unamadhambi unayofanya ila huonekani. Usihukumu mwenzio, sisi binadamu hatujapewa amri ya kuhukumu isipokuwa Mwenyezi mungu peke yake....
ReplyDeleteMwenyezi mungu amlaze mahala pema...Amuondolee adhabu au kumpunguzia. Ameen.
Jamani tumuombee maghufira kaka yetu. Si vyema kuhukumu kilicho kwenda mbele ya haki. Tumuachie Muumba ndio ahukumu. Ila tuu tafakari na kufikiri pia kukumbuka hata kujiuliza.
ReplyDelete1. Kuna muumba
2. Je unamuabudu
2. Ameamrisha mabaya na kukataza mabaya je unayafuata?
3. Je wewe unajua kuwa kunamwisho wako?
4. Je unajua mwisho wako utakuwa vipi na lini na saa ngapi?
5. Kama unajua kuna mwisho Je wewe umejiandaaje na safari hii.
6. Je umeutumiaji uzima wako, vile Muumba alivyo kupa umevitumia vipi? Vipaji? Viungo? Elimu? Cheo? Je umevitumia kinyume na yeye alivyoamrisha?
TAFAKARI: Hakika ukitafakari haya na ukawa umeyaweka sawa utaishi kwa amani kabisa.
ama kweli mtu akifa huzungumzwa vizuri hata kama alikuwa ni mbaya. kweli muziki wake ulikuwa mzuri saana lakini alileweshwa na mahela hadi akamkufuru Mungu vile alivyomuumba akaanza kujibadilisha na kujiumba vile alivyotaka yeye huo ndio ukweli. pia nakumbuka wakati alipotembelea nchi yetu aliiona inanuka hata akadiriki kushika pua yake asisikie harufu.kweli tumepoteza muziki wake lakini kwa yeye hakuwa na tabia nzuri. sio namuhukumu ila ndio ukweli wenyewe ataenda hukumiwa na mwenyeenzi mungu atakavyokwenda kumsaprise na sura nyingine.
ReplyDeleteWe will miss you, Michael. Rest In Peace.
ReplyDelete"Hold on Papa and mama Joe" God will see you through!!
ReplyDeleteThis is to show hamna mtu ataescape kifo lol!!
RIP Michael!!!
Rest In Peace Dear Brother. U were Great. Hope Heavens will open the Gates for you. Tutakupenda Daima.
ReplyDeleteHe was truly ma Legend......i loved his music and will always cheresh him on ma heart no matter what.....and keep listing to ur all good songs....
ReplyDeleterest in peace ma dear Michael Jackson!!!
2day iz ze day dat music died,there will never b anything like the king of pop in this generation and for many generations to come,the beats of his songs were awesome,the vocals were magnificent and the chereography were out of this world!
ReplyDeleteRIP the king of music
Hapa ndio nakumbuka wimbo wa Remi- KIFO HAKINA HURUMA.
ReplyDeleteRest in piece Michael Jackson. Hakuna kama wewe kwenye fani ya Muziki. Umeacha pendo kubwa. Sisi tulikupenda lakini Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.
Im so shocked of Michael Jackson's death that I cant find words to express my feelings. All I can say is, may the Lord God Rest His Soul In Eternal Peace-Amen
ReplyDeleteI LOVE YOU MICHAEL! REST IN PEACE!
ReplyDeleteINALILLAH WAINAILLAH RAJIOUN.
ReplyDeleteNASHUKURU MICHAEL JACKSON ALISILIMU NOVEMBER 2008.NA KUWA MUISLAM HIVYO DHAMBI ZAKE ZA NYUMA ZIMEFUTIKA.
AKAAMUA KUJIITA MIKAEEL.
May the soul of Michael Jackson rest in eternal peace! ...My condolescence to his children, family, friends and all-time fans
ReplyDeleteLALA PEMA MJ.
ReplyDeleteNakumbuka wakati MJ alipokuja Tanzania mwaka 1992 (siyo 1990 kama inavyoripotiwa na baadhi ya waandishi habari au waandikaji)kuna mwandishi mmoja wa habari ambae sasa hivi ana nafasi kubwa katika moja ya benki kubwa nchini ambayo ina sifa ya kuwaweka watu wake kwenye foleni ndefu sana alibahatika kushikana mkono na MJ. Baada ya hapo mwandishi huyo akaandika kwenye gazeti lake kwamba kwa kubahatika kushikana mkono na MJ basi eti asingenawa huo mkono wake kwa wiki mbili!
ReplyDeleteTID mshukuru MJ bila yeye hizo staili zako za uchezaji unazojaribu jaribu bila mafanikio sijui ungezitoa wapi?
Michuzi,uwe makini ukibandika hizi breaking newz hasa za kifo... hii breaking nyuz ulivyoandika inaonekana kama kitu cha kufurahisha kumbe ni msiba mzito.
ReplyDeleteHaya ni mawazo yangu, nadhani umenipata.