
Kaka tumefuata ule ushauri wako wa kuanzisha libeneke. Sie nasi tumeanzisha kalibeneke ka kimachinga tuweze kupata japo ugali kidogo. Tupo ghorofa jipya jirani na Royal Chef restaurant Mtaa wa Lumumba jijini Dar ambapo tunauza Car Accessories.
Kalibeneke ketu kanaitwa
showroomautoaccesories.blogspot.com
Nimeona si vibaya nikaleta kwa wadau.
Asante kaka
kazi njema.
Mdau wa Car Accessories
mmmhhhh huu utandawazi huu mbona kazi. Marekani na twitter bongo na blog kazi ipo.
ReplyDeleteungeweka na bei za vifaa hivyo kwenye blog coz mtu akishajua bei inakuwa rahisi kujipanga
ReplyDeleteShowroomautoaccesories-
ReplyDeleteTatizo moja nikiweka bei kulingana na hali ya uchumi na ushindani wa biashara uliopo utakuta kila mtu nataka kupatana apunguziwe bei,lakini bei zetu ziko nafuu sana inategemea na size gani unahitaji (14'15'16'17'18'20)
Discount kwetu ni lazima.
nakubaliana na mdau 7:12 hapo juu. bei muhimu. mimi nahitaji sana hizo rim, ila sijapata muda wa kushop around na kujipanga.
ReplyDelete