kikosi cha wafanyakazi wa clouds 88.4 FM kilichojitolea damu mwishoni mwa wiki dar katika siku ya kuchangia damu duniani ambapo waandaji wa shughuli hiyo wamekishukuru sana kituo hicho kwa kujitolea damu pamoja na kupromoti vilivyo siku hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mtu Safi.June 18, 2009

    Tatizo siyo kujitolea damu..

    ..Bali JE, hizo damu zao hazina "CLOUDS" ??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2009

    Oya babu unayejiita Mtu safi..Badilika kidogo basi angalau uwe positive na vitu vya maana, unaonekana mwenzetu bado uko zama zile za kizamani.. Tumebadilika sasa kaka, we see things in different ways..
    Yani unaonekana una bifu mwanzo mwisho..Ungekua na busara, ungewapongeza jamaa,wamefanya promo nzuri sana kujaribu kuchange minds kama zako..
    What a great job done by Clouds FM!! Big up!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2009

    Du???watu mna moyo,mimi mtu akiniambia mambo ya damu najua kabisa anataka kunipima ngoma.mambo ya vipimo na mimi ni mbali mbali maana sina uhakika na afya yangu. ukimwi jamaniii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...