Home
Unlabelled
paul james wa clouds 88.4fm kafanana na nanihii??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
He!!!! kumbe mwarabu wa sengerema
ReplyDeletebagesh
Ungeweka na ya nanii basi tulinganishe,yaani PJ angepata menu kama ya jamaa ingekuwa balaa wangufanana sana tatizo PJ gongo sana,ila uko juu
ReplyDeleteKama mnasema Barack Obama mmekosea na hamuwezi kufananisha! labda mwingine!!
ReplyDeleteHafanani na Obama in any way. Interestingly, anafanana na somebody who once worked at Posta, then at Sigara...
ReplyDeletekafanana na nani? amekaa kiarabu
ReplyDeletemmmmm huyo kafanan na yule dereva tax wa texas huku marekani
ReplyDeletehee! kumbe ndio yupo hivi kama vile naniii ila big up mnajua kukiendesha kipindi chenu cha pbf
ReplyDeleteMdau wa Mwembe Yanga Tandika
We anony wa 4:15 PM mpaka umeweza kuhisi anafanana na Obama basi kuna mfanano flani uliouona, kwa nn usiseme anafanana na McCain au Joe the plumber. Acha roho ya korosho
ReplyDeleteWell sio mbaya kumfananisha na Obama, Obama mbona kafanana na JK kama vile mtu na kaka yake!!!
ReplyDeleteKufanana ni kwa kawaida the issue ni nini unafanya katika maisha.
Tukubaliane kwamba amefanana na Obama kwa taswira ila haitamfanya yeye kuwa Obama kwahiyo wadau mtulize moyo hii ni blog ya jamii na kazi yake kufundisha na kuburudisha. Msifanye malumbano kwa JP au PJ kufananishwa na Rais wa marekani. Na wewe PJ au JP usije ukawa na BIG BICHWA kwa kufananishwa na OBAMA na matokeo yake ukanyanyasa mtaani!
Daa Michuzi kweli uyo jamaa kafanana sana sana na nanii du.
ReplyDeletekafanana na van persie wa Arsenal na hata yeye ni mnazi wa klabu hiyo na hayo magogongo kayaacha anapiga kitabu cha elimu ya juu my bro yuko juu siku zote
ReplyDeleteDOMO LAKE BAYA!!WALA HAWEZI KUFANANA NA NNIHIII,NANIHII HANDSOME BWANA
ReplyDeleteduniani wawili wawili kafanana HOMER SIMPSON wa marekani-
ReplyDeleteMarcio Maximo
ReplyDeleteWatanzania!!! kumbe kufanana na mtu mwingine ni tija! ningeshangaa kama angefanana na nyani kwani kuna umbali fulani, lakini kufanana na mtu, mwajadili, lol. Tumekwisha ;)Mlahabwa
ReplyDeleteanafanana na mwimbaji Marc Anthony (mume wa JLo)
ReplyDeleteGod yo Tanzanians are haiters, who cares who he looks like. Paul baby you are handsome than ever. i still love you you know where to find me. if you are still single Iam still single baby and I just graduated, double major marketing and international business, this fall going to do ma masters if God wishes. Send me an email sometime. Mtoto wa Kisyoria if you know who Iam..Looking Good as usaual haters always gonna talk about it.
ReplyDeletekwani jamani nisaidiane kwani kufanana na mtu fulani tena mashuhuri ni sifa?? mimi kuna siku nilikua natembea na watoto wangu wakike wawili hapa Dallas.Mtu mmoja akasema eti wanafanana na watoto wa Obama, mimi nikamwabia nafikiri watoto wa Obama wamefanana na watoto wangu, akacheka tu then akasema , am right!
ReplyDeletekafanana na cheni muigizaji wa kaole group.
ReplyDeleteNahisi una maana NANINHII kwa vile unadhani kafanana na Nanninhiii, ngoja kidogo no, NAKATAA.
ReplyDeleteKafanana na bohot sijui Bohoat, some like that.
ReplyDeletePiiiiiJeeeeeeeiiiiiiiii mpiga chabo maarufu Dar nzima ............... Ebwanaeee Mr. Mithupu huyu jamaaa kafanana na Mwanamuziki Ginuwine wa Marekani ........
ReplyDeleteKAFANANA NA MKAPA
ReplyDeletekafanana na mwanangu...
ReplyDeletebaba watoto wangu PJ
nanihii hajafanana nae
Wote hamjui kufananisha, ofcoz jamaa kafanana na MICHUZI end of the story....
ReplyDeleteHaa haaaaaaaaa,kaazi nkweli nkweli!
ReplyDeleteJama kafanana sana na Abu Trikah wa masri(wababe wa Italia)
Kisoda.
EEEEEHHH!Marc Anthony...
ReplyDeletekweli wabongo hovyooooooooo! kwani mtu ukisema tu kuwa kafanana na obama ni kosa mbona mnakuwahivyo pia kufanana na mtu sio lazima mlandane kila kitu ila kutakuwa na something ambazo mnalanda ila watu wanaona kusema kuwa jamaa kafanana na obama watamfaidisha semeni tu hatabadilika na kuwa obama kweli. mpeni zake jaman he is relating to him.
ReplyDeleteMh jaman mie naona anamwelekeo lakini sijajua in which aspects,he has a dual face unaweza mfananisha na watu kibao na ikakubalika inategemea na mtazamaji ka base ktkt lipi!
ReplyDeleteIla aliyemfaninisha na Mkapa ameua kabisa,labda ungesema Mark Anthony,Abu Trikah,Obama cuz wote hao wana miili ya kukomaa sana sijui mifupa inakula nyama au
ndo vipi na wana sura za kizeeeeeeeee!
Anyway Paul James wa PB yuko njema ktk tasnia ya utangazaji, big up br.
Kama kweli unapeleka machozi ya simba a.k.a gongo hakikisha unakula vema maana ile dirty spirity ni noma mabega yatashinda kichwa afu itakuwa siyo mwake au vipi kula ile mbuzi
haramu ni msaada kwa wanazi wa hiyo maji.
ngoja nisaidie kidogo,jamaa kwa mbaali(kama vile DAR na mtwara) anafanana na Rio Ferdinand wa manchester united. ila wazee umbali si mnauona? msiue..ndio ilivyo.lol
ReplyDeleteakihito
kafanana na Rostam Aziz na Yusuf Manji, teh teh....
ReplyDeletewotee mliotuma commet vichwa vyenu vibovu huyo kafanana na baba yake mzazi au mama yake mzazi habari ndio hiyoo
ReplyDeleteMdau Mwembe yanga
labda ungepost another pic, with less teeth. obama doesnt smile all the way dude. kafanana tu na mwarabu moja mtaani kwetu.
ReplyDelete