MKAHAWA WA SOMA unawakaribisha tena katika Ijumaa ya Kukutana na Mwandishi/Mtunzi Wetu itakayofanyika mahala palepale kwa siku zote, Soma MKAHAWANI.
Siku: Ijumaa, Tarehe 26 Mei 2009
Muda: Saa 11:30 jioni hadi 02:30 Usiku
Mwezeshaji: Shanande John (MOEVT)
Kitabu: MFALME HEMBE
Mtunzi: Nuru Mhina
Falsafa: Uhau Kitabu cha MFALME HEMBE
kina maudhui ya maisha ya kujamii, kisiasa, kihistoria na kiutamaduni.
Wote mnakaribishwa
Greetings readers and writers,
Once again SOMA BOOK CAFE cordially invites you to our Meet the Writer/Author Forum to be held at our premises at
Mlingotini Circle,
Regent Estate,
Dar es Salaam.
Date: Friday,
26th June 2009.
Time: 5:30pm to 8:00pm.
Host: Shanande John (MOEVT)
Book: MFALME HEMBE
Author: Nuru Mhina
Philosophy: Frejupetu
The theme of the book is the real life style of the society, politics, history and culture.
All are welcome
Omar Ilyas
Program Coordinator,
E & D Readership and Development Agency
Mlingotini Circle,
Regent Estate,
Dar Es Salaam.
P.O Box 4460
Dar Es Salaam,
Tanzania
Tel: 255 22 27772759
Cell: 255 713 654 454

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...