mdau wa ujerumani malumbo s. malumbo (shoto) aliye katika vekesheni hapa bongo akiwa na dansa nyota wa twanga pepeta aisha madinda pamoja na katibu wa bendi na mpiga drums mahiri abou semhando 'baba diana' katika moja ya shoo wikiendi ilopita. baada ya kusumbuliwa na matatizo ya miguu aisha sasa yuko fiti na karudi jukwaani kwa kishindo kuendeleza libeneke

AISHA YUPO JUU KWA KUZUNGUSHA MAUNO SEMA AACHE KULA SANA MBUZI WABONGO,MIGUU ITACHOMOKA JUKWAANI HIYO.
ReplyDeletehiki ni kipindi cha baridi bongo? Naona wadau makoti.
ReplyDeleteni baridi sana..ukija mkoa ndo balaa
ReplyDelete