WADAU TAARIFA MUHIMU
Mimi Juma Mbega
namba ya simu 0784 708970
Keko Juu
Dsm.
JAMANI NIMEIBIWA!
VITU VILIVYOIBIWA
DSTV - 1. DECODER DUE VIEW MOJA
DSTV - 2. SINGLE DECODER MOJA
3. RECEIVER MEDIA COM
4. DEC SONY VHS.
HIVI VITU VIMEIBIWA TAREHE 18/06/2009 SAA NANE MCHANA BAADA YA KUFANYIWA TIMING NYUMBANI KWANGU. KWA YEYOTE ATAKAE KUTANA NAVYO AU MTU AKITAKA KUMUUZIA AMKAMATE NA ZAWADI NONO ITATOLEWA. KWA YEYOTE ATAKAYE FANIKISHA ZOEZI HILI ATOE TAARIFA KITUO CHA POLISI CHOCHOTE KILICHO KARIBU NAYE.
NAKALA:
POLISI KANDA MAALUM,
POLISI TEMEKE,
DSTV,
GTV
NB: WADAU WAISHIYO NJE YA NCHI HAWAUSIKI KWANI FIELD IPO HOME TANZANIA.
TAARIFA IPO KITUO CHA POLISI KEKO.
SAHAU MEE ANZA UPYA INGAWA NINGUMU
ReplyDeleteBWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
ReplyDeletepole saana ndugu
ReplyDeletehukuwa na haja ya kupeleka nakala GTV kwa sababu HAWAPO. Pole sana, karibu mjini
ReplyDeletesasa ulitaka watu wakale wapi?anza upya bana
ReplyDeleteHiyo nakala ya GTV sijui ulimpa nani?
ReplyDeleteHizo decoder za DSTV hazitamsaidia kitu:
ReplyDeleteKwanza: Unaweza ukawaambia DSTV wakaiblock hiyo decoder
Pili: Huduma yenyewe ya DSTV ni ya bei mbaya. Kama huwezi kuknunua mashine si rahisi ukaaford subscription yake
Tatu: Itabidi aingie tena gharama ya kununua dish - na baada ya hapo atakumbana na complication zilizotajwa hapo juu (Kwanza na Pili)
Nawapa pole nyote wawili, mwizi na muibiwa
swala lako linashugulikiwa na INTERPOL.
ReplyDeleteusikonde
hapo keko onana na matumla anajua wezi wote akiwapa mkwala watarudisha.
wee jamaa nenda bagamoyo mlingotini, watarudisha wenyewe vyooteee.
ReplyDeletePole sana ndugu yangu
ReplyDeleteCharles Mbega mbega..
I hope hapo kazini kwako Standard
Chartered Bank, watakufanyia
Harambee ili ufute machozi.
Mdau Finland.
Pole sana mdau.
ReplyDeleteKuna wimbi la wizi wa vifaa vya elektroniki linaendelea. Hivi karibuni nami nililizwa maeneo ya Tegeta halafu kuna mshkaji naye akalizwa maeneo ya Kimara. Mnaonunua vitu vya wizi tunaumizana manake watu wanakuliza, wanamuuzia mtu, muda mfupi baadae analizwa basi mzunguko hauishi. Kama vibaka wangekosa soko ingebidi watafute shughuli halali.
mtaalam nilivyokusoma kwa harakaharaka nimegundua siku ukiibiwa gari wewe utatangaza mpaka CNN na BBC. duh!
ReplyDeletengoja tusubiri siku wakikutoka mashine ya kunyolea ndevu utatutangazia tena michuzi blog
usipoteze muda kwa kusuburi hao watu wapatikane. ume ahidi kutoa zawadi nono kwa atakaefanikisha kukamatwa kwa vibaka au kupatikana vitu. ushauri wa bure. hizo pesa za zawadi anza kununua vitu upya.
ReplyDeleteMDAU 6:29 PM,TOKA FINLAND UMENICHEKESHA SANA ULIVYOMCHOMEKEA MBEGAMBEGA HIYO ISSUE MANAKE NIMEPIGA NAYE MZIGO MITAA YA SCB,ILA SIYO YEYE MZEE INGAWA NAYE ANAKAA MITAA HIYO NA WASHAMLIZA SANA SIMU KWA KUPITIA DIRISHANI,MITAA YA KEKO RENT CHEAP LAKINI UKIJA KUJUMLISHA COSTS ZA VITU ULIVYOIBIWA NI BORAUKE MASAKIIIII!!
ReplyDeletepole,havirudi ivo
ReplyDelete