wadau kibao wameomba taswira ya mtangazaji mahiri wa clouds 88.4fm paul james a.k.a PJ! wakisema jamaa anafanana sana na nanihii wa marekani na huenda ati wana undugu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2009

    He!!!! kumbe mwarabu wa sengerema

    bagesh

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2009

    Ungeweka na ya nanii basi tulinganishe,yaani PJ angepata menu kama ya jamaa ingekuwa balaa wangufanana sana tatizo PJ gongo sana,ila uko juu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2009

    Kama mnasema Barack Obama mmekosea na hamuwezi kufananisha! labda mwingine!!

    ReplyDelete
  4. Al MusomaJune 18, 2009

    Hafanani na Obama in any way. Interestingly, anafanana na somebody who once worked at Posta, then at Sigara...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2009

    kafanana na nani? amekaa kiarabu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2009

    mmmmm huyo kafanan na yule dereva tax wa texas huku marekani

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2009

    hee! kumbe ndio yupo hivi kama vile naniii ila big up mnajua kukiendesha kipindi chenu cha pbf




    Mdau wa Mwembe Yanga Tandika

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2009

    We anony wa 4:15 PM mpaka umeweza kuhisi anafanana na Obama basi kuna mfanano flani uliouona, kwa nn usiseme anafanana na McCain au Joe the plumber. Acha roho ya korosho

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2009

    Well sio mbaya kumfananisha na Obama, Obama mbona kafanana na JK kama vile mtu na kaka yake!!!
    Kufanana ni kwa kawaida the issue ni nini unafanya katika maisha.
    Tukubaliane kwamba amefanana na Obama kwa taswira ila haitamfanya yeye kuwa Obama kwahiyo wadau mtulize moyo hii ni blog ya jamii na kazi yake kufundisha na kuburudisha. Msifanye malumbano kwa JP au PJ kufananishwa na Rais wa marekani. Na wewe PJ au JP usije ukawa na BIG BICHWA kwa kufananishwa na OBAMA na matokeo yake ukanyanyasa mtaani!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2009

    Daa Michuzi kweli uyo jamaa kafanana sana sana na nanii du.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 18, 2009

    kafanana na van persie wa Arsenal na hata yeye ni mnazi wa klabu hiyo na hayo magogongo kayaacha anapiga kitabu cha elimu ya juu my bro yuko juu siku zote

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 18, 2009

    DOMO LAKE BAYA!!WALA HAWEZI KUFANANA NA NNIHIII,NANIHII HANDSOME BWANA

    ReplyDelete
  13. duniani wawili wawili kafanana HOMER SIMPSON wa marekani-

    ReplyDelete
  14. Marcus TonoccoJune 18, 2009

    Marcio Maximo

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 18, 2009

    Watanzania!!! kumbe kufanana na mtu mwingine ni tija! ningeshangaa kama angefanana na nyani kwani kuna umbali fulani, lakini kufanana na mtu, mwajadili, lol. Tumekwisha ;)Mlahabwa

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 18, 2009

    anafanana na mwimbaji Marc Anthony (mume wa JLo)

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 19, 2009

    God yo Tanzanians are haiters, who cares who he looks like. Paul baby you are handsome than ever. i still love you you know where to find me. if you are still single Iam still single baby and I just graduated, double major marketing and international business, this fall going to do ma masters if God wishes. Send me an email sometime. Mtoto wa Kisyoria if you know who Iam..Looking Good as usaual haters always gonna talk about it.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 19, 2009

    kwani jamani nisaidiane kwani kufanana na mtu fulani tena mashuhuri ni sifa?? mimi kuna siku nilikua natembea na watoto wangu wakike wawili hapa Dallas.Mtu mmoja akasema eti wanafanana na watoto wa Obama, mimi nikamwabia nafikiri watoto wa Obama wamefanana na watoto wangu, akacheka tu then akasema , am right!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 19, 2009

    kafanana na cheni muigizaji wa kaole group.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 19, 2009

    Nahisi una maana NANINHII kwa vile unadhani kafanana na Nanninhiii, ngoja kidogo no, NAKATAA.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 19, 2009

    Kafanana na bohot sijui Bohoat, some like that.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 19, 2009

    PiiiiiJeeeeeeeiiiiiiiii mpiga chabo maarufu Dar nzima ............... Ebwanaeee Mr. Mithupu huyu jamaaa kafanana na Mwanamuziki Ginuwine wa Marekani ........

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 19, 2009

    KAFANANA NA MKAPA

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 19, 2009

    kafanana na mwanangu...

    baba watoto wangu PJ

    nanihii hajafanana nae

    ReplyDelete
  25. Wote hamjui kufananisha, ofcoz jamaa kafanana na MICHUZI end of the story....

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 19, 2009

    Haa haaaaaaaaa,kaazi nkweli nkweli!
    Jama kafanana sana na Abu Trikah wa masri(wababe wa Italia)

    Kisoda.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 19, 2009

    EEEEEHHH!Marc Anthony...

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 19, 2009

    kweli wabongo hovyooooooooo! kwani mtu ukisema tu kuwa kafanana na obama ni kosa mbona mnakuwahivyo pia kufanana na mtu sio lazima mlandane kila kitu ila kutakuwa na something ambazo mnalanda ila watu wanaona kusema kuwa jamaa kafanana na obama watamfaidisha semeni tu hatabadilika na kuwa obama kweli. mpeni zake jaman he is relating to him.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 19, 2009

    Mh jaman mie naona anamwelekeo lakini sijajua in which aspects,he has a dual face unaweza mfananisha na watu kibao na ikakubalika inategemea na mtazamaji ka base ktkt lipi!
    Ila aliyemfaninisha na Mkapa ameua kabisa,labda ungesema Mark Anthony,Abu Trikah,Obama cuz wote hao wana miili ya kukomaa sana sijui mifupa inakula nyama au
    ndo vipi na wana sura za kizeeeeeeeee!
    Anyway Paul James wa PB yuko njema ktk tasnia ya utangazaji, big up br.
    Kama kweli unapeleka machozi ya simba a.k.a gongo hakikisha unakula vema maana ile dirty spirity ni noma mabega yatashinda kichwa afu itakuwa siyo mwake au vipi kula ile mbuzi
    haramu ni msaada kwa wanazi wa hiyo maji.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 19, 2009

    ngoja nisaidie kidogo,jamaa kwa mbaali(kama vile DAR na mtwara) anafanana na Rio Ferdinand wa manchester united. ila wazee umbali si mnauona? msiue..ndio ilivyo.lol

    akihito

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 19, 2009

    kafanana na Rostam Aziz na Yusuf Manji, teh teh....

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 20, 2009

    wotee mliotuma commet vichwa vyenu vibovu huyo kafanana na baba yake mzazi au mama yake mzazi habari ndio hiyoo

    Mdau Mwembe yanga

    ReplyDelete
  33. AnonymousJuly 15, 2013

    labda ungepost another pic, with less teeth. obama doesnt smile all the way dude. kafanana tu na mwarabu moja mtaani kwetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...