Gitmo prisoner

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2009

    Bwana Michuzi hiyo cartoon ni nzuri sana. Huyo Bush amesababisha vifo vya watu wengi sana. Anatakiwa kupelekwa kotini.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2009

    Aisee hiyo picha nzuri kweli/ Wamarikani wamekusanyakusanya watu halafu wamekosa pa kuwapeleka. Mwambie awapeleke hao wafungwa Dafur

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...