Mbunifu mpya wa mavazi Christine Tido Mhando a.k.a Chichia amejipanga vyema kwenye Anga ya Mavazi hapa London na tayari amekuwa gumzo kwenye SUMMER FASHION SHOW mitaa ya Excel jiini LONDON. Hapa yupo kwenye banda lake ambalo linapata wageni na wateja lukuki
Chichia akiongea na baadhi ya wateja
wadau wamtembelea Chichia kwenye banda lake



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera Christine and wishing you the best. Am happy for you. Keep it up!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2009

    like it!need your email address christine,G.Mhando,London..candyg2710@yahoo.co.uk.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2009

    ongera sana dadaangu christina hayo ndio maendeleo!!
    mdau MEXICO!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2009

    ni wadada wachache sana wenye akili na uwezo wa kutumia au kugundua talents zao na kuzitumia

    wewe dada umetutia moyo sana na tunakuombea sana Mungu akuinue juu zaidi

    kazi yako njema sana na inafurahisha ukiwa unapambana na watasha tena majuu pasi woga,na bado unakubalika

    safi sana mdada,kip ze gd work

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 19, 2009

    mwaaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...