(Basketball without boarders) huko nyuma. Globu ya Jamii inatoa shukurani kwa mdau David Ngonyani ambaye katuletea picha hii akiwa ni mwakilishi wa Martin hapa nyumbani
Huyu si mwingine ila Martin Kolikoli, mcheza mpira wa kapu ambaye kesho atakuwa mmoja wa wachezaji 49 katika NBA Draft 2009 itayofanyika WaMu Theater katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York, Marekani ambapo anatarajiwa kupata timu atakayocheza kama mchezaji wa kulipwa katika ligi hiyo kubwa ya mchezo huo duniani. Yeye atakuwa mbongo wa pili, ikiwa ni pamoja na Hasheem Thabeet, watakaoweka historia endapo kama watafanikiwa kupata timu.
Kwa bahati mbaya habari za Martin ndiyo mwanzo tunazisikia, bila shaka kutokana na vyombo vya habari vya huko kumtaja kama mchezaji kutoka Tasmania! Globu ya Jamii, kwa niaba ya wadau wake wote popote walipo, inamtakia kila la heri Martin katika NBA Draft 2009 hiyo kesho.
Picha hii ni kwa hisani ya ukurasa wa
face book wa Martin unaopatikana kwa
Kwa orodha kamili ya wachezaji
wataokuwa katika NBA Draft 2009 kesho
Historia yake kwa ufupi
Martin upo upo bao dia .moyo wangu umekupenda gafla ndio love at first sight.this got nothing to do with your NBA Draft.Pure love .
ReplyDeletemichuzi ata wewe unaweza kuweka jina lako kwenye nba draft,lakini naomba msiliweke jina la Hasheem na mchezaji yoyote wa bongo.HASHEEM ni top 5 au 10 pick na huyo martin atakuwa undrafted.lakini na ushauri kwa huyo martin kama anataka kucheza NBA ajaribu kwanza kwenye ligi za ulaya au ligi nyingine zozote apate competition ya maana kabla hajarukia huku. HASHEEM kacheza huku college kwanza na anasize.
ReplyDeleteKAMISHNA.
HA HA HA!! BE CAREFUL MAN UTAPENDWA SANA,ANYWAY MI NASHANGAA IMEKUWAJE HUYU JAMAA SIKUWA NAMFAHAMU JAPOKUWA NAFUATILIA NBA,POWA SANA NANIHII KWA KUNIAMSHA.
ReplyDeleteNawatakia wabongo wote kila la heri katika harakati zao za kutoka.
ReplyDeleteSijui kama hii picha ya Kolikoli ni ya hivi karibuni au la lakini ilivyo inaashiria inabidi ajifue ajenge msuli kwa ajili ya kuhimili mikiki ya NBA. Hicho sio kikwazo lakini, Daniel Gibson wa Cleveland Cavs alianza kucheza NBA bila msuli akaujenga taratibu.
Mambo vipi Wabongo wenzangu hivi kwanini haiwekwi wazi kuna Hasheem tayari kapata timu inasubiri kutangazwa tu iyo tarehe
ReplyDeleteHuku marekani tunajua jamaa amesha sign na Memphis ktk NBA,So tayari Hasheem yupo NBA kwa sasa,Big Hasheem kwa kututoa kimasomaso wana wa Tanzania na EA Kwa ujumla
Sasa kwa wale wasiomjua martin naomba niwaambie ni nani....ni mtoto aliezaliwa kwenye familia ya mzee anaejua kulea watoto Mzee Ndunguru.for me this man is an exampe of what a good hather is....Martin ni mdogo wa mrembo Joket mwegelo ndio wanafuatana kuzaliwa.Kaka yao ndio yule marketing Director wa zain costantine magavilla na dada yao ni bosi mkubwa sana kwenye moja ya mabenki yanayoongoza Tanzania.Wakati Costantine analounch kitabu chake pake new africa mwaka jana,,,baba yao alitoa speech na kusema kila mtoto wake amempa jina la kikabila ili ndio iwe sir name yake na ajitafutie identity mwenyewe na kujitengenezea au kujiharibia jina mwenyewe...dont u guys think hiii imefanikiwa??Hebu mfikirie Miss Tanzania first runnuer 2006 Joket mwegelo,,,,,sina haja ya kuelezea sifa za huyu mrembo.she is just a role model kwa mabinti wengi hapa bongo...then Constantine Magavila,,,Young,Educated & succeesful..then huyu martin ambae sasa anakaribia kua superstar wa basketball hapo sijamtaja dada yao mkubwa....na pamoja na yote wanayofanya kama hobby,bado shule kwao imebaki kua kipaumbele.they are all educated...wazazi mpooooooooooooooooooo?????nendeni kwa mzee ndunguru mjifunze malezi.mi naona gere i wish i was a part of this family.alafu wote wamezaliwa marekani ...joket na ndugu zake wote..lakini walipofikisha umri wa miaka 18 wote walikana uraia wa wamerakani na kua watanzania....jamani sifa za hii familia ni nyingi mnooooo am just proud of you guys.Keep it up martin...in life u can never say umefanikiwa bila kukutana na watu ambao wanakukatisha tamaa.go for what u think is right ,,lakini usisahau shule...a star will always shine hata watu wakijaribu kuficha vipi.
ReplyDeleteHii hapa kutoka Wikipedia
ReplyDelete""Son of Urban and Bernadette Ndunguru, he has two sisters named Jokate and Desi Mwegelo and a brother named Magavilla Constantine. Martin comes for a family filled with basketball; his cousin Louis Charles Ngonyani played for the team Martin now plays in Pazi for four season (1994–98) but stopped to focus more on studying. His other cousin David Wilbard Ngonyani is still an active player in the ACAMIS and ISAC league of Beijing, China.""
Namuombea adrafriwe lakini kama ningalikuwa yeye ningaianzia kucheza koleji kwanza ili nipate kuonesha ufundi wangu wa kucheza.
ReplyDeletewadau states hodi hodi hodi!!! mi mdau mwenzenu mbongo nami nimeamua kuja marekani baada ya kuzichangachanga kwa muda mrefu na pia kufanikiwa kupata visa ingawa ni kwa udanganyifu lakini nashukuru mungu nimepewa. nategemea kuingia states next week kupitia London gatwick hadi detroit michigan. nitafikia hapohapo detroit ingawa kufuatana na ushauri wa masela naweza kuhamia columbus au durham NC baadae. masela detroit nitaomba sana ushirikiano wenu ili nami nipate kuwa mwenyeji haraka. nategemea kuishi states maisha yangu yote labda kama nikikamatwa na kurudishwa bongo.
ReplyDeletenikishafika nitatoa tangazo rasmi kupitia michuzi ili mnifahamishe jinsi ya kujichanganya nanyi na pia jinsi ya kupata box. ahsanteni
C. Tundui
Nashukuru sana watanzania wenzangu kwa dua zenu. tunajaribujaribu. nadhani mwenzangu Thabeet ana nafasi kubwa kwa sasa lakini hata mimi bado nitaendelea kujaribu hope nikikosa mwaka huu mwakani naweza kuwa katika nafasi nzuri zaidi.
ReplyDeletenashukuru pia kwa huyo mtoa maoni wa kwanza kwa kunipenda binafsi ingawa hajatoa contacts zake. waweza niandikia kwa e-address yangu martinkolikoli198989@hotmail.co.uk.
cheers
Martin Kolikoli
sorry ma' addres's martinkolikoli198989@hotmail.com
ReplyDeleteMartin Kolikoli
Well, sijakuona mzee unavyolisukuma boli na I am not trying to question your ability. Ila naunga mkono point mbili zilizotajwa hapo juu: Kuliko uende NBA kwa kubahatisha mwaka huu au mwakani ingekuwa waaay better ukiingia college kubwa kwa mchezo wa kikapu kama UNC, UConn, Michigan au Duke, then ukajitangaza kama mwaka mmoja.
ReplyDeleteTatizo la kuingia kwa kubahatisha kama unavyojaribu kufanya ni kwamba itakuchukua muda kujitangaza, which also means hata mshiko wako utapungua ulinganisha na wenzio.
Nina uhakika mzee una video za zamani ulizocheza, mi nafikiri ukienda na hizo college, then utafanya mitihani kidogo ya kuingia you will be totally fine na utashangaa nafasi yako itakavyokuwa kubwa.
So, be patient, give it a time and try the long way to make the big bucks
Hongera sana Martin. Natumaini umefikia uamuzi wa busara. Nasema hivyo kwa vile najua ulizaliwa USA na ulikuwa na uwezo wa kuja kusoma hizo college zao na kujijenga kimaisha. Ila ukaamua kuchukua uraia wa Tanzania na kuingia kwenye draft ya watu wa international. Big up for that, shows how good life is for you in Tanzania than here. All the best, kwenye nia pana njia. Tunakuombea ufanikiwe.
ReplyDeleteWewe mdau hapo juu, si familia yote walizaliwa Marekani. Ni Jokate na Martin tu. Please tuwe tunaandika ukweli. Nakubaliana na wewe kwa malezi mazuri waliyopata kwa wazazi wao. Hongera sana Bernadeta(Ngonyani) na Urban Ndunguru kwa kuwalea watoto wenu vizuri. Mungu awajalie maisha marefu muone matunda ya kazi yenu.
Mdau UK.
duh kumbe huyu ni bro wake jokate!!!!! sister wake yuko bomba kinoma lakini sasa mapozi mengi yule mtoto ndo tatizo hilo, na kaujuaji nako ni kengi ila yuko mwake kishenzi yule mtoto jokate!!! anyway hope it'll one day be fine sijakata tamaa bado!
ReplyDeleteTehe tehe .mie anon no 1.Sasa martin utakuwa serengeti boy wangu kama jokate mkubwa kwako da!Wach.Goodluck though for the draft.Big mama
ReplyDeleteMZEE MARTIN POWA SANA KWA KUWACHEKI WADAU KWENYE BLOG,WE MAKE THE RIGHT DECISION UTATOKA TU MZEE,TUPO PAMOJA MITAA HII YA OBAMA MZEYA.WE KIJANA UNAYEPIGA HODI HAPO JUU USIZANI MAREKANI NI PEPONI HUKU LIFE NI NGUMU KINOMA INGAWA UTAOGA MAJI YA MOTO DAILY NA KUTEMBEA KWENYE LAMI,USISEME UTORUDI BONGO IKIWA HATA UJAFIKA HUKU,USIJE UKAZANI YALE MAISHA UNAYOYAONA KWENYE NYIMBO ZA CH 5 JAMAA WANACHEZA NA MADEMU NDIO REALITY,WE NJOO UKISHAZOEA MAZINGIRA YA HUKU THEN UTANIAMBIA,WATU WA USA EMBASSY WANASOMA HIZO COMMENT ZAKO PIA NA UJUE KUNA CIA NA FBI ACHA KUWA MWEHU NA KUPATA VISA WAWEZA KURUDIA AIRPORT BUREEE!!
ReplyDeleteMDAU,ATL.