Mke wa rais mama Salma Kikwete akiweka shada la maua juu ya kaburi la ndugu John Kolos Kapinga wakati wa mazishi ya aliyekuwa mkurugenzi wa SUKITA ndugu John Kolos Kapinga yaliyofanyika nyumbani kwake eneo la Kimara stop over jijini Dar
Mama Revy Kapinga akiweka shada la maua juu ya kaburi la mumewe marehemu John Kolos Kapinga wakati wa mazishi yaliyofanyika jana jioni eneo la Kimara stop over jijini Dar
Mke wa marehemu John Kapinga akiweka udongo kwenye kaburi la mumewe marehemu Kapinga wakati wa mazishi yaliyofanyika jana jioni eneo la Kimara stop over jijini Dar
Mapadre wa kanisa Katoliki Parokia ya Mavurunza wakiongozwa na Paroko wa kanisa hilo Erasto Nyoni wakati wa ibada ya mazishi ya marehemu John Kolos Kapinga.Marehemu Kapinga alizikwa jana jioni nyumbani kwake eneo la Kimara stop over, Dar es salaam
Ndugu , jamaa na watoto wa aliyekuwa Mkurugenzi wa SUKITA marehemu John Kolos Kapinga wakiwa mbele ya kaburi la John Kapinga wakiongozwa na mke wa marehemu mama Revy Kapinga (wa pili kulia mstari wa mbele). Picha zote na mdau Aaron Msigwa wa Maelezo





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2009

    pole sudgi kwakufiwa na mzazi wako

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2009

    Poleni sana familia, na wanaparokia ya MAVURUNZA. Nimemwona mzee Milinga, miongoni mwa wazee wa kanisa letu hapo. Poleni sana. Ninawakumbuka wazee wa kanisa hilo, akina mzee Kilatu, mzee Mkamati, mzee Kobello, mzee Mtitu, Mzee Haule, mzee Simfukwe, nk. Nadhani mazishi yameongozwa na paroko wa zamani Father Mlelwa, asiye na nywele kichwani (kipara). Nadhani siku hizi ni paroko wa Mbezi beach. Nimewakumbuka wana kwaya wanaoimba kama kinanda hapo kanisani. Kwaya ya Mt. Sesilia, mpo????

    Mdau USA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2009

    im so sorry Otty and Carlos na ndugu wengine kwa matatizo yalio wakuta...mungu awaongoze katika kipindi hiki kigumu kwa maisha yenu,nawaombea mpate amani na baraka.....asnath

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2009

    Poleni sana wafiwa, May the lord grant him eternal peace and his memories provide you comfort each day. Amen

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 11, 2009

    I WENT TO KIFUNGILO WITH ELLA KAPINGA POLE SANA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2009

    Poleni sana familia yote ya Marehemu Mzee Kapinga,
    Pole sana Carlos

    Matukio

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 12, 2009

    OOOOPS POLENI SANA,YALE MAGOROFA PALE KIMARA STOP-OVER NDIO BASI TENA DAH!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2009

    Carlos and Alex,

    I was deeply saddened to hear of your loss.
    May the comfort of God help you during this difficult time
    May your memories give you strength... Read More
    My thoughts are with you and your family.

    Ezekiel

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 16, 2009

    Pole sana Otilia na familia nzima. The lord will give you comfort and strength to overcome this difficult time.
    You are in my prayers.
    -Jacob

    ReplyDelete
  10. duuuuuuuuuuu pole sana mkali wangu alex colos na masister wote ndo maisha from cradle to grave,oyaa man alex nipe namba yako mkuu nikupigie nikupe pole ya akili kamanda chukua namba yangu kwa bro malumba au nyungunya ata seba atakupa......gody manfred..

    ReplyDelete
  11. Oh very sad,may his soul rest in peace,Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...