Mke wa rais mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Magindu iliyoko Chalinze, Pwani waliohudhuria halfla ya makabidhiano ya msaada wa magodoro na vitanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar
Mwenyekiti wa WAMA mama Salma Kikwete akipokea msaada wa magodoro 100 na vitanda 50 uliotolewa na Stanbic Bank kwa shule ya sekondari Magindu iliyoko Chalinze ,Pwani kutoka kwa mkurugenzi wa banki hiyo Bw. Bashir Awale.Makabidhiano hayo yametolewa leo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar

Mke wa rais mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Magindu iliyoko Chalinze, Pwani waliohudhuria halfla ya makabidhiano ya msaada wa magodoro na vitanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar
Baadhi ya wageni kutoka sehemu mbalimbali waliohudhuria hafla ya Stanbic Bank kukabidhi msaada wa magodoro 100 na vitanda 50 kwa Mwenyekiti wa WAMA mke wa rais mama Salma Kikwete katika ofisi za WAMA leo jijini Dar




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2009

    jamani , mama kikwete anapendezega lakini hapo mtandio na kitambaa sielewi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2009

    Jamani, shule ni nyingi sana zinahitaji misaada na kweli tunajua kuwa kutoa ni moyo sio utajiri lakini hapo Stanbic wanapochagua jimbo la mheshimiwa na kuacha maombi yote wanayopokea kila siku inatuacha tukifikiria hii sio njama ya kujiweka karibu na Ikulu? toa msaada unapohitajika na sio kwa kujiwekea ujiko tu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...