Nahodha wa timu ya Vodacom, Leonard Saveri akipokea kikombe kutoka kwa mwenyekiti wa club ya Gymkhana Mzee Victor Kimesera.
Wafanyakazi wa Vodacom wakishangilia Pamoja na meneja wa kampuni hiyo ya simu wa sponsorship Bwana Emilian Rwejuna (shoto).
Baada ya kukabidhiwa Kombe na waandaaji, wafanyakazi hao waliendeleza sherehe, ni baada ya kuzichapa kampuni nyingine za simu kama Zain waliochapwa 3-2, Zantel walichapwa 3-0 na Tigo walichapwa 3-0 na kuingia fainali ambapo walikutana na Benki ya Standard Chartered ambayo ilichapwa bao 1-0 na ubingwa kuelekea nyumbani kwa Vodacom Tanzania.

Au michu umeipendelea Vodacom kwa sababu ndio waajiri/wadhamini wako wakubwa? Tupe habari hii bila upendeleo "bias"
ReplyDeleteWAZEE WA STANCHAT SAFI SANA KWA KUFIKA FINAL NAWAFEEL MY OLD TEAM MATES,MICHU VODA DAMU HUYO NA LINE YAKE YA VODA NAHISI NI POSTPAID MPAKA SIKU ANAVUTA.
ReplyDeleteLenny nakuona unatabasamu mwenyewe, hongera kwa timu yako kupata kikombe, tutafutane jamani ....mm Babie
ReplyDeleteVODA MZIKI MNENE AISEE ULIZA WASHIRIKI WOTE WALIOSHIRIKI KWENYE HILO BONANZA AISEE DUU HAWA JAMA WANA TEAM NZURI SANA INA STAMINA KWELI KWELI...HUWA NAWAONA PALE AL MUNTAZIR KILA JUMA TANO KAMA LEO....WAPO HADI SAA 3 USIKU WANAJIFUA......KWA NGUVU MNO...
ReplyDeleteHongereni VODA TEAM.
ReplyDeleteNawaona wako kimichezo kwl kwl but nina wasi*2 na huyo big hapo anaitwa nanihii (Nambaya) MTS camp tehe tehe tehe!
MICHU kuiweka habari hii sidhani kuna uhusiano wowote na ufadhili wa blog hii kama usemavyo annoniii wa 1 JULY 12:00AM,vijana wamefanya kazi nzuri na tunahitaji habari zao HABARI NDIYO HIYO UKITAKA UNAACHA AU UJIBEBE!!!!!!
Dah..ebwana jamaa wakali, mimi mdau wa michezo nimewaona kwa macho, no mamluki, jamaa wanachezesha wafanyakazi wao tu.
ReplyDeletebonge la bidii, ni mfano wa kuigwa.
kweli mtandao huu ndio unaoongoza tanzania, ata ukicheki kampuni zingine kwenye soka zimepigwa na mtandao mkubwa.
pamoja daima.
Hey babie, mambo ni vipi? ntakucheki kwenye simu ndugu yangu longtime no see my dear.
ReplyDeletecheerz!
WAZEE WA VODA, NAKUONA HAPO MWANA BIDUGA HONGERENI NAONA SIKUHIZI MNA VIJANA WENGI HII NDIO INATAKIWA. SIO KIPINDI KILE GOLINI UNAMKUTA MZEE MZIMA ASUPYA WATU WANAFUNGA TU BILA HURUMA, SASA HIVI NAONA MMEJIDHATITI NTAKUWA NAKUJA KUCHEKI MECHI ZENU...BIGUP
ReplyDeleteNawakubali vijana mko juu
ReplyDeleteWadauuuuuz...dah ebwana nawarespect...mko juu...
ReplyDelete