SALAAM WADAU,
KATIKA PIRIKA PIRIKA ZANGU ZA FACEBOOK , NIMEKUMBANA NA PROFILE YA HUYU MDADA NADHANI ALIKUWA KWENYE MISS TANZANIA UK.

KUSEMA KWELI NIMEFURAHISHWA NA JINSI WADADA WA KITANZANIA KAMA HAWA WANAVYOFANYA VILIVYO KUENDELEZA NDOTO ZAO. ATU ANAISHI SCOTLAND, NA BAADA YA KUSHINDA NAMBA MBILI KATIKA MISS TANZANIA UK, HAKUTULIA KAMA WENGINE, INAONEKANA ANAFANYA MAMBOZ YA UMODO HUKO SCOTLAND.

HEBU CHEKI WEBSITE YAKE.

ENDELEA KUTANGAZA NCHI DADA YETU!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2009

    AJ is a supermodel in the making na yuko juu. All the best AJ keep representing.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2009

    Thats my gal Attu,,,u'vr got all it takes to be a supermodel...go gal

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...