Home
Unlabelled
bajeti ya zenji yajadiliwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
napenda kuona na kupata habari CCM na CUF katika mambo ya kitaifa wakiwa pamoja kama hivi.hongereni sio kila siku malumbano.Hivi huyu lipumba ni DR. au Prop ?
ReplyDeletesasa cuf nini ; lazima mvae vibalakashia; pigeni suti
ReplyDeleteHivi hizi Hijabu kwa nini zinavaliwa na wanawake tuu ? Nadhani wanaume nao wangekuwa wanavaa ili wasiwatie vishawishi wanawake ...
ReplyDeleteMdau unayehoji kuhusu hijabu, kiislamu mwanaume anatakiwa avae mavazi yanayomsitiri, na yaliyo na nafasi yaani mapana flani, ili yasionyeshe maungo yake, ili wasiwatie vishawishi wanawake...Pili wanawake wanatakiwa wawe mbali na wanaume mfano ndani nk...na wanaume wawe pekeyao mf nje nk...inaruhusuwa pia wanawake kutoka kwa sababu maalumu kama kazi, masomo, michezo nk kwa ruhusa maalumu ya waume, baba na wasimamizi wao kisheria lakini pasi na uwepo wa wanaume..hapo hakuna nayemshawishi mwenzie...uwanja huu mpana sana, ukiutafakari juu juu huwezi kuelewa na utaishia kubaki na maswali mengi...kikubwa kuliko vyote ni kuamini kwa dhati ulichoamrishwa pasi na kuhoji kwani moja kati ya sifa ya Mungu ni kutohijiwa aamuayo.. na hufanya atakalo.
ReplyDeleteNadhani nimekusaidia.
msinione mdini ni suala la kueleweshwa tu
ReplyDeleteivi zenji hakuna viongozi wakristo?mana najua wazawa wakristo zenji wapo,au kunatumika vigezo gani??
aanteni kwa libeneke
viongozi wakristo wapo kwa vyama vyote vwili, n yupo waziri m1 mkristo yupo, mwakanjuki, ila uctegemee idadi ikawa sawa kwa vile idadi y waislam n kubwa san kulinganisha na wakristo
ReplyDeleteBwana Michuzi,
ReplyDeleteHivi Lipumba ni Daktari au Profesa?
Majaliwa.
tmajaliwa@yahoo.com