Timu ya soka ya Wabongo waishio mjini The Hague, Uholanzi, juzi ilitoa sare na timu ya mpira ya Sierra Leone katika mpambano uliofanyika kwenye viwanja vya michezo vya Zuiderpark.
Pichani ni baadhi ya wachezaji wa timu ya Tanzania wakiwa katika mapumziko. Kutoka kushoto ni winga Mswahili Ndebile, Peter Hango, Joseph Jairo, Kweba Bulemo, Benard Makungu, Peter Ndyetabula, Ramadhani Kubiha na nyanda Vicent Tishekwa. Kunradhi sachmo wetu hakutokea na jezi zetu siku hii. Sio kama hatuna. Yaani katuudhi kweli. Ilikuwa tushinde kabisa....
Mdau wa Uholanzi.
hawa wote si kwamba wanaishi pale siku zote, ni kwamba wanasoma pale kwa scholarships za NUFFIC. kuishi ulaya utakwenda udachini!!!!
ReplyDeleteHaa haaaa
ReplyDeleteYani watu wahuni, eti nusu tushinde. Haya wajameni hongereni sana, kocha nani. Nipeni kazi
Mdau uholanzi
hiyo sio timu ya wabongo denhag kwani tunaowajua kwenye hiyo timu hawapo kabisa...hiyo ni timu ya warundi sema wanasema wabongo...kiboko yenu tilburg nyinyi.
ReplyDeletehuyo baba yenu kweba anamiaka kibao hapa uholanzi toka amelize shule leo mnajifanya mnakandia udachini. nendeni basi huko kariakoo (milton keys) mkasutane
ReplyDeleteHawa wote nawafahamu, niliwajua wakati nasoma hapo The Hague, Si kweli kwama ni wanafunzi walopelekwa na Scholarship za NUFFIC bali ni wafanyakazi wa Mahakama za Kimataifa zilizoko hapo The Hague za ICC, ICTY, SCSL na OPCW.We hapo juu acha kudandia mambo husiyoyajua
ReplyDeleteNi kweli hata mimi nawafahamu,walikuwa hapa ICTR Arusha sasa wanafanya kazi kwenye mahakama za kimataifa hapo The Hague. Nawapa hongera kwa kuwa na umoja.
ReplyDeletewewe mdau hao sio wabeba box, wabeba box muda wa michezo kwanza hawana kutwa kucha mabox wapate kodi, hao ni maafisa wa UN huko, wana heshima zao na elimu zao hao jamaa nawafahamu sana, bip up Wazee Kweba, hango vicent nk. endelezeni nibeneke la michezo, kwani michezo ni afya.
ReplyDeleteHii Ndio tabu ya watanzania walio wengi tunajifanya ni wajanja na tunajua mambo mengi kumbe hakuna kama mdau hapo juu anaewaita hao wabongo halisi warundi inaonekana haelewi lolote sasa nashangaa kwanini anachangia alilosiua au ndio ndio sifa za kijinga? Mdau London
ReplyDeletesafi sana
ReplyDeletetunaitaji vijana kama nyie wenye akili ya decent life
hongeren km mko apo mahakama ya kimataifa
all the best
ha ha ha wabongo bwana kwa kupenda malumbano. Wandugu, hapo cha muhimu ni kwamba hiyo timu ni ya waTanzania wenzetu na wanaondoa vitambi taratibu na kuwatangazia wengine kama watapenda kujiunga. Yeyote yule ni mTanzania na kwa namna moja ama nyingine anatafuta maisha ...awe Mrundi, wa NUFFIC, wa UN, wa mtaani nk. Acheni bla bla bla tujenge afya....mtu ni afya.
ReplyDeletehizi comment zimeingiliwa na wahaya fulani ndo maana watoto wa mjini tumekaa pembeni
ReplyDeletemichuzi hii si timu ya watanzania bali ya Watanganyika, msituchanganyie mambo yakhe! angalia majina hayo yatakueleza.
ReplyDeleteNyie watu wabaya sana mbona hamkupanga Noela ndio maana mmeshindwa kushinda.
ReplyDeleteNa mpira mlikuwa mnacheza upi-wa chandimu nini. Tangu lini Ndebile akacheza mpira.
ReplyDeleteway to go kwebaaaaaa.... sikujua kumbe unacheza mpira kazana !
ReplyDeleteDebby-USA
...Hao ni sehemu ya hao vijana walioajiriwa na mahakama za kimataifa huko Uholanzi.Wengi wao ni askari wetu hapo.jeshi letu linapoteza vijana wenye uzoefu.Jamaa hawa ni hazina kamili ya kesho kwenye maswala ya usalama.
ReplyDeleteAcheni majungu waulizeni walifikaje huko labda na wewe unaweza kupata mwanya acha kukandia kuwa wabeba mabox mshahara huwezi kugusa wewe!
kweba mie kitoka nakusalimia....ha ha ha ha
ReplyDeletekukaa kote uholanzi mmeshindwa hata kunua kamera inayoweza kutoa picha nzuri. pesa zote mnahonga-kulingana na majina yenu wote wanaelekea kutoka mikoa ya ziwa ambao wanaugonjwa wa kupenda wanawake weupe. Na huko wote ni weupe sijui babake na Ndebile atatoa ngombe wa ngapi. Na hisi zaidi ya mia.
ReplyDelete